Dereva wa Mamlaka ya Bandari na wenzake wafikishwa Kizimbani kwa Wizi wa Mafuta lita Milioni 9

DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.

Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.

Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
Hakuna Kesi hapo ni Bla bla tu hizi.
 
Kama China hao ni risasi zakisogo tu bila kucheleweshwa.

Wale wasiojulikana wangekuwa wana eliminate watu kama hao ningewaona wa maana sana.
Walikuwa wanatafuta pesa za uchaguzi.

Mpaka deal limebuma basi kuna Kada hajapewa mgao
 
Daaah.. Safi sana wajomba ukiona tundu toboa mengine yatakuja mbele huko mbona wao wanapga mahela mengi kwa mikataba ambayo haieleweki na mtatoka tu wajomba maana waliowashtaki nao wezi wanaitaman hela hiyo hiyo mgawane
Hahaha......japo sio vizuri lakini umesema ukweli.

Waliowashtaki wanazitamani
 
DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.

Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.

Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
Ni wivu tu sidhani kama wana makosa kuliko wasiojulikana.
 
Bilioni kadhaaa.

Na ajabu hukuti cha maana walichofanya.

Zaidi ya pombe na wanawake.
Sasa pombe na wanawake sii ndio matumizi sahihi ya hela mwanawane.
Wee unadhani wanaume wote na pumbuz zao huko mtaani wanazunguka kutafuta hela ili iwaje? Bottom line ni kukojolea pazuri tuu hamna jengine.
Magari majumba nikujilisha upepo
 
Nina jamaa yangu dereva wa magari makubwa ya mizigo alikuaga na tabia ya kuuza mafuta njiani.

Kila akipakia cargo akifika njiani anauza lita za kutosha.

Unaambiwa alizoeleka lile eneo, kila akipita ni lazima asimame auze.

Ikafika kipindi wale wanunuaji wakiiona gari kwa mbali wanaikimbilia na kusimamisha wakiwa wanaonesha madumu, yaani akifika ni shangwe eneo loote.

Sasa kuna siku akasafiri na bosi wa kampuni, ile kufika eneo lile akajifanya kujikausha kama haoni kitu.

Ile raia kumuona unaambiwa full shangwe watu wanaingia mpaka barabarani na madumu miluzi kama yote.

Dereva kajikausha kama sio yeye, akiulizwa vipi kuna nini anajibu hata mimi sijui.

Ikabidi tajiri amwambie apaki pembeni, ile kupaki tu watu wakalizunguka gari na madumu yao, vipi John leo huuzi mafuta?
 
Tanzania ukiwa na bilioni 26 utakwenda mahabusu Kama mgeni rasmi, na baada ya muda utakua viwanja.
Ogopa kesi ya kushtakiwa na tajiri mswahili, aisee huchomoki.
 
Sasa pombe na wanawake sii ndio matumizi sahihi ya hela mwanawane.
Wee unadhani wanaume wote na pumbuz zao huko mtaani wanazunguka kutafuta hela ili iwaje? Bottom line ni kukojolea pazuri tuu hamna jengine.
Magari majumba nikujilisha upepo
Aisee wewe nitakutafuta weekend hii tupeane uzoefu.
 
DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.

Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.

Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
Hawa ndiyo wale walionekana kwenye yard ina magari ya LAKE
 
Daaah.. Safi sana wajomba ukiona tundu toboa mengine yatakuja mbele huko mbona wao wanapga mahela mengi kwa mikataba ambayo haieleweki na mtatoka tu wajomba maana waliowashtaki nao wezi wanaitaman hela hiyo hiyo mgawane
Yeah kila mtu anakula Kwa urefu wa kamba yake
 
Nina jamaa yangu dereva wa magari makubwa ya mizigo alikuaga na tabia ya kuuza mafuta njiani.

Kila akipakia cargo akifika njiani anauza lita za kutosha.

Unaambiwa alizoeleka lile eneo, kila akipita ni lazima asimame auze.

Ikafika kipindi wale wanunuaji wakiiona gari kwa mbali wanaikimbilia na kusimamisha wakiwa wanaonesha madumu, yaani akifika ni shangwe eneo loote.

Sasa kuna siku akasafiri na bosi wa kampuni, ile kufika eneo lile akajifanya kujikausha kama haoni kitu.

Ile raia kumuona unaambiwa full shangwe watu wanaingia mpaka barabarani na madumu miluzi kama yote.

Dereva kajikausha kama sio yeye, akiulizwa vipi kuna nini anajibu hata mimi sijui.

Ikabidi tajiri amwambie apaki pembeni, ile kupaki tu watu wakalizunguka gari na madumu yao, vipi John leo huuzi mafuta?
Hahaha!!wesenge sana hao jamaa wanaonunu mafuta kwenye madumu barqbarani😂

Umeniikumbusha tukio moja😂
 
Ukisikia kula kutokana na urefu wa kamba ndio huku.
Hizi dili hata sisi maprofesa hatuzipati.
Tunaishia kuuza vimitihani tu kwa pesa kichele sana.
Kama walifanya hiyo biashara kwa nchi hii hawawezi kufungwa.
Mwulizeni Afande anayekula maisha nyumbani huku vibaraka wake wakifungwa maisha jela
 
Hao ni madereva tu vp mabosi zao? Dereva hawezi kuiba bila kupewa ramani na watu waliopo jikoni (insiders).

Hii nchi kila mtu ni mwizi tumezidiana vitengo na viwango tu.
 
Back
Top Bottom