raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kama dereva waweza kuta yeye kazi yake ilikuwa kubeba mzigo tu na kupeleka mahali fulani anaachiwa 50k bila kujua yupo kwenye deal la bil kadhaaBilioni kadhaaa.
Na ajabu hukuti cha maana walichofanya.
Zaidi ya pombe na wanawake.
Hakuna Kesi hapo ni Bla bla tu hizi.DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.
Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.
Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441
Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
Acha wivu😅😅😅Bilioni kadhaaa.
Na ajabu hukuti cha maana walichofanya.
Zaidi ya pombe na wanawake.
Na wamo humo humo kwenye wizi pia. Ndio maana hawapendi upinzaniWasiyojulikana wako kwa ajili ya ku deal na upinzani tu
Hayo mengine wala hawawezi kuyagusa dada yangu kipenzi
Ova
Walikuwa wanatafuta pesa za uchaguzi.Kama China hao ni risasi zakisogo tu bila kucheleweshwa.
Wale wasiojulikana wangekuwa wana eliminate watu kama hao ningewaona wa maana sana.
Hahaha......japo sio vizuri lakini umesema ukweli.Daaah.. Safi sana wajomba ukiona tundu toboa mengine yatakuja mbele huko mbona wao wanapga mahela mengi kwa mikataba ambayo haieleweki na mtatoka tu wajomba maana waliowashtaki nao wezi wanaitaman hela hiyo hiyo mgawane
Ni wivu tu sidhani kama wana makosa kuliko wasiojulikana.DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.
Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.
Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441
Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
NakaziaNa bado watashinda kesi yao chini ya serikali ya CHURA.
All the best
Sasa pombe na wanawake sii ndio matumizi sahihi ya hela mwanawane.Bilioni kadhaaa.
Na ajabu hukuti cha maana walichofanya.
Zaidi ya pombe na wanawake.
Aisee wewe nitakutafuta weekend hii tupeane uzoefu.Sasa pombe na wanawake sii ndio matumizi sahihi ya hela mwanawane.
Wee unadhani wanaume wote na pumbuz zao huko mtaani wanazunguka kutafuta hela ili iwaje? Bottom line ni kukojolea pazuri tuu hamna jengine.
Magari majumba nikujilisha upepo
Hawa ndiyo wale walionekana kwenye yard ina magari ya LAKEDEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.
Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.
Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441
Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
Kila mtu ale urefu wa kamba yakeHilo la kuiba nimelikubali wabongo wanaiba aisee.
Yeah kila mtu anakula Kwa urefu wa kamba yakeDaaah.. Safi sana wajomba ukiona tundu toboa mengine yatakuja mbele huko mbona wao wanapga mahela mengi kwa mikataba ambayo haieleweki na mtatoka tu wajomba maana waliowashtaki nao wezi wanaitaman hela hiyo hiyo mgawane
Hahaha!!wesenge sana hao jamaa wanaonunu mafuta kwenye madumu barqbarani😂Nina jamaa yangu dereva wa magari makubwa ya mizigo alikuaga na tabia ya kuuza mafuta njiani.
Kila akipakia cargo akifika njiani anauza lita za kutosha.
Unaambiwa alizoeleka lile eneo, kila akipita ni lazima asimame auze.
Ikafika kipindi wale wanunuaji wakiiona gari kwa mbali wanaikimbilia na kusimamisha wakiwa wanaonesha madumu, yaani akifika ni shangwe eneo loote.
Sasa kuna siku akasafiri na bosi wa kampuni, ile kufika eneo lile akajifanya kujikausha kama haoni kitu.
Ile raia kumuona unaambiwa full shangwe watu wanaingia mpaka barabarani na madumu miluzi kama yote.
Dereva kajikausha kama sio yeye, akiulizwa vipi kuna nini anajibu hata mimi sijui.
Ikabidi tajiri amwambie apaki pembeni, ile kupaki tu watu wakalizunguka gari na madumu yao, vipi John leo huuzi mafuta?
Wamtafute mwanasheria nguli wanachomoka as long wanahelaHao wana pesa kesi ya mihela hio