Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Central polisi wanazo cctv? Kama wanazo bado watafuta maana kila kitu kinA Kuwa kimepangiliwaKuthibitisha kama alikuwepo au hakuwepo ni kazi rahisi sana, waombe cctv za wahusika wote waliokuwepo siku hiyo hapo central police, waangalie metadata za minara ya simu kama kweli hao polisi walikuwepo, walinganishe na cctv za mahali ambapo mtuhumiwa alikuwepo na mwisho waangaalie minara ya simu kuelekea mahali ambapo mtuhumiwa alipelekwa, medadata zitasema tu kweli kama hao askari walimpeleka huko central au kwingine maana radio call zao au simu zao za mikononi zitaonesha minara waliyokuwa wanapitia.
Ndugu zangu tuwe na ajili na ufahamu. Nani aende akachunguze hizo CCTV na minara ya simu. Kama vyombo vyetu vingekuwa huru, vema, lakini bahati uchakachuaji wa hizo CCTV na taarifa za minara ya simu bado zitafavour vyombo vinavyochunguzwa. Hakuna imani na vyombo vyetu.Kuthibitisha kama alikuwepo au hakuwepo ni kazi rahisi sana, waombe cctv za wahusika wote waliokuwepo siku hiyo hapo central police, waangalie metadata za minara ya simu kama kweli hao polisi walikuwepo, walinganishe na cctv za mahali ambapo mtuhumiwa alikuwepo na mwisho waangaalie minara ya simu kuelekea mahali ambapo mtuhumiwa alipelekwa, medadata zitasema tu kweli kama hao askari walimpeleka huko central au kwingine maana radio call zao au simu zao za mikononi zitaonesha minara waliyokuwa wanapitia.
Lakini Central polisi wanazo cctv? Kama wanazo bado watafuta maana kila kitu kinA Kuwa kimepangiliwa
Hata mimi pia namkubali sana mtoa mada,anonekana ni mwanasheria kabisa ,pia ni mchambuzi mzuri,lkn pia ni mchekeshaji.Mtoa mada huwa namkubali Sana na uchambuzi wake wa mahakamani.....thumb up bro brazaj
Ndugu zangu tuwe na ajili na ufahamu. Nani aende akachunguze hizo CCTV na minara ya simu. Kama vyombo vyetu vingekuwa huru, vema, lakini bahati uchakachuaji wa hizo CCTV na taarifa za minara ya simu bado zitafavour vyombo vinavyochunguzwa. Hakuna imani na vyombo vyetu.
Hata mimi pia namkubali sana mtoa mada,anonekana ni mwanasheria kabisa ,pia ni mchambuzi mzuri,lkn pia ni mchekeshaji.
Tatizo lenu mnasikiliza upande mmoja na kuamuaKesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria.
Pungufu ya hivyo tunakoelekea mahakama haitaweza kukwepa lawama.
Mezani tulipo kuna pingamizi ambalo kigezo chake kikuu ni kuwa mshitakiwa hakuwahi kufikishwa central police Dar.
"Detention register ya mahali ambapo mshitakiwa anadai hakuwahi kufikishwa ina thamani gani mahakamani katika hatua hii?
Katika hali kama hii, inapokelewa vipi kama ushahidi?
Katika hali kama hii inapokelewa kuthibitisha nini, kabla ya Jaji kujiridhisha kwanza ukweli halisi ni upi?
Katika hali kama hii Jaji anajiridhisha vipi nani anasema kweli kuhusu central police baina ya upande wa mashtaka na upande wa washitakiwa?
Haki ikitendeka itaonekana.
Haki ikiporwa kupitia visingizio pia itaonekana ikiporwa kama Mh. Jaji ataamua iwe hivyo.
Changamoto hizi zitufungue macho zaidi kuona tunahitaji katiba ya namna gani kwa hakika ili kuepukana nazo kabisa.
Natamani watokee Magaidi kweli...
