Dereva wa STL 9898 Landcruiser Uwe Muungwana

Dereva wa STL 9898 Landcruiser Uwe Muungwana

Inawezekana unachuki binafsi na hiyo dereva,kuna je mwiliwako ni automatic kwamba unaweza ku u tune unavyotaka?hujaona watu wakidondoka,kujisaidia bila kupenda?je amebanwa eneo hisika angefanyaje?
 
Inawezekana unachuki binafsi na hiyo dereva,kuna je mwiliwako ni automatic kwamba unaweza ku u tune unavyotaka?hujaona watu wakidondoka,kujisaidia bila kupenda?je amebanwa eneo hisika angefanyaje?
Sawa Dereva wa STL.
 
huyo dereva ndio zake hizo, kuloga wenzake na kuloga gari ili kila atakayepewa hilo gari limshinde awe yeye kwenye hilo gari ndio adumu. Ni mshenzi huyo...

Napiga ramli chonganishi hapa
 
Nimeamini kuwa madereva wa magari ya serikali wanajiona wao ni kila kitu na ndiyo maana wamekuwa watemi kila mahali
Hivi huwa wana wlimu gani hawa ndugu zetumaana si kwa kujisikia huko,hivi dereva pia anaweza jufikia kiwangocha phd.
 
Sijui ni mimi peke yangu...

Ila Mkuu kitu alichofanya dereva ni cha kawaida sana,,, sijaona ajabu lolote mtu kumwaga kojo pembezoni mwa makaburi...,ilihali sinza, kinondoni watu wanamwaga sio kojo tu hadi sperm...

Ninachojiuliza ni hio hasira uliyonayo inatokana na nini haswa..?????? huku nikiamini humu ndani ni wachache sana wangekuwa na hasira kama ulizonazo wewe...

Otherwise Mkuu jitahidi kujua mambo ya kuzingatia,, ili uachane na yasiyokuhusu...
 
Watu wanaongoza kwenda kwa waganga Tanzania ni polisi wakufuatiwa kwa karibu Sana na wafanyakazi wa halmashauri.
Kwenye halmashauri ukiona dereva anapata Safari Mara kwa Mara utawasikia wenzake wakisema
' kwao Tanga yule' au
Kwao Lindi au kwao Makete. Hutasikia wakisema ni muadilifu
 
Umenikumbusha kula kimasihara juu ya waliolala “sinza” alishika msalaba faster. Sema hakuna cha tofauti unaweza fanya ukifa umekufa tuu
 
Back
Top Bottom