Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda

Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda

Wauaji Wabinywe map*mb* na watolewe meno kwa prize na wapigwe short za UMEME, ikiwezekana wakalie CHUPA
All in all,
Wakati mwingine unakuta marehemu aliwapa shiti na kuwatukana Sana kiasi Cha kushindwa kuvumilia who knows hata ivyo hawakupaswa kufanya walicho fanya ni kitendo Cha kinyama Sanaa
Ma abiria walikuwa wapi mpaka Mtanzania mwenzao anauawa kwa fimbo?
 
Madereva wanaendesha magari ya Rwanda ni wenye roho mbaya, ni wauaji wakiwa kwenye magari yao.

Alafu Serikali ipige marufuku mabasi na malori kuweka ngao za chuma sehemu za mbele na nyuma ya gari.

Malori na Mabasi yaliyoqekewa hizo ngao hato magari yalipishwe faini na yasiendelee na safari mpaka hizo ngao ziondolewe.
Solution ni double lane
 
Hao abiria hivi wana akili timamu?? Yaani mwenzao anapigwa wamekaa kwenye siti.
Na hao waliompiga si watafutwe wakamatwe. Watu mnasema R.I.P huku mnachekelea.
Abiria abiria....Sasa wewe unasafiri na bus,dereva kasimama anaenda kupigana na dereva mwingine nje ya bus kwahio utashuka ukaingilie? Hata mimi wala nisingehangaika.
 
Pia ni reminder kwamba ukiwa unakufa mbele ya watanganyika wenzio watakurikodi warushe status.
Sasa wewe ulifikiri ukiwa mbele ya watu ndio upigane hovyo utegemee waingilie ugomvi wajo wa kupuuzi? Utakufa huku unaangaliwa tusubiri polisi waje wakutupe nyuma ya defender lao.
 
Binadamu tumekuwa wanyama hata Hao wanyama wenyewe wanatushangaa, poleni sana ndugu zake😔
Mkuu mm huo nikiyatafakari matendo ya baadhi ya binadam, basi najikuta kila kiumbe aitwae binadamu nashirikiana nae kwa tahadhari kubwa sana, maana kiumbe huyo akikubalikia kidogo tu anachoweza kukufanya utashangaa
 
Kwa hiyo alikuwa ana pambana na walevi na watu Waliokuwa na silaha. Sasa hapo abiria wangepambanaje na walikuwa hawa silaha. Ku rekodi angalau kuna saidia kutoa ushahidi
Wewe hujui watu wa jf? Yaani eti ushuke kwenye bus ukaingilie ugomvi wa wapuuzi wawili wasiojitambua! Ukute washagida viroba vyao.
 
naomba usiangalie, imeharibu siku yangu. mtu anakata roho anaruka na kutetemeka kakakamaa kama kuku yaani. mtoto wa mwanadamu mwenzio na jamaa mwanaume amesimama na rungu pembeni kama anataka kumwongeza. wakamatwe haraka wauaji hawa.
Hao abiria wasenge sana yaani dereva wao anapigwa hadi anakata Moto wao wapo tu
 
Mpaka tupate habari ya upande wa pili.

Nijuwavyo nadereva wa mabasi ndiyo huendesha vibaya, wanajimwambafai sana barabarani.
Ni kweli Kabisa madereva wa mabasi wanajifanya wana haki Sana barabarani na hivyo wanakuwa na visenti vya kuwaachia ma traffic au ndio mabasi ya wenyewe, basi itakuwa ukiwa na Gari dogo atapita magari mengine, akikutaba nnaclorry au Gari nyingine mbele anakuletea mwenye Gari dogo upande wa kushoto, mpaka unatoka barabarani, mpaka ningependekeza mabasi yawekewe CCTV ili ajali ikitokea ushahidi uwepo .ama sivyo kuwepo Chuo maalumu cha madereva wa magari ya biashara hususani yanayobakia abiria.
Hapa Dar Tu njia ya Bagamoyo , usiombe mkutane na mabasi yanaanza kuingia Mjini , jinsi wanavyoyapita magari na kulazimisha kujisalimisha upande halali yaani kushoto, utakuta basi linakulazimisha wewe utoke nje ya Barabara, iliumuachie yeye nafasi ya kurudi , upande halali.
 