Nikupe siri moja ambayo watu wengi hawaifatilii.Haki ni muhimu sana ikapatikana.
Haki huinua taifa.
Mheshimiwa Mbowe, Adamoo, Ling'wenya, Bwire na hata Lijenje Siyo Magaidi.
Kuthibitisha kama alikuwepo au hakuwepo ni kazi rahisi sana, waombe cctv za wahusika wote waliokuwepo siku hiyo hapo central police, waangalie metadata za minara ya simu kama kweli hao polisi walikuwepo, walinganishe na cctv za mahali ambapo mtuhumiwa alikuwepo na mwisho waangaalie minara ya simu kuelekea mahali ambapo mtuhumiwa alipelekwa, medadata zitasema tu kweli kama hao askari walimpeleka huko central au kwingine maana radio call zao au simu zao za mikononi zitaonesha minara waliyokuwa wanapitia.
Hapana husemi uongo,Unasema kweli kabisa ndugu yangu.Tunasukumwa na haki za watu kuporwa. Hii haikubaliki.
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.
Mbowe na wenzake waadhibiwe kwa makosa yao, lakini si kubambikiziwa kesi.
Tunaamini hatuombi yasiyoweza kupatikana.
Au nasema uongo ndugu zangu.
Keleleee!Kesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria.
Pungufu ya hivyo tunakoelekea mahakama haitaweza kukwepa lawama.
Mezani tulipo kuna pingamizi ambalo kigezo chake kikuu ni kuwa mshitakiwa hakuwahi kufikishwa central police Dar.
"Detention register ya mahali ambapo mshitakiwa anadai hakuwahi kufikishwa ina thamani gani mahakamani katika hatua hii?
Katika hali kama hii, inapokelewa vipi kama ushahidi?
Katika hali kama hii inapokelewa kuthibitisha nini, kabla ya Jaji kujiridhisha kwanza ukweli halisi ni upi?
Katika hali kama hii Jaji anajiridhisha vipi nani anasema kweli kuhusu central police baina ya upande wa mashtaka na upande wa washitakiwa?
Haki ikitendeka itaonekana.
Haki ikiporwa kupitia visingizio pia itaonekana ikiporwa kama Mh. Jaji ataamua iwe hivyo.
Changamoto hizi zitufungue macho zaidi kuona tunahitaji katiba ya namna gani kwa hakika ili kuepukana nazo kabisa.
thubutu! nani awape wa utetezi? Hukusikia mwanasheria wa tigo akikuambia wanafuata maagizo ya watawala!?Hicho ndicho Jaji alipaswa kufanya. Ni muhimu haki kuonekana ikitendeka.
Mawakili wa utetezi wangeweza kupata ushahidi huo Tigo, Airtel, Vodacom, au Halotel for the sake of justice.
Bado mhimili wa Samia! uliojichimbia kuliko yoteTumesikiliza pande mbili na sasa tupo tunasubiri uamuzi wa haki:
1. Upande mmoja Jumanne kasema mshitakiwa Ling'wenya alipelekwa central polisi ambako alihojiwa na kuandikisha maelezo kwa ridhaa yake pasipokuwa na shinikizo lolote.
2. Upande mwingine Ling'wenya anasema alipelekwa Tazara police na akatakiwa kusaini maelezo asiyoyajua Mbweni polisi chini ya mashinikizo.
Ling'wenya anasema alikuwa kateswa vilivyo Moshi na aliendelea kukumbushwa kwa kutishiwa ya Moshi kujirudia kama hataridhia anayotakiwa kufanya na kuwa Lijenje alikwisha tupwa.
Upande upi hatujausikiliza? Au kuna upande mwingine usiojulikana ndugu mjumbe?
Yaani wew upo Kama Mimi na natamani wawalipue kweri kweriii hasa maeneo yao tuu wasiguse raia wasio na hatia. Hata nikiwaona wanatoroka siwezi kutoa taarifa zaidi ya kuwasaidia kutoroka.Natamani watokee Magaidi kweli...