LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
una wazimuAmka! Ndoto za kutisha utajinyea
una wazimuAmka! Ndoto za kutisha utajinyea
Hii ni spirit ya mtu ambaye yuko tayari kubeba mzigo ili watu wengine waokoke...Tundu lissu anakwambia anataka mahakama ya wazi kila mtu amshuhudie akihukumiwa duh! Mwaka huu mpaka kieleweke no Reforms No Election
Hawa jamaa hata hili wanaona shida eti....Ili jusimama upande mzuri wamwachie Lissu halafu wa initiate mazungumzo ya minor constitutional reforms.
View: https://youtu.be/l93YJzVm8z0?si=mhs-eCey82uYQAyP
Huu ni mjadala mzuri sana uliofanywa AzamTV ukimshirikisha Deus Kibamba (Mhadhiri wa mambo ya siasa ktk Chuo Cha Mwl Nyerere) na Mwenyekiti wa Mkoa wa CHADEMA mkoa wa kichama, Kinondoni - DSM, ndugu Sunday..
Mjadala umejikita kujadili agenda ya CHADEMA ya NO REFORMS, NO ELECTION na vishindo vyake kiasi cha baadhi ya wanachama kushindwa kuhimili mabadiliko ya ndani ya chama na kuamua kutoka kutafuta fursa kwenye vyama vyingine vya siasa...
Deus Kibamba: "...Agenda ya NO REFORMS NO ELECTION, si ya CHADEMA pasee. Wamei - adopt na kuindeleza tu. Agenda hii ina zaidi ya miaka 32 ikiwa imeasisiwa na CCM wenyewe tangu mwaka 1992 tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi kupitia Tume mbalimbali walizoziumba wenyewe ya kwanza ikiwa ni ya Jaji Francis Lucas Nyalali, baadae Jaji Robert Kisanga, Jaji Mark Bomani na the latest ni ya Jaji Joseph Sinde Warioba. Tume zote hizi zilikuja na ripoti zenye maudhui ya NO REFORMS, NO ELECTION...."
Deus Kibamba: "...Hali ya kisiasa nchini kwa ujumla si shwari ndani ya CHADEMA na ndani ya CCM. Tatizo ninaloliona mimi, ni ukali wa misimamo ya pande mbili. CHADEMA wanaosema bila mabadiliko hakuna uchaguzi huku CCM na serikali yao nao wanasema, hatutaki chochote, mambo yatakuwa vile tutakavyo sisi..."
Deus Kibamba: "...Misimamo ya namna hii ikiendelea hadi uchaguzi mkuu, nchi hii itakwenda kuwaka moto haki ya Mungu tena....!!"
Deus Kibamba: Siku zote na duniani kote, hakuna chama cha siasa kilichoshika dola chenye bunduki ambacho huiachia dola kwa urahisi kwa sababu huwa wako tayari kutumia bunduki kubaki madarakani unless kutokee mapinduzi"
Deus Kibamba: "Aidha CHADEMA nao ni lazima wafahamu kuwa, mabadiliko ni mchakato na yanaenda hatua kwa hatua. Ni vyema wakalegeza msimamo wao kuruhusu majadiliano ya waingieje kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu 2025...."
Deus Kibamba: "...Mimi Naamini kuwa, serikali inaweza wakati wowote kusema 'hatuna nia ya kuendelea na kesi dhidi ya Tundu Lissu' na baada ya hapo wakae mezani wazungumze tuepuke kizungumkuti kilichopo mbele kama taifa. Sio nabii, lakini hili nimeoteshwa..."
My Note:
It's obvious kuwa, CHADEMA ya Tundu Lissu ni kama maji, haiepukiki kama ambayo hakuna kiumbe chaweza kugombana na maji, vivyohivyo huwezi kugombana na CHADEMA hii ukabaki salama. Maana, ukiyakwepa maji kuyanywa, basi utayaoga na ukiyakwepa kuyaoga, yatakunyea kwa mfumo wa mvua...!
Nchi hii chini ya CCM na vyama shikizi, haiwezi kufanya uchaguzi na mambo yakabaki kawaida pasipo ushiriki wa CHADEMA...!!
Twendeni mezani tuzungumze tunakwendaje kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Hatutaki mazungumzo ya kimagumashi na ya ulaghai kama ya mwaka 2021 chini ya Freeman Mbowe na CCM ya Samia...
Tunataka mazungumzo genuine, ya wazi na ya haki yakiongozwa na utashi wa kweli wa kisiasa..!
Lissu is a loner and a goner. Maisha yangu yananitosha nikiwa CCM. Lissu HAJAWAHI na HATAWAHI kuwa na impact nchi hii. Labda kwa nyumbu, wajinga na wapumbavu kama wewe.Hii ni spirit ya mtu ambaye yuko tayari kubeba mzigo ili watu wengine waokoke...
