Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
of course inasemekana huyo wa bus alimchomekea mwenzie, na wengine wanasema hao wa malori walikuwa wanaendesha vibaya yeye akataka kuwaamlia. kila mtu anaongea lake, na abiria hawakutoa msaada wowote. kama hawa jamaa wanaosemekana walikuwa wanaendesha magari kwenda rwanda, kama wapo bongo, wakamatwe.Sijui sababu ni nini ila niligundua kuwa madereva wa mabus na malori huwa hawaelewani kabisa, malori wanasema madereva wa bus wanafujo barabaran muda wote wana haraka na wanaongoza kuchomekea ( kutoa gari na ku overtake maeneo ya hatari wakiamini Lori au gari ndogo zitapisha) mwisho wa siku madereva wa wanaacha njia ili kuepusha ajali ila wanaenda kupata ajali zingine nje ya barabara.
Na abiria wake walikuwa wanatazama tunaomba usiangalie, imeharibu siku yangu. mtu anakata roho anaruka na kutetemeka kakakamaa kama kuku yaani. mtoto wa mwanadamu mwenzio na jamaa mwanaume amesimama na rungu pembeni kama anataka kumwongeza. wakamatwe haraka wauaji hawa.
Hiyo hapo juu mkuuClip iko wapi
Dah alafu wanamuangalia anavokata moto.Hapana.
Ni hivi hivi tu kama mleta mada alivyosema,walipishana kauli jamaa wa lorry akamtandika chuma mbili za kichwa (Ile kama nondo ya kushikilia wheel spanner wakati wa kufungua tyre)
Kweli kabisa hao jamaa wametumia chuma au ni fimbo?maishani mwangu nilishafika mkanda wa juu kabisa wa martial art moja ya kijapan, shotokan, kati ya vitu navijua maishani mwangu ni uhai wa mwanadamu, no mdogo kuliko hata wa kuku. maishani mwako ogopa KUPIGANA kuliko chochote, hata kama wewe una utaalamu wa kupigana, ukiviziwa its just a minute umeaga, inategemeana tu na nani anamuwahi mwenzie. ukiona ugomvi uzuie kwa nguvu zote kwasababu hauishiagi pazuri.
Sidhani kama ni wanyarwanda. Hao waendeshaji wa hayo malori ya Rwanda na Congo % kubwa ni waswahili.Hao warandwa washenzi walikatana mapanga kama mbuzi kisa makabila. Kuua binadamu kwao ni kawaida kabisa.
Nyonga hao mbwa.
Madereva wasio watanzania (warwanda) wanampiga na kumuua dereva wa busi baada ya kujaribu kuwa overtake
Abiria wa kitanzania wanatazama tu hadi dereva mauti inamkuta , kama hio haitoshi wanayaacha malori ya wauaji yanaenda kwa amani kabisa.
Abiria wa kitanzania wanarekodi tu kwa simu zao wakati dereva wao aliyewapambania akifa.
Kisha wajinga hawa watanzania wanapandishwa basi jingine wanaondoka bila wasiwasi yoyote hadi walikokuwa wanaenda.