PreGE2025 Deus Kibamba: Nimeoteshwa, serikali wakati wowote inaweza kuja na "nole porescute" au "unwilling to continue" na kesi dhidi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592

View: https://youtu.be/l93YJzVm8z0?si=mhs-eCey82uYQAyP
Huu ni mjadala mzuri sana uliofanywa AzamTV ukimshirikisha Deus Kibamba (Mhadhiri wa mambo ya siasa ktk Chuo Cha Mwl Nyerere) na Mwenyekiti wa Mkoa wa CHADEMA mkoa wa kichama, Kinondoni - DSM, ndugu Sunday..

Mjadala umejikita kujadili agenda ya CHADEMA ya NO REFORMS, NO ELECTION na vishindo vyake kiasi cha baadhi ya wanachama kushindwa kuhimili mabadiliko ya ndani ya chama na kuamua kutoka kutafuta fursa kwenye vyama vyingine vya siasa...

Deus Kibamba: "...Agenda ya NO REFORMS NO ELECTION, si ya CHADEMA pasee. Wamei - adopt na kuindeleza tu. Agenda hii ina zaidi ya miaka 32 ikiwa imeasisiwa na CCM wenyewe tangu mwaka 1992 tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi kupitia Tume mbalimbali walizoziumba wenyewe ya kwanza ikiwa ni ya Jaji Francis Lucas Nyalali, baadae Jaji Robert Kisanga, Jaji Mark Bomani na the latest ni ya Jaji Joseph Sinde Warioba. Tume zote hizi zilikuja na ripoti zenye maudhui ya NO REFORMS, NO ELECTION...."

Deus Kibamba: "...Hali ya kisiasa nchini kwa ujumla si shwari ndani ya CHADEMA na ndani ya CCM. Tatizo ninaloliona mimi, ni ukali wa misimamo ya pande mbili. CHADEMA wanaosema bila mabadiliko hakuna uchaguzi huku CCM na serikali yao nao wanasema, hatutaki chochote, mambo yatakuwa vile tutakavyo sisi..."

Deus Kibamba: "...Misimamo ya namna hii ikiendelea hadi uchaguzi mkuu, nchi hii itakwenda kuwaka moto haki ya Mungu tena....!!"

Deus Kibamba: Siku zote na duniani kote, hakuna chama cha siasa kilichoshika dola chenye bunduki ambacho huiachia dola kwa urahisi kwa sababu huwa wako tayari kutumia bunduki kubaki madarakani unless kutokee mapinduzi"

Deus Kibamba: "Aidha CHADEMA nao ni lazima wafahamu kuwa, mabadiliko ni mchakato na yanaenda hatua kwa hatua. Ni vyema wakalegeza msimamo wao kuruhusu majadiliano ya waingieje kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu 2025...."

Deus Kibamba: "...Mimi Naamini kuwa, serikali inaweza wakati wowote kusema 'hatuna nia ya kuendelea na kesi dhidi ya Tundu Lissu' na baada ya hapo wakae mezani wazungumze tuepuke kizungumkuti kilichopo mbele kama taifa. Sio nabii, lakini hili nimeoteshwa..."

My Note:
It's obvious kuwa, CHADEMA ya Tundu Lissu ni kama maji, haiepukiki kama ambayo hakuna kiumbe chaweza kugombana na maji, vivyohivyo huwezi kugombana na CHADEMA hii ukabaki salama. Maana, ukiyakwepa maji kuyanywa, basi utayaoga na ukiyakwepa kuyaoga, yatakunyea kwa mfumo wa mvua...!

Nchi hii chini ya CCM na vyama shikizi, haiwezi kufanya uchaguzi na mambo yakabaki kawaida pasipo ushiriki wa CHADEMA...!!

Twendeni mezani tuzungumze tunakwendaje kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Hatutaki mazungumzo ya kimagumashi na ya ulaghai kama ya mwaka 2021 chini ya Freeman Mbowe na CCM ya Samia...

Tunataka mazungumzo genuine, ya wazi na ya haki yakiongozwa na utashi wa kweli wa kisiasa..!
 
yaani kitu kipo kwa mujibu wa sheria halafu mtu anadai kuota, sio ulofa huo kweli?

au ni kutafuata kiki za kijinga? :BASED:
 
Mie sikuoteshwa bali najua serikali italazimika kufuta hii kesi uchwara kwa vile haiwezi kusimama kisheria na haina mashiko zaidi ya siasa za majitaka mwanangu. Nadhani wanaogopa kuingia nolle prosequi ili Lissu asiwadai mabilioni kwa kumkamata, kumweka ndani kinyume cha sheria, kumtesa, kumnyang'anya uhuru wake, kudhulumu haki zake, kumdhalilisha, kumhujumu, na mengine mengi.
 
Hiyo anayosema Kibamba itatokea mwaka 2026 baada ya Uchaguzi Mkuu.
 
