Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Hivi watanzania wangefanya kitendo kama hiki Rwanda wangekuwa washakula risasi sasa hivi.
Ile intelijensia iliyozuia maandamano Mbeya ya chadema ndio ingetumika fasta kuwatia nguvuni watuhiwa .
Halafu huwa kwa wenzetu unakuta msemaji wa polisi anakuja anasema jambo liko hivi linaendelea hivi na tumefikia hivi hii ndio integrity na accountability.
Hata kupigwa risasi trump press conference ilibainisha what real happened kwa haraka ili kuzuia taharuki.