Sasa, Suala Lako Ni Doogo Sana. Kwamfano Chukulia Kwamba Wahehe Hatujui Siku Aliyo Zaliwa Mkwawa, Lakini Tarehe Mbili Ya Mwezi Wapili Tukasema Kwamba Siku Hii Ni Maalumu Kabisa Kwa KUMBUKUMBU Ya Kuzaliwa Mkwawa, Sidhani Kama Itakuwa Vibaya. Christmass Sio Birthdai Ya Kristo, Ila Ni Siku Ya Kumbukumbu Ya Kuzaliwa Kristo. Pia Hapo Awali Ilikuwa Ni Siku Ya Kuzaliwa Mungu Jua Wa Warumi, Hii Inamaanishakuwa Baada Ya Kumpokea Yesu, Warumi Walibadilisha Kilakitu Ikiwamo Mitindo Yao Ya Maisha. Nakwa Amri Ya Mfalme Hata Ile Siku Waliyokuwa Wakishehererea Kuzaliwa Kwa Mungu Jua Iliwekwa Kuwa Kumbukumbu Ya Kuzaliwa Kristo, Mwisho, Umenukuu Kile Kifungu Ambacho Wahubiri Wengi Hukitumia Katika Mambo Mbalimbali Hasa Upotoshwaji. Wengi Wamekuwa Wakitumia Kushindilia Mafundisho Ya Uongo Na Hasa Kuombea Sadaka, Watu Wangu Wanaangamia Kwa Kukosa Maarifa. Kwahiyo Kusheherekea Christmass Ni Dhambi Na Tunaangamia! Hapa Ningependa Kutoa Maana Za Dhambi. Kufanya Jambo Uliloambiwa Usifanye Na Kutokufanya Jambo Ululo Ambiwa Fanya.