[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya ni maelezo ya polisi au mashahidi? Polisi sio wakweli huenda walitaka kumwibia makaa ya mawe wakizani mkaa wa miti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya ni maelezo ya polisi au mashahidi? Polisi sio wakweli huenda walitaka kumwibia makaa ya mawe wakizani mkaa wa miti.
Itisha upigaji wa kura hata hapa Jf utapata majibu.Utafiti wako ulifanyia wapi wa kuwa watanzania wengi walimuona Hamza shujaa?? Weka data hadharani mkuu
Dah. Hapa tutakaa sana. Acha lifanyiwe kazi.Kwani inashindikana kuwa hivyo?
Hata Hamza angepigwa risasi kabla hajafanya aliyoyafanya mngesema polisi ni waongo waliokubuhu.
Sometimes jipe muda wa kulitafakari jambo kabla hujaropoka, ukishakuwa na vielelezo unaweza kuja kutoa maoni yako
Shujaa kwa lipi?Nawajua polisiccm unadhani kwanini HAMZA Watanzania wengi walimuona ni shujaa? Unadhani kwanini polisiccm wanachukiwa sana na Watanzania wengi?
Wewe unayejua aliporwa mali zake, unafanya nn mpaka saivi hujaenda kufungua kesi? Walau familia ya hamza ikuite HEROPolisiccm kwanini hawasemi kweli kuhusu kumpora Hamza mali yake? Kwanini hakuna uchunguzi huru ili kujua chanzo halisi cha Hamza kuamua kuwaua polisiccm tu na siyo raia?
Polisiccm ni magaidi na wanafanya unyama na ukatili wa kutisha nchi nzima zikiwemo dhuluma. Nchi ingekuwa ina utawala wa sheria basi hili jeshi lisingekuwa hivi lakini pamoja na Watanzania kulalamika kuhusu polisiccm na kuonyesha chuki kubwa dhidi ya polisiccm Serikali imepiga kimya tu huku polisiccm wakiendeleza udhalimu wa kutisha kote nchini.
Acha kuishi na umbea kichwani mwako ndugu, leta vielelezo hapa vya kuporwa Mali za hamza.Polisiccm kwanini hawasemi kweli kuhusu kumpora Hamza mali yake? Kwanini hakuna uchunguzi huru ili kujua chanzo halisi cha Hamza kuamua kuwaua polisiccm tu na siyo raia?
Polisiccm ni magaidi na wanafanya unyama na ukatili wa kutisha nchi nzima zikiwemo dhuluma. Nchi ingekuwa ina utawala wa sheria basi hili jeshi lisingekuwa hivi lakini pamoja na Watanzania kulalamika kuhusu polisiccm na kuonyesha chuki kubwa dhidi ya polisiccm Serikali imepiga kimya tu huku polisiccm wakiendeleza udhalimu wa kutisha kote nchini.
Shujaa kwa lipi?
Shujaa kwa kuondoa uhai wa watu wasio na hatia?
Shujaa kwa kusababishia watoto kubaki yatima baada ya kuwauwa wazazi wao.... tena wakiwa katika majukumu ya kuwatafutia ugali wa kila cku?
Shujaa kwa kuleta taharuki kwa abiria waliokua eneo lile?
Huu ushujaa wa Hamza utaonekana machoni mwa wapumbavu wachache wasiojua kureason mambo.
Polisi ni zero brain.Me sijaelewa.
Dead men tell no tales.
Si wangemshuti miguu.
Acha kuishi na umbea kichwani mwako ndugu, leta vielelezo hapa vya kuporwa Mali za hamza.
Umesikia tu umbea pahali huna hata muda wa kutafakari na kujiuliza unabeba kama ulivyo, hii tabia ukiiendekeza itakuja kukupa matatizo ndugu
Na ndo tatzo letu watanzania mkuu. Umbea unakua habari kuu.Acha kuishi na umbea kichwani mwako ndugu, leta vielelezo hapa vya kuporwa Mali za hamza.
Umesikia tu umbea pahali huna hata muda wa kutafakari na kujiuliza unabeba kama ulivyo, hii tabia ukiiendekeza itakuja kukupa matatizo ndugu
Hahahaaa! Wenzangu na mie msioamini hii taarifa tujuane mapemaaaDereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki.
Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinki anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari hao walilikwepa kisha gari likaingia msituni.
Dereva alishuka katika gari na kuwafuata askari huku askari wakidhani dereva yule ana nia ya kuomba radhi kwa alichokifanya lakini haikuwa hivyo na dereva huyo alitoa kitu mwilini kinachosadikiwa kuwa ni kisu na kuanza kumshambulia askari na kumjeruhi huku akitaka kumnyang'anya silaha lakini askari alifanikiwa kumdhibiti kwa kumpiga risasi.
Askari watatu walijeruhiwa katika tukio hilo.
Sure kuna kitu hakipo sawa [emoji848][emoji848]Tunataka camera ziweke kila sehemu
Siiamini hii script
Hata kamanda wa polisi kakangamia sana....roho ilikubali ila mwili ulikataa kabisa kutamka kilichotokea. Polisi hawaaminiki aisee. Kuna motive gani dereva afanye unyang'anyi wa silaha?Body cam footage za hao polisi ziwekwe hadharani tujue ukweli ni upi.
Ni siro tenaDereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki.