antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini mkuu hii ni pc yangu naitumiaga kwa coding sema now Kuna issue imenipata ndo maana nauzaHii sio company property kweli?
Naona pale CPU kuna namba 21, mara nyingi ofisi ndio zinahesabu mali zake hivyo na sio mtu tu privateUnamaanisha nini mkuu
Hiyo Tower sijaiona vzr ipige picha vyemaDesktop nzuri na inaukubwa unaofaa Haina shida yoyote
Specifications:
1.HDD ZIPO MBILI 500, NA 250=750GB
2. RAM 4GB
3. PROCESSOR : INTEL core i5
4.CPU 3.2GHz
Mawasiliano 0747456177
Location: dar es salaam,tabata
Haina shida yoyote bei ni 400k View attachment 2382863View attachment 2382864
[emoji23][emoji23][emoji23]dah we jamaa bhana hio 21 Iko wapi ?, hii COMPUTER NIMEITOA DUKANI mwezi tu wa tatu hio kampuni ni ipiNaona pale CPU kuna namba 21, mara nyingi ofisi ndio zinahesabu mali zake hivyo na sio mtu tu private
Million mbili Iko wapi KakaNdio uuze million 2 kweli???
Acha upigaji
RAM 4 PROCESSOR 3.2 MILLION 2 ulisikia wapi? Acha nongwaNdio uuze million 2 kweli???
Acha upigaji
Hii hapa kakaNaomba upress
Win+R
Kisha run Direct Diagnostic tool (Dxdiag) nataka kuangalia vitu..
Kama umeinunua dukani kwanini jina lako liwe Desktop VTR21SL na sio jina lako[emoji23][emoji23][emoji23]dah we jamaa bhana hio 21 Iko wapi ?, hii COMPUTER NIMEITOA DUKANI mwezi tu wa tatu hio kampuni ni ipi
Hamna sehemu nimeandika million mbili mkuu mwenyewe sikununua hio bei ebu tuwe waungwana wakuuRAM 4 PROCESSOR 3.2 MILLION 2 ulisikia wapi? Acha nongwa
I knew something wasn’t rightKama umeinunua dukani kwanini jina lako liwe Desktop VTR21SL na sio jina lako
Nilitaka kushangaa million 2 nanunua mzigo mpya from dubai sio refurbished kutoka k/kooHamna sehemu nimeandika million mbili mkuu mwenyewe sikununua hio bei ebu tuwe waungwana wakuu
Dah naona umekariri mkuu, hio ni desktop yangu nimenunua dukani , kwani unaponunua PC huwa unaisajiri?Kama umeinunua dukani kwanini jina lako liwe Desktop VTR21SL na sio jina lako
Huyo jamaa sijaelewa shida yake nini? Sasa anaukiza why jina liko kwenye default mode [emoji23][emoji23]Nilitaka kushangaa million 2 nanunua mzigo mpya from dubai sio refurbished kutoka k/koo
Kitu gani hakipo sawa mkuu?I knew something wasn’t right
Utapata mteja relax brother, tulikuwa tunakupa changamoto tuKitu gani hakipo sawa mkuu?