Huko barabarani kuna mambo mengi sana wakati mwengine kwenye shari na hao jamaa wa malori kama ukiweza hata kama amekugusa muache tu aende ukafanye namna nyingine.

Jamaa ni nusu vichaa na zamani tulizoea kuona madereva wa malori wazee siku hizi ni vijana wadogo hekima ya kuamua ni zero.
Kwenye malori kumevamiwa na waraibu....Enzi zetu tuliishi kwa upendo sana.
 
Kwa ujumla sisi Watanzania ni watu waoga sana.

Kuna kipindi flani hivi hapo nyuma, ililetwa video humu inayomuonyesha askari wa JW akiingia ndani ya daladala na kuanza kumpiga dereva wa hiyo daladala!

Daladala ilikuwa imejaa abiria na hawakufanya chochote dhidi ya huyo askari wa JW.

Kibaya zaidi, huyo dereva wa daladala hata hakujaribu kujihami kwa kurudisha mashambulizi.

Alijikunyata tu na kukubali kupigwa kizembe sana.

Kwa hiyo wala sishangai kusikia kwamba watu walimkodolea macho tu huyo dereva wa basi akishambuliwa na hao watu wa lori.

Liwe na liwalo litalokuwa, hakuna binadamu yeyote yule atakayenishambulia mimi halafu mashambulizi yasimrudie.

Labda abahatike kwa kurusha one-hitter quitter nidondoke nipoteze fahamu.

Kinyume cha hapo, it’s on. It’s a street fight and anything goes.

Hata kama akinishinda, akirudi kwake atatambua kwamba he was in a fight.
 
Kuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?

Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda...

Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa kutaka kuongea nao, ambapo walimpiga na kumuua..

View attachment 3087265
View attachment 3087267

=====

UPDATES KUTOKA JESHI LA POLISI
View attachment 3088120
Daaah
Wameua mtu anayetegemewa na familia na jamii yake.

Kuna giza Tanzania
 
NImekutana na clip moja imeharibu siku yangu yote. inaonyesha dereva wa mtei anakata roho na kuna wanaume wameshika fimbo inaonekana ndio wamempiga, inasemekana ni madereva wa lorry. ni kweli?

wanadamu sometimes wabaya sana sana.


View: https://x.com/i/status/1831253133109899406

Hivi hilo gari halikuwa na abiria? Au alitaka kusababisha ajali hao wakakasirika kwa sababu amebeba watu?
Inasikitisha lakini.
 
Huko barabarani kuna mambo mengi sana wakati mwengine kwenye shari na hao jamaa wa malori kama ukiweza hata kama amekugusa muache tu aende ukafanye namna nyingine.

Jamaa ni nusu vichaa na zamani tulizoea kuona madereva wa malori wazee siku hizi ni vijana wadogo hekima ya kuamua ni zero.
Huko barabarani kuna mambo mengi sana wakati mwengine kwenye shari na hao jamaa wa malori kama ukiweza hata kama amekugusa muache tu aende ukafanye namna nyingine.

Jamaa ni nusu vichaa na zamani tulizoea kuona madereva wa malori wazee siku hizi ni vijana wadogo hekima ya kuamua ni zero.
Hekima hamna plus ganja na nyagi muda wote.
 
KIZIMKAZI a.k.a chura hana muda na watanganyika. Tuamke tujitete dhidi yake na utawala wake.YY akimaliza anasepa kwao znz.
Pole kwa familia yake na ndugu zake.
Tuamke
 
Watutsi sio watu kabisa lakini kuna Wabongo wanawashobokea sana,wale watu wamezoea kuuana huko kwao.
 
Toka dereva wa bus anikose kose kunigonga kwenye taa saa mbili usiku gari zote zimesimama taa hazijaruhusu mpaka kesho nikiwa barabarani napata anxiety. Acheni wafe.

Niliacha kuvuka sehemu ya kawaida nikafata taa, halafu mtu kaja spidi huko hajali wenzie wamesimama taa hazijaruhusu, ni mbio tu ziliniokoa nikasimama pembeni nikalia kwanza aiseee. Madereva wa mabus wengi ni mbwa
 
Back
Top Bottom