Dereva wa STL 9898 Landcruiser Uwe Muungwana

Akifukuzwa kazi mshahara wake utahamishiwa kwako mkuu, issue ya usafi wa mazingira ni pana sana inahitaji elimu, facilities na mda... by the way hamna mtu anapenda kutoa haja yake hadharani hovyo ukimuona mwenzio kajisitiri hovyo ujue kazidiwa.
 
Reactions: Tsh
Akifukuzwa kazi mshahara wake utahamishiwa kwako mkuu, issue ya usafi wa mazingira ni pana sana inahitaji elimu, facilities na mda... by the way hamna mtu anapenda kutoa haja yake hadharani hovyo ukimuona mwenzio kajisitiri hovyo ujue kazidiwa.


Embu soma tena nilichomwambia mleta mada kabla hujanihukumu kuhusu kutaka afukuzwe kazi. Ushaona wapi mtu anapongezwa kwa kuchongea wenzake wafukuzwe kazi?ila mm nimempongeza kwa kupambana kwake.

Kuhusu kujisaidia barabarani sheria ipo wazi, hutakiwi kujisaidia hovyo barabarani ila alichofanya huyo mleta mada ni kutaka jamaa yamkute mabaya kwa kuweka namba ya gari na muda wa kosa.
 
kwani makaburini kuna tatizo gani mtu kukojoa hapo,,, wafu hawajui lolote na kilichopo kule ni mifupa tu Mkuu Roho yake wala utu wake haupo kaburini. tuache ushamba kidogo
 
Tulitazame hili kwa jicho la pili, huyu dereva alikojolea kaburi au karibu na makaburi, je drive huyu haiwezekani anamatatizo ta kuzuia mkojo au alikwisha jibana kwa muda mrefu? Tusikuze hili jambo kwani ni la kwaida, roho ilishawatoka watu waliolala katika kifo ndio maana maeneo haya yana muda wa kuyatunza kisheria. Kuna watu wanachomwa au wanaungua na hata hayo makaburi hayapo. Kuna watu wanazikwa baharini. Tusipote muda kuwajadili hao waliolala katika umauti kwani muda wao umepita haya ni maandiko matakatifu. Hakuna atakaefufuka na mwili ule wa awali kwani roho ndio itakayohukumiwa sio mwili.
 
Nisamehe mkuu nilikuwa nimebanwa mbaya sana.
 
Nimejaribu kuvaa viatu vya huyo Dereva aliyebanwa na Mkojo mpaka kibofu kimeanza kuuma, kisha nikajiuliza ingelikuwa ni Mimi je ningeweza kuendelea kuendesha gari kweli?
 
Kukojoa dhambi? Basi mi naenda moton
Tuache kupangiana sana maisha

Wewe mzinzi sana
Mwingine mwizi sana
Wengine wazushi sana


Kila mtu akianza kumyoshea mwenzake kidole hakuna atakayebaki salama



Wanaume sisi popote kambi
Na mkojo unatoka
 
ukiona udi unachomwa ujue wanavuta bangi kupoteza harufu ya bangi
Sema kwa sababu sijataja sehemu husika.
Bila utani, ungepigwa albadili. Ni ustaadh ile mbaya. Hapendi mashal hata kidogo!
Kama una harufu ya pombe Secretary hakuruhusu hata iweje!
 
Kule dar naskia watu wanaenda kutiana juu ya makaburi halafu fresh tu yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…