Desktop nzuri inauzwa Ipo dar es salaam

Thanks
 
Attachments

  • IMG_20221010_185732_646.jpg
    37.2 KB · Views: 25
  • aaaP.JPG
    64.8 KB · Views: 24
Naona pale CPU kuna namba 21, mara nyingi ofisi ndio zinahesabu mali zake hivyo na sio mtu tu private
[emoji23][emoji23][emoji23]dah we jamaa bhana hio 21 Iko wapi ?, hii COMPUTER NIMEITOA DUKANI mwezi tu wa tatu hio kampuni ni ipi
 
Sema kwa kila kitu hiyo bei ni reasonable mtu achangamkie dili
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah we jamaa bhana hio 21 Iko wapi ?, hii COMPUTER NIMEITOA DUKANI mwezi tu wa tatu hio kampuni ni ipi
Kama umeinunua dukani kwanini jina lako liwe Desktop VTR21SL na sio jina lako
 
Hamna sehemu nimeandika million mbili mkuu mwenyewe sikununua hio bei ebu tuwe waungwana wakuu
Nilitaka kushangaa million 2 nanunua mzigo mpya from dubai sio refurbished kutoka k/koo
 
Nilitaka kushangaa million 2 nanunua mzigo mpya from dubai sio refurbished kutoka k/koo
Huyo jamaa sijaelewa shida yake nini? Sasa anaukiza why jina liko kwenye default mode [emoji23][emoji23]
Itakuwa ya kampuni Sasa hujiulizi kwanini hio kampuni isiandike jina lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…