Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Mmeanza na tar ya kuzaliwa Yesu soon linawatatiza je vipi kuhusiana na picha za yesu je ni za nani

Kama ulimwengu na serikali zake umekubaliana kuadhimisha 25 dec kuwa ndio siku ya kuzaliwa Bwana Yesu basi Mungu amebariki

Mzitii mamlaka kwa maana zimewekwa na Mungu

Anaeona kuwa 25 dec sio sahihi kwake basi achague mwezi wake wa kuadhimisha christmas yake
 
Hahaha kumbe kweli aisee faizafoxy kakuhonga na wewe!

Nilijua tu zile post zako a kutetea alshabab sasa umehamia huku.

Pole sana.
 
Hilo andiko watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa lipo wapi?...Inaonekana hujajipanga na huna hakika na unachokisema
 
Hilo andiko watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa lipo wapi?...Inaonekana hujajipanga na huna hakika na unachokisema

Kukosea kupo.liko kitaau cha hosea. watuwangu wamekosa marifa na kupungukiwa na utukufu wa Mungu
 
Cha msingi ni ukweli kwamba Yesu alizaliwa na 25 dec ndio imetokea kuwa siku ya kumbukumbu.
Asiyetaka kusherekea anaweza akaacha sio kila kitu kwa ajili ya kila mtu.

ukiristo unajengwa juu ya maandiko na si mapokeo.
 
uelewa wako dhidi ya maandiko ni mdogo au unataka kukufuru tu. Mariamu alizaa akiwa bado bikira ndo maana anaitwa Bikira Maria.

Uelewa wangu ukiwa mdogo, wako uliyeshindwa kujibu swali langu ni mdogo kuliko wangu ulio mdogo tayari.

Alizaa akiwa bado bikira? Does that even make sense to you?

Ina maana pamoja na kuzaa bikira ilibaki au bikira ilikuwepo kabla ya kuzaa, alipozaa ikatoka?

And why should bikira be such a great deal anyway? People lose the hymen while riding horses.
 
Ndugu wananchi hakuna mwanamke atakae shika mimba akabaki bikira bado.iwe alipata mimba kwa upepo au kwa dudu.alipopata mimba tu pale ndo ubikira ulipoota mbawa.hiyo haijalishi mimba iliingiaje.
 
Sasa, Suala Lako Ni Doogo Sana. Kwamfano Chukulia Kwamba Wahehe Hatujui Siku Aliyo Zaliwa Mkwawa, Lakini Tarehe Mbili Ya Mwezi Wapili Tukasema Kwamba Siku Hii Ni Maalumu Kabisa Kwa KUMBUKUMBU Ya Kuzaliwa Mkwawa, Sidhani Kama Itakuwa Vibaya. Christmass Sio Birthdai Ya Kristo, Ila Ni Siku Ya Kumbukumbu Ya Kuzaliwa Kristo. Pia Hapo Awali Ilikuwa Ni Siku Ya Kuzaliwa Mungu Jua Wa Warumi, Hii Inamaanishakuwa Baada Ya Kumpokea Yesu, Warumi Walibadilisha Kilakitu Ikiwamo Mitindo Yao Ya Maisha. Nakwa Amri Ya Mfalme Hata Ile Siku Waliyokuwa Wakishehererea Kuzaliwa Kwa Mungu Jua Iliwekwa Kuwa Kumbukumbu Ya Kuzaliwa Kristo, Mwisho, Umenukuu Kile Kifungu Ambacho Wahubiri Wengi Hukitumia Katika Mambo Mbalimbali Hasa Upotoshwaji. Wengi Wamekuwa Wakitumia Kushindilia Mafundisho Ya Uongo Na Hasa Kuombea Sadaka, Watu Wangu Wanaangamia Kwa Kukosa Maarifa. Kwahiyo Kusheherekea Christmass Ni Dhambi Na Tunaangamia! Hapa Ningependa Kutoa Maana Za Dhambi. Kufanya Jambo Uliloambiwa Usifanye Na Kutokufanya Jambo Ululo Ambiwa Fanya.
 
... Hapa Ningependa Kutoa Maana Za Dhambi. Kufanya Jambo Uliloambiwa Usifanye Na Kutokufanya Jambo Ululo Ambiwa Fanya.
naomba kujuzwa kwa tafsiri hapo juu, dhambi itahusisha amri kumi mpaka taratibu za kuvuna shamba na kuwaachia wajane na masikini kiasi kidogo cha mavuno shambani?
 
Hyo ni pasaka kaka, kwani biblia inasema kwamba, hamjui kuwa siku mbili zimesalia mwana wa adamu atasalitiwa
 
Kuhusu Christmas hata kwa upande wangu imekuwa changamoto kubwa ambayo nilikosa majibu kwa kipindi kirefu kutoka kwa viongozi wa dini kwani maelezo yao yanakosa ushahidi wa kimaandiko, na mkristo wa kweli anasimama katika misingi ya biblia na kama kitu hicho hakija andikwa basi ni batili. Biblia haijaeleza kuwa Yesu alizaliwa tarehe ngapi, ila sasa kwa sababu Mungu alinipa utashi huu ni mtazamo wangu na ndo utashi wangu kwa sababu huwa si mtwana wa vitu vyenye utata. Biblia inasema kipindi Yesu anazaliwa kulikuwa na makundi ya wachungaji wakichunga mifugo yao nje nyakati za usiku (luka 2:8). Kwa ushahidi wa mazingira miezi ya disemba na januari maeneo ambayo Yesu alizaliwa kunabaridi kali sana na kuhusu maeneo hayo biblia inatujuza hivi kwamba watu walikuwa wakitetemeka kwasababu ya baridi kali (Ezra 10:9,13, yeremia 36:22). Kwa utashi wangu isingewezekana kwa wachungaji hao kukaa nje na kondoo wao wakati wa majira hayo. Ukitaka kupata majibu mengine jaribu kugoogle utapata majibu tofauti tofauti. Ko hili jambo lina utata sana na wanadini wengi wanao sherekea hawana ushahidi na wengine wanapelekwa tu bila kujua lolote. Nasisitiza tena huu ni utashi wangu.
 
Back
Top Bottom