Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

Wakati mwingine wanajeshi huwa wanajiona kuwa wako juu ya sheria. Kuna wengine walivunja sheria, waliovateki kwenye zebra, hapo hapo wakagonga pikipiki, gari yao ikapasuka tairi la mbele. Wakapaki pembeni kubadilisha tairi huku wananchi wakiwakoromea na wao hawakujibu kitu, walikuwa wapole kiasi cha kuwafanya wananchi nao kupoa. Hakuna aliyejeruhiwa zaidi ya gari yao kupasuka tairi. Wanajeshi wafanya fujo ni wale vijana wageni na kazi wapenda sifa na ulimbukeni kupiga wananchi au wanajeshi wenzao wa majeshi mengine
 
Toa uthibitisho kuwa kila dereva wa basi hufanya hivi
 
Madereva wa mabasi makubwa baadhi ni washenzi Sana,wanaendesha Kama vile Barabara ni ya kwao peke yao,tungesikia na upande wa pili ilikuaje
Acha upumbavu huu,ni hawa so called wanajeshi,magari ya serikali, umma ndio vurugu kubwa kwenye mabarabara yetu, Doctor naye ni mshenzi hailezi ukweli kuwa majeruhi hayo ya mpigwa yalitokana na nini, police nayo ni ovyo why they can't arrrest a suspect, hapo ingekua raia kapiga mwanajeshi ingekuaje?,mwanausalama haruhusiwi kupiga raia
 
Huyo Koplo wa Jeshi hana akili, anatakiwa afanye kazi aliyoajiriwa jeshini na sio kufanyakazi za Usalama Barabarani.

Kama kuna makosa yalifanywa na Dereva wa basi alitakiwa atoe taarifa kwenye kitengo cha Usalama Barabarani.

Huyo mwanajeshi akamatwe apelekwe mahakamani Sheria ichukue mkondo wake
 
hawa jamaa banaa.. leo kuna mwingine alikuwa na BMW DVB kama sikosei maeneo ya makongo nilimkuta kawekwa kati na wajeda.. jamaa anatetemeka tu hadi huruma 😅😅
 
Jeshi la polisi bhana,sio kwamba wamemkamata mtuhumiwa hapana Bali wamemhoji ilikuwaje.wakati mtu yupo hoi.

Dah,nacheka Sana.

Ila inawezekana dereva kaovertake harafu hatua kidogo kaenda kusimama mbele kumchukua abilia.

Saa Kamanda kajiuliza huyu amenipita mshale na fujo juu kumbe anakuja kusimama hapa tu.mamamae ngoja
 
Huyo dereva boyo tu kwani mawe yanauzwa kwenye gali humo kuna viumba kibao
 
Miaka yote nchi hii hawa jamaa upenda kuwaonea raiya 1 pale kawe ulikutana na kisiki akan,golewa meno tatizo za hawa jamaa ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…