Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?


Acha kuongopa hapa hakuna binadamu anayejua Yesu amezaliwa lini, yaani kwa maana ya tarehe wanaweza kujua au kukisia Mwezi lkn tarehe HAKUNA mtu anajua na ndiyo wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu na Siyo siku ya kuzaliwa YEsu!
 
Kwa iyo unataka kusema Mungu hawezi kumsababishia mtu mimba na ndani ya sekunde moja akazaa, ni mpaka atimize miezi 9 sio?

Kwahiyoo unatakaa kusemaa muujizaa huohuoo ulifanyikaa wachungajii wa kondoo wakakaa njee na mifugo yaoo wakati wa baridi?😕
 

Hakuna Mtu anayesherehekea birthday ya Yesu bali wanashrehekea kuzaliwa kwa Yesu (the birth of Yesu ) na siyo siku kwa maana ya birthday na sababu ni rahisi tu HAKUNA anayejua ni lini au siku Yesu amezaliwa ndiyo maana wanasherejekea kuzaliwa kwake na siyo SIKU yake ya kuzaliwa!

 

Wachaa Ku generalize mambo kwa vituu vilivyoo wazii na vinavyohitajii facts
 

Mmmm

Hebuu wachaa uogaa kamaa kwelii unamuanii Yesu , achana na majibu rahisii ya kukuwekea defensive mechanism

Try to reason brother , kwasababu huyo huyoo Yesu unaemuamini anasema kwelii itawawekaa huru
Kwahiyoo simama katika kwelii ya maandiko..
so wataka kusema kuwa kinachoadhimishwaa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu na sio sikuu .really/?

Yaani kama alivyosemaa Mdau mmoja kuwa tunasherehekea Uhuru siku isiyo ya Uhuru


Oky let's say. Ndo iko hivyo
Sasa ikiwaa haiadhimishwi siku , kwanini uadhimishaji huoo usingekuaa unafanywaa randomly mwaka huu 7/4 next year 22 August nk
 
Siyo kukumbuka siku ya kuzaliwa... ila tofauti ni hii; tarehe 25 december ni siku ya kukumbuka "KUZALIWA KWA YESU" unaona tofauti inapokuja?

tunasherekea kwamba Yesu "ALIZALIWA", na faida ya KUZALIWA kwake nadhani unaelewa

Ah mdau
Sasa hukoo ni kumuingiliaa tamuziii

Kwaninii isiwe any other day apart from he's birthday (25th Dec?)
 
mm kama mchungaji nasema huo ni utaratibu tu watu waliojiwekea, lkn iyo tarehe ya kuzaliwa haina ushaidi kwny biblia.
 
Hakuna uwezekano wa wowote wa Yesu kuzaliwa 25 Disemba;iwe ni KISAYANSI,KIHISTORIA na wala kimaandiko yaani QURAN na BIBLIA.Hilo ni suala lililotengezwa tu na watu kwa makusudio maalum.
 
Kwahiyoo unatakaa kusemaa muujizaa huohuoo ulifanyikaa wachungajii wa kondoo wakakaa njee na mifugo yaoo wakati wa baridi?😕



Mkuu umegusa sehemu muhimu sana, Biblia hapo inadanganya au mwandishi hakuwa sawa.

Tunafahamu kuwa December huwa kuna baridi sana na hata barafu huwa zinadondoka, sasa iweje wachungaji wakae nje wakati wa barid
 
Hakuna uwezekano wa wowote wa Yesu kuzaliwa 25 Disemba;iwe ni KISAYANSI,KIHISTORIA na wala kimaandiko yaani QURAN na BIBLIA.Hilo ni suala lililotengezwa tu na watu kwa makusudio maalum.


Inawezekana Mkuu, kwani hii mikanganyiko iko mingi sana kwenye Biblia kuhusu kuzaliwa kwa Yesu.
 
Siku ya kusaliwa,na siku ya kuzaliwa yesu tofauti iko wapi?ukweli ni kwambwa ni tarehe ya kubuni ndiyo sababu madhehebu mengine ya kikristu hayaadhimishi siku hiyo sababu haiko kwenye maandishi.
Madhehebu gani hayo..?? Hebu tutajie hata moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…