Mie sikuoteshwa bali najua serikali italazimika kufuta hii kesi uchwara kwa vile haiwezi kusimama kisheria na haina mashiko zaidi ya siasa za majitaka mwanangu. Nadhani wanaogopa kuingia nolle prosequi ili Lissu asiwadai mabilioni kwa kumkamata, kumweka ndani kinyume cha sheria, kumtesa, kumnyang'anya uhuru wake, kudhulumu haki zake, kumdhalilisha, kumhujumu, na mengine mengi.
Kwa Tundu Lissu huyu mtukutu toka shule ya msingi, kuishitaki na kuidai fidia serikali hii ni possible 100%...

Hata ile kesi ya kuidai mabilioni kampuni ya simu ya Tigo a.k.a Yas, za chini chini ni kuwa maendeleo yake ni almost 97%...

Wakati wowote itaanza kuunguruma huko huko nchini Uingereza. Jamaa wameshapata ushahidi wote walioutaka...
 
View: https://youtu.be/l93YJzVm8z0?si=mhs-eCey82uYQAyP
Huu ni mjadala mzuri sana uliofanywa AzamTV ukimshirikisha Deus Kibamba (Mhadhiri wa mambo ya siasa ktk Chuo Cha Mwl Nyerere) na Mwenyekiti wa Mkoa wa CHADEMA mkoa wa kichama, Kinondoni - DSM, ndugu Sunday..

Mjadala umejikita kujadili agenda ya CHADEMA ya NO REFORMS, NO ELECTION na vishindo vyake kiasi cha baadhi ya wanachama kushindwa kuhimili mabadiliko ya ndani ya chama na kuamua kutoka kutafuta fursa kwenye vyama vyingine vya siasa...

Deus Kibamba: "...Agenda ya NO REFORMS NO ELECTION, si ya CHADEMA pasee. Wamei - adopt na kuindeleza tu. Agenda hii ina zaidi ya miaka 32 ikiwa imeasisiwa na CCM wenyewe tangu mwaka 1992 tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi kupitia Tume mbalimbali walizoziumba wenyewe ya kwanza ikiwa ni ya Jaji Francis Lucas Nyalali, baadae Jaji Robert Kisanga, Jaji Mark Bomani na the latest ni ya Jaji Joseph Sinde Warioba. Tume zote hizi zilikuja na ripoti zenye maudhui ya NO REFORMS, NO ELECTION...."

Deus Kibamba: "...Hali ya kisiasa nchini kwa ujumla si shwari ndani ya CHADEMA na ndani ya CCM. Tatizo ninaloliona mimi, ni ukali wa misimamo ya pande mbili. CHADEMA wanaosema bila mabadiliko hakuna uchaguzi huku CCM na serikali yao nao wanasema, hatutaki chochote, mambo yatakuwa vile tutakavyo sisi..."

Deus Kibamba: "...Misimamo ya namna hii ikiendelea hadi uchaguzi mkuu, nchi hii itakwenda kuwaka moto haki ya Mungu tena....!!"

Deus Kibamba: Siku zote na duniani kote, hakuna chama cha siasa kilichoshika dola chenye bunduki ambacho huiachia dola kwa urahisi kwa sababu huwa wako tayari kutumia bunduki kubaki madarakani unless kutokee mapinduzi"

Deus Kibamba: "Aidha CHADEMA nao ni lazima wafahamu kuwa, mabadiliko ni mchakato na yanaenda hatua kwa hatua. Ni vyema wakalegeza msimamo wao kuruhusu majadiliano ya waingieje kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu 2025...."

Deus Kibamba: "...Mimi Naamini kuwa, serikali inaweza wakati wowote kusema 'hatuna nia ya kuendelea na kesi dhidi ya Tundu Lissu' na baada ya hapo wakae mezani wazungumze tuepuke kizungumkuti kilichopo mbele kama taifa. Sio nabii, lakini hili nimeoteshwa..."

My Note:
It's obvious kuwa, CHADEMA ya Tundu Lissu ni kama maji, haiepukiki kama ambayo hakuna kiumbe chaweza kugombana na maji, vivyohivyo huwezi kugombana na CHADEMA hii ukabaki salama. Maana, ukiyakwepa maji kuyanywa, basi utayaoga na ukiyakwepa kuyaoga, yatakunyea kwa mfumo wa mvua...!

Nchi hii chini ya CCM na vyama shikizi, haiwezi kufanya uchaguzi na mambo yakabaki kawaida pasipo ushiriki wa CHADEMA...!!

Twendeni mezani tuzungumze tunakwendaje kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Hatutaki mazungumzo ya kimagumashi na ya ulaghai kama ya mwaka 2021 chini ya Freeman Mbowe na CCM ya Samia...

Tunataka mazungumzo genuine, ya wazi na ya haki yakiongozwa na utashi wa kweli wa kisiasa..!

Tundu lissu anakwambia anataka mahakama ya wazi kila mtu amshuhudie akihukumiwa duh! Mwaka huu mpaka kieleweke no Reforms No Election
 
Back
Top Bottom