Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

Cha kushangaza huyo Kamanda Mtatiro hajasema chochote kuhusu abiria aliyekuwa na huyo dreva. KULIKONI? Wamemuachia huru? Wamemkamata? Na kama amekamatwa kosa lake ni lipi? Kwanini hajahojiwa ili na yeye aseme kile kilichojiri hadi dreva akauawa?
 
Kuna zile body camera mfano askari wa USA huwa wanazivaa, ni nzuri kwa uthibisho wa kile kinacho semwa na maaskari baada ya tukio
Siku askari wa bongo wakivaa bodycam wengi wataacha kazi..mana sio kwa maovu wanayofanyia raia...hawaaminiki tena.

#MaendeleoHayanaChama
 
Waislamu wana nini na polisi wetu?? Alianza Hamza sasa Saidi anataka kutuulia askari wetu tena. Au ndio mambo ya jihadi sijui haya !!!![emoji16][emoji16]
Hawa watu ni hatari kwa usalama wa nchi...wakimaliza polisi watahami kwa raia wema mana wanaona polisi ni kikwazo kwao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Swali la kujiuliza..mbona wakati ana mimina risasi alikua anataja mungu wa dini ya haki?

#MaendeleoHayanaChama
 
Swala la kujiuliza kwanini hawa waliomfahamu kwa karibu walimuona ni mtu mwema hadi wengine kumuona ni shujaa? Polisiccm ilimkorofisha nini hadi aamue kuwaua!?


Swali la kujiuliza..mbona wakati ana mimina risasi alikua anataja mungu wa dini ya haki?

#MaendeleoHayanaChama
 
"kitu kama kisuu " hii kauli tuu inaonyeshwa ni cooked

Walivyomuua walishindw kujua alikuw na ni nn
 
Sibishani na mtu asiejielewa. Ni lazima nizunguke TZ nzima ili niwajue wa TZ? Nonsense
 
Polisi wetu wamefundishwa kuua na siyo kudhibiti wahalifu.

Huyu jamaa angejeruhiwa kisha akamuliwe ukweli wa tendo alilotaka kufanya lina lengo gani.

Au inawezekana walitoleana maneno na polisi wakaamua isiwe tabu wakamfyatua.

Polisi mwenye silaha unasogelewaje na raia huku ana kisu usichukue tahadhari na kumdhibiti hata za miguu?
 
Naam
Umeiweka vyema sana hii hekaya inayofunika ukweli wa uhai wa Mtanzania aliyeuwawa na majambazi wakiwa kwenye sare za polisi
 
Kuna watu huwa wanaamini kuwa zile gun wanazobeba police hawapigi ningekuwa mimi ningemchapa anavyotaka kunisogelea tu hiyo sub kazi yake ni kuua watu wajinga kama hao sheria inasema silaha itatumika kwaajili ya kuokoa askari na watu wanaomzunguka wanapotaka kujeruhiwa au hatari ya kuuawa soja mpaka anajeruhiwa anaangalia tu hiiiiiii alivyoshuka tu kwenye lori anavyokuja chuma ipo chemba inasubili kutafuna mtu.
 
Huyu Raia mwema aliyeuliwa na Polisi ameniuma sana, Unakuta gari iko spidi 120 tena Lori lkn askari anang'ang'ana kusimama barabarani kuzuia gari husika.
Tunaomba Uchunguzi huru huyo RPC na genge lake waadhibiwe.
Kule ROMBO walimuua askari mwenzao wakaja kwenye media wakasema kagongwa na Pikipiki. Uchunguzi ulivyofanyika ukweli ukabainika kwamba ameuliwa kisa ugomvi wa kugawana Rushwa za Magendo. Sitakaa niamini hizi gonjera za Polisi kirahisi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].akina hamza tupo wengi polisi mjitafakari Mimi mwenyewe kuna polisi namtafuta ipo siku nitakuja kumsomea hukumu.
Alinitapeli laki moja na elfu themanini
 
Kama alijaribu kufanya hivyo Basi anastahili alichopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…