Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

ati ndio huyu bi isa wa bella
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali tunahitaji maamuzi magumu sasa.

Vinginevyo mnatulazimisha kuiga mifano ya Law Society of Kenya ya kuwapeleka mahakamani kuwashinikiza kuchukua maamuzi yaliyo maslahi kamili yetu sisi wananchi.

Hizi nusu nusu zenu ambapo:

1. Mipaka iko wazi
2. Wageni wanaendekeza kuja kama kwao
3. Maisha yanaendelea life as usual
4. Mikusanyiko ya watu ingalipo
5. Nk

Haijibu matazamio yetu toka kwenu.

Kumbukeni mnatuongoza sisi - tu kama dhamana.

Tafadhalini mtusikie. Hatutaki kufa hivi if we can help it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…