Dereva wa STL 9898 Landcruiser Uwe Muungwana

Wazo zuri sana najazia uzi uitwe caught on camera
 
ACHA chuki na roho mbaya wewe kama ni kuroga na wewe si ukaroge...
 
Picha
 
Inawezekana unachuki binafsi na hiyo dereva,kuna je mwiliwako ni automatic kwamba unaweza ku u tune unavyotaka?hujaona watu wakidondoka,kujisaidia bila kupenda?je amebanwa eneo hisika angefanyaje?
Huwenda ana maradhi ya Sukari,ukiwa na maradhi ya usukari,kuzuia mkojo ni tabu sana.Ukichelewa kidogo,unaweza kujikojolea,na huwa mkojo una una sana.Na ni hivyo hivyo kwa mwenye U.T.I,hushindwa kujizuia kwa mkojo.Na wazee wenye umri mkubwa,hasa wanaume.
 
Yaani mtu kukojoa makaburini ndio umeanzisha mpaka uzi we jamaaa vipi itakua huna kazi ya kufanya, ulitaka ajikojolee kisa marehemu. mbona wengine wanaenda kufanya starehe juu ya makaburi
 
Sasa mtu afe na kojo lake eti kisa makaburini mbona watu wananyanduana makaburini kwa sana Kwanza siogopi ata boss akijua Haina shida
Mleta uzi ni fala sana nilijua jamaa kafaya kosa la ajabu kumbe kakojoa tuu tumbafu
 
Kosa ni kukojoa kojoa hovyo. Uchafuzi wa mazingira. Mtumishi wa uma hatakiwi kufanya hivi.

Nadhani kwa hili na muda wa kazi ulioweka na namba ya gari unategemea rejista ikiangaliwa inawezekana ukafanikisha kumuondoa kazini. HONGERA SANA KWA KUPAMBANA.
 
Tunakojoa tu mbona! mkojo umenibana nikakojoe wapi mazishi yenyewe masaa mawili.
 
Yani mtu akukazie demu wako mtaani halafu chuki uje kutuletea JF?

Huu ni ujinga sawa na ujinga mwingine.
 
Agrrrr, mi nikajua kuna kitu cha maana kumbe, mwee.
 
Hata kama huumwi chochote ukibana mkojo muda mrefu unaharibu figo.

Inatakiwa ukojowe kila unapojihisi mkojo umejaa kwenye bladder wewe kojowa tu ni kwa afya yako.

Ndio sababu hospital mgonjwa wako asipopata mkojo wanampa rufaa kwenda hospitali kubwa, ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…