Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa ndugu na jamaa zake lakini pia ni fundisho kwamba sio kila ugomvi ni wa kupigana wakati mwingine ni kujifanya mjinga siku ipite tu kwasababu alikua amesha wapita hakukua na haja ya kuwasubilia ili kufanya ugomvi.Wakuu kwema.
Hili tukio la kuuwawa kwa dereva linakatisha tamaa kuamini uko salama ukiwa jamii ya watanzania, watu wasioweza kuteteana wao kwa wao.
Kwanini nasema hivi.
Inasikitisha sana kugundua kuwa unaishi miongoni mwa jamii ya namna hii.
View attachment 3087333
View attachment 3087334
View attachment 3087335
View attachment 3087338
Pia ni reminder kwamba ukiwa unakufa mbele ya watanganyika wenzio watakurikodi warushe status.Pole kwa ndugu na jamaa zake lakini pia ni fundisho kwamba sio kila ugomvi ni wa kupigana wakati mwingine ni kujifanya mjinga siku ipite tu kwasababu alikua amesha wapita hakukua na haja ya kuwasubilia ili kufanya ugomvi.
Swala lilokuwepo hapo ni wa basi kulipita hilo truck na mbele usalama ulikuwa ni mdogo dereva wa basi ikabidi atumie nguvu kumsukuma wa lori ndipo wa ka kwanguana. Sasa marehemu alishindwa kijidhibiti hasira ndio alishuka kwenda kugombana na huto wa lori. Nae wa lori akashuka na mtalimbo tunaoutumia wakati wa kurekebishia matairi akampiga nao dereva wa basi kichwani, walijaribu kumkimbiza hospital lakini ikawa ni haki ya yeye kutangulia mbele za Mungu. hiyo lori ina number za tz lakini dereva ni mtanzania, alikamatwa yupo polisi.Kuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?
Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda...
Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa kutaka kuongea nao, ambapo walimpiga na kumuua..
View attachment 3087265
View attachment 3087267
Inasemekana huyo dereva wa roli alidai kwamba jamaa alimchomekea njiani , angemsababishia ajali .Mtei yupi na kwa nini wampige?
Hiyo ndiyo ukweli dereva wa making ice na dereva la loriNi dereva wa Manning Nice bus za route ya Tanga Babati nahisi kama sijakosea.
Kuna jamaa yangu anamjua huyo driver ndiye aliyenipa taarifa hii.
hivi hiyo basi si ilikuwa na abria ? wakwaacha tu hao wauwaji wakauwa na kupanda magari yao wakaondoa? hiki kisa sizani kama ni kweliKuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?
Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda...
Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa kutaka kuongea nao, ambapo walimpiga na kumuua..
View attachment 3087265
View attachment 3087267