Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Alifuata mchepuko wake hotelini
 
Kwa sababu ya mafua tunayouguaga miaka yote na kila wakati au kwasababu yamepewa jina jipya???
#corona is overrated.

Sent using Jamii Forums mobile app

Usipojishangaa mwenyewe kwa kudhani umeufahamu huu ugonjwa kuliko wanao haha nao duniani kiasi cha maisha ya kawaida kusimama kabisa, yaweza kuwa utakuwa hujitendei haki.

Ama kweli ukiyastajaabu ya mussa basi subiria ya firauni.
 
Unahisi umenijibu?

Hili sasa ni hivi langu la tatizo kwa maslahi yako matatu. Hivi la msingi lipo kwenye jibu #1 na jibu #2 ni jibu la nyongeza tu kwenye swali lako la nyongeza yaani swali #2.

Jibu hili #3 naamini linakujibu sasa kikamilifu kwa maswali yote uliyo nayo wakiwamo #4, #5, #6 nk.

Majibu yote yapo kwenye jibu la msingi #1. Unaweza kutaka kuelewa au kutokuelewa. Hayo mbona ni uchaguzi tu. Mbona waungwana wanasema kupanga ni kuchagua.
 
Yule mama mhuni mkubwa, kaenda kujiuza huko na kutuletea corona, alafu kanacheka cheka, na alijua kabisa aliishi nyumba yenye mgonjwa wa corona na akaamua kurudi Tanzania, pumbaf sana huyo mama, wanawake kwanini mnatutesa hivi tokea enzi na enzi? yaani natamani tumgawe gawe😡😡, alafu anaongea na radio ya Arusha anasema yuko vizuri na akitoka atajipodoa sana na waambieni watu yuko fit, yaani aaaahrrrggw kummmmm nyoko yaani😡😡😡😡😡
 
MODs mmerekebisha title ya uzi mkapotosha!

Hakuna aliyekuwa kasema dereva ana Corona.

Title ilikuwa wazi: Dereva aliyemchukua Mgonjwa wa kwanza wa Corona yaani - Tanzania Corona Patient Zero

Hapo MODs rekebisheni tafadhali.

Kama hana Corona mbona ni la kheri mno, hakuna anayemwombea mabaya.
 
Mara unambiwa unakaa siku kumi na nne so huyu kachukua siku ngapi kambini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heading iko sawasawa na content?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana anasema kapona hivyo anataka kuoga na kujipoa apendeze aongee na watu, huyu zinamtosha kweli? Badala ya kuomba msamaha Kwa kutuletea janga yeye anawaza kujipodoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni maneno tu ya watu; Isabela Route anasafiri sana, hata huku Ughaibuni huwa anakuja sana;
Ni dada ambaye kweli kabisa ni Mstaarabu ni jirani kule Njiro, Korona Block....(), Ana asili ya Ustaarabu sana;
Huwa anakuja Ughaibuni kwa ajili ya Machangizo na Kutafuta wadhamini kwa ajili ya Shule, ana Shule zake na huwa anaseal na mambo ya Watoto yatima etc;
Last time niliporudi, alinialika Kanisani kwao Calvary Temple Arusha; Kwa tuliomzoea amekuwa anasafiri sana Tena hii ya Juzi hakuwa na Route Nyingi Maana Hakwenda France, Switzerland and Finland sijaona kwenye route zake ;
Hivyo Kwa kadiri ya Ninavyomfahamu kidogo tu yeye ni safari zake hazikuwa intention kama watu wanavyosema Mitandaoni.

Sababu ya kutokwenda Home ilikuwa alijihisi ndivyo sivyo, na kwa sababu akienda Home posibility ya Ku-spread incase ana virusi ni kubwa; Ndio akaamua kwenda Hotel kwanza, na kisha kwenda mount meru mwenyewe?? Aliposhuka hakupanda Shuttle pale KIA, ili kupunguza maambukizi; Aliamua Kupanda Taxi; Hivyo hayoyote yanafuta dalili kwamba Hakuwa na Intention mbaya.
 
Baadhi ya watu wanafki sana
Basi wakawaandame wazungu waliopatikana na Corona Dar na Zanzibar pia..(imetangazwa leo)
It was js a matter of time
Huyu mama she is js a carrier tu.,

tuchukue hatua wenyewe tusilaumu tu
 
Hana ustaarabu wowote, tarehe 3 March mataifa mengi yalikuwa affected, huo ustaarabu kwa nn asingeutumia kuahirisha hiyo safari? Usimtetee hana ustaarabu wowote!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona ugonjwa wa watu weupe.
Hapa unadunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…