Detention Register: Jaji Tiganga yuko Majaribuni - Kiza Kinene

Their hands are tied. Their Independence has been compromised. The Temple of Justice has been changed to the Temple of traitors, full of timorous souls. The only refuge that oppressed People could hope for has been taken to captivity.
 
Lakini Central polisi wanazo cctv? Kama wanazo bado watafuta maana kila kitu kinA Kuwa kimepangiliwa
 
Ndugu zangu tuwe na ajili na ufahamu. Nani aende akachunguze hizo CCTV na minara ya simu. Kama vyombo vyetu vingekuwa huru, vema, lakini bahati uchakachuaji wa hizo CCTV na taarifa za minara ya simu bado zitafavour vyombo vinavyochunguzwa. Hakuna imani na vyombo vyetu.
 
Lakini Central polisi wanazo cctv? Kama wanazo bado watafuta maana kila kitu kinA Kuwa kimepangiliwa

Polisi wakifuta huo utakuwa uthibitisho wa kwanza kuwa ni waongo.

Makampuni ya simu yatasaidia kujua walipokuwa timu ya Kingai na wenzake.

Hata ile hadithi ya Kingai Himo ulikuwa muda wa kuikagua.

Zikiwamo zile safari za Moshi - Arusha - Moshi - Tazara - Mbweni.
 

Utetezi wasikae kusubiria mtoto kuzaliwa.

Wanaweza kutoka wenyewe kutafuta taarifa hizo. Sympasizers kwenye makampuni haya wapo.

Anne Waiguru Kenya amewahi kunusuriwa na taarifa kama hizo alizozipata unilaterally.

Mbinu zetu za mapambano ni lazima zibadilike.

Mbinu nyingine ni kuitaka mahakama iamuru taarifa hizo zipatikane for the sake of justice.

Kila jiwe ni muhimu likakaguliwa chini yake.
 
Hata mimi pia namkubali sana mtoa mada,anonekana ni mwanasheria kabisa ,pia ni mchambuzi mzuri,lkn pia ni mchekeshaji.

Tunasukumwa na haki za watu kuporwa. Hii haikubaliki.

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.

Mbowe na wenzake waadhibiwe kwa makosa yao, lakini si kubambikiziwa kesi.

Tunaamini hatuombi yasiyoweza kupatikana.

Au nasema uongo ndugu zangu.
 
Tatizo lenu mnasikiliza upande mmoja na kuamua

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Haki ni muhimu sana ikapatikana.

Haki huinua taifa.

Mheshimiwa Mbowe, Adamoo, Ling'wenya, Bwire na hata Lijenje Siyo Magaidi.
Nikupe siri moja ambayo watu wengi hawaifatilii.
Wakiendelea kufanya uonevu wa kiwango hiki wanachofanyiwa akina Mbowe.
Tena kwa kiburi,na zaidi kwa kutumia na kutegemea nguvu za dola,fedha ama mabavu waliyonayo.
Naye unayemuonea akawa hana namna ya kujitetea kwa namna yoyote ile.

Nakuhakikishia kwa kiapo.HAKI YA MUNGU,Mungu mwenyewe huingilia Kati kuja kujibu kwa niaba ya wanaoonewa..
Kwa kuthibitisha hilo la mtu "kumshudia" mtu mwingine uongo,yaani kutoa ushahidi wa uongo. Kama wafanyavyo hao mawakili wa serikali,majaji,mashahidi na Mapolisi.
Mungu alitunga Sheria kali(amri) isemayo usishuhudie uongo au usiseme uongo.
Kwa kuwa Wana nguvu watajiona hawajali,lakini subiri majibu ya Mungu.
 

Japo ni kweli hayo yangesaidia lakini sio katika nchi yetu isiyopenda technolojia itakayosema vinginevo! Achilia mbaya kuwa hatuna uwezo huo kwani tungekuwa na body camera toka wanakamatwa Rau Moshi!! Kusingekuwa na mswali ya wakati wa mambo mbali mbali.

Kwa sasa namna pekee ya kuthibitisha alikuwa central polisi ni register ya Polisi wakati anafikishwa. Register ya kutolewa mahabusu na kurudishwa. Unakumbuka mshitakiwa mmoja alipewa jina bandia Mbweni?? Sasa ni wakati wa Polisi kuthibitisha watuhimiwa walikuwa sehemu wanazosemwa walikuwa! La sivo hakuna ushahidi walihojiwa na wakisema walisainishwa maelezo tu.

Kumbuka, sheria zetu hazimuhitaji mshitakiwa kujitetea. Zinamtaka mshitaki kuthibitisha bila mashaka shitaka lake!
 
Tunasukumwa na haki za watu kuporwa. Hii haikubaliki.

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.

Mbowe na wenzake waadhibiwe kwa makosa yao, lakini si kubambikiziwa kesi.

Tunaamini hatuombi yasiyoweza kupatikana.

Au nasema uongo ndugu zangu.
Hapana husemi uongo,Unasema kweli kabisa ndugu yangu.
 
Keleleee!
 
Tatizo lenu mnasikiliza upande mmoja na kuamua

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app


Tumesikiliza pande mbili na sasa tupo tunasubiri uamuzi wa haki:

1. Upande mmoja Jumanne kasema mshitakiwa Ling'wenya alipelekwa central polisi ambako alihojiwa na kuandikisha maelezo kwa ridhaa yake pasipokuwa na shinikizo lolote.

2. Upande mwingine Ling'wenya anasema alipelekwa Tazara police na akatakiwa kusaini maelezo asiyoyajua Mbweni polisi chini ya mashinikizo.

Ling'wenya anasema alikuwa kateswa vilivyo Moshi na aliendelea kukumbushwa kwa kutishiwa ya Moshi kujirudia kama hataridhia anayotakiwa kufanya na kuwa Lijenje alikwisha tupwa.

Upande upi hatujausikiliza? Au kuna upande mwingine usiojulikana ndugu mjumbe?
 
Hicho ndicho Jaji alipaswa kufanya. Ni muhimu haki kuonekana ikitendeka.

Mawakili wa utetezi wangeweza kupata ushahidi huo Tigo, Airtel, Vodacom, au Halotel for the sake of justice.
thubutu! nani awape wa utetezi? Hukusikia mwanasheria wa tigo akikuambia wanafuata maagizo ya watawala!?
 
Bado mhimili wa Samia! uliojichimbia kuliko yote
 
Huko kote umeenda mbali, akitenda haki lazima yamkute makubwa.

Nilishasema soon tutamkosa hapa maana lazima kuhamishwa mkoa mwingine
akihamishwa tutammiss sana ni mtu makini na peace sana.

Hata mwenyewe nahisi hakupenda achaguliwe yeye maana hii ni kesi ya lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…