Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda

Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda

naomba usiangalie, imeharibu siku yangu. mtu anakata roho anaruka na kutetemeka kakakamaa kama kuku yaani. mtoto wa mwanadamu mwenzio na jamaa mwanaume amesimama na rungu pembeni kama anataka kumwongeza. wakamatwe haraka wauaji hawa.

All in all,
Wakati mwingine unakuta marehemu aliwapa shiti na kuwatukana Sana kiasi Cha kushindwa kuvumilia who knows hata ivyo hawakupaswa kufanya walicho fanya ni kitendo Cha kinyama Sanaa
 
Kuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?

Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda...

Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa kutaka kuongea nao, ambapo walimpiga na kumuua..

View attachment 3087265
View attachment 3087267
So abiria wake wote waliojaa kwenye basi wakamuacha achezee kichapo hadi kufa???
Hao ndiyo watanzania niwajuao mimi sasa, wanaishia kuchukua video ili wakatipie mitandaoni.
 
maishani mwangu nilishafika mkanda wa juu kabisa wa martial art moja ya kijapan, shotokan, kati ya vitu navijua maishani mwangu ni uhai wa mwanadamu, no mdogo kuliko hata wa kuku. maishani mwako ogopa KUPIGANA kuliko chochote, hata kama wewe una utaalamu wa kupigana, ukiviziwa its just a minute umeaga, inategemeana tu na nani anamuwahi mwenzie. ukiona ugomvi uzuie kwa nguvu zote kwasababu hauishiagi pazuri.
Kwanini ulisomea Sasa? Imekusaidia nini?
 
Watanzania ni kama mazezeta. Dereva wa basi anauawa kinyama na wapumbavu wawili vi-abiria havina msaada wowote vimekaakaa kama vimebemendwa! Ingekuwa mahala ambako watu wanajitambua hao washenzi wangegeuzwa mishikaki na malori yao yangegeuzwa vyuma chakavu.

Hasira ya waswahili huwa inaishia kwa vibaka wanaoiba kuku na wallet tu.

Sisiem wana raha sana.
Labda abiria waliokuwepo ni wale wa UPINDE!
 
NImekutana na clip moja imeharibu siku yangu yote. inaonyesha dereva wa mtei anakata roho na kuna wanaume wameshika fimbo inaonekana ndio wamempiga, inasemekana ni madereva wa lorry. ni kweli?

wanadamu sometimes wabaya sana sana.


View: https://x.com/i/status/1831253133109899406

Kwa Hiyo wakati huyo Dereva anauwawa hao Abiria wa Bus lake ndo walikua Wana record hii video..!

Ila Kwa Uzuzu wa Watanzania sishangai....! Kama ingekua Nchi nyingine, kungeua na Marehemu 3 na Malori 2 yakiwa Majivu.
 
Swala lilokuwepo hapo ni wa basi kulipita hilo truck na mbele usalama ulikuwa ni mdogo dereva wa basi ikabidi atumie nguvu kumsukuma wa lori ndipo wa ka kwanguana. Sasa marehemu alishindwa kijidhibiti hasira ndio alishuka kwenda kugombana na huto wa lori. Nae wa lori akashuka na mtalimbo tunaoutumia wakati wa kurekebishia matairi akampiga nao dereva wa basi kichwani, walijaribu kumkimbiza hospital lakini ikawa ni haki ya yeye kutangulia mbele za Mungu. hiyo lori ina number za tz lakini dereva ni mtanzania, alikamatwa yupo polisi.
Na wewe ulikuwa unatazama?
 
Kuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?

Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda...

Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa kutaka kuongea nao, ambapo walimpiga na kumuua..

View attachment 3087265
View attachment 3087267
Abiria wa basi lake walikimbia?
 
Wakuu kwema.
Hili tukio la kuuwawa kwa dereva linakatisha tamaa kuamini uko salama ukiwa jamii ya watanzania, watu wasioweza kuteteana wao kwa wao.
Kwanini nasema hivi.









Inasikitisha sana kugundua kuwa unaishi miongoni mwa jamii ya namna hii.
View attachment 3087333
View attachment 3087334
View attachment 3087335
View attachment 3087338
Kwa hiyo alikuwa ana pambana na walevi na watu Waliokuwa na silaha. Sasa hapo abiria wangepambanaje na walikuwa hawana silaha. Ku rekodi angalau kuna saidia kutoa ushahidi
 
Back
Top Bottom