Hii ni spirit ya mtu ambaye hatafuti manufaa binafsi..
Laiti Tundu Lissu angekuwa ni mchumia tumbo au mpiga deal za kisiasa, angeshapiga mabilioni mengi ya USD (siyo madafu ya Bongo) toka CCM na madaraka makubwa kwenye serikali huku akiwaacha kina Tlaatlaah na Mtoto wa Shule na Shotocan na Lucas Mwashambwa mbwa-koko wa mitandaoni wa CCM wakibweka tu kulinda mabwana zao...!
Huyu Tundu Lissu ana Roho ya kina Daniel, Shadrack, Meshack na Abednego wa kwenye Biblia (1 Samwel 16) waliokuwa tayari kufa kuliko kutii ubatili na ibada ya sanamu ya Mfalme Nubukadneza...
Mnashindikia maharage na mnatuletea vindoto vya kipuuzi. Mgombea wa 2030 ni nani we unamjua. Nyie hamna tofauti na mfalme wa kike Zumaridina mm sio nabii ila nimeoteshwa, hata akishinda 2030 hatoboi wallah tena.
We ni mpumbavu kuliko binadamu yyte hp duniani. Unajua nani analisha familia yake kule Ulaya? Umeiona akaunti yake? Acha udwanzi we bwegeHii ni spirit ya mtu ambaye yuko tayari kubeba mzigo ili watu wengine waokoke...
Hii ni spirit ya mtu ambaye hatafuti manufaa binafsi..
Laiti Tundu Lissu angekuwa ni mchumia tumbo au mpiga deal za kisiasa, angeshapiga mabilioni mengi ya USD (siyo madafu ya Bongo) toka CCM na madaraka makubwa kwenye serikali huku akiwaacha kina Tlaatlaah na Mtoto wa Shule na Shotocan na Lucas Mwashambwa mbwa-koko wa mitandaoni wa CCM wakibweka tu kulinda mabwana zao...!
Huyu Tundu Lissu ana Roho ya kina Daniel, Shadrack, Meshack na Abednego wa kwenye Biblia (1 Samwel 16) waliokuwa tayari kufa kuliko kutii ubatili na ibada ya sanamu ya Mfalme Nubukadneza...
We ni afadhali ya mwehuCCM ni wabishi, temu hii hawataamini kitakachotekea kwenye bomu walilolitega wenyewe malangoni pao
WanaumemeeeeeeeAmka! Ndoto za kutisha utajinyea
Ushajinyea mara ngapi?Amka! Ndoto za kutisha utajinyea
Na utaendelea kusugua makalio kwenye benchi ,hapo Lumumba mpaka yaote suguLissu is a loner and a goner. Maisha yangu yananitosha nikiwa CCM. Lissu HAJAWAHI na HATAWAHI kuwa na impact nchi hii. Labda kwa nyumbu, wajinga na wapumbavu kama wewe.
roho ya kuwakimbia wanachadema, kukwea pipa na kutokomea ughaibuni kisha akiwa huko anaanza kuulizia,ehee kukoje huko,Hii ni spirit ya mtu ambaye yuko tayari kubeba mzigo ili watu wengine waokoke...
Hii ni spirit ya mtu ambaye hatafuti manufaa binafsi..
Laiti Tundu Lissu angekuwa ni mchumia tumbo au mpiga deal za kisiasa, angeshapiga mabilioni mengi ya USD (siyo madafu ya Bongo) toka CCM na madaraka makubwa kwenye serikali huku akiwaacha kina Tlaatlaah na Mtoto wa Shule na Shotocan na Lucas Mwashambwa mbwa-koko wa mitandaoni wa CCM wakibweka tu kulinda mabwana zao...!
Huyu Tundu Lissu ana Roho ya kina Daniel, Shadrack, Meshack na Abednego wa kwenye Biblia (1 Samwel 16) waliokuwa tayari kufa kuliko kutii ubatili na ibada ya sanamu ya Mfalme Nubukadneza...
Kwako hana impact yoyote na huyo Samia ni hali kadhalika ila huna uwezo wa kushindana naye na ccm yako kivyovyote kihoja na mijadala ya hoja na ndio maana mnapenda kumnyamazisha kwa kumfungulia kesi za uongo. Amesaidia wananchi wengi kupitia taaluma yake ya uanasheria kwahiyo kama hajakusaidia wewe kupitia yeye wapo waliona impact naye kwa kuwa ameshawasaidia.Lissu is a loner and a goner. Maisha yangu yananitosha nikiwa CCM. Lissu HAJAWAHI na HATAWAHI kuwa na impact nchi hii. Labda kwa nyumbu, wajinga na wapumbavu kama wewe.
Is this English Language au Kimatengo..?Lissu is a loner and a goner.
Absolutely, yanakutosha sasa, no doubt about it...Maisha yangu yananitosha nikiwa CCM.
Really?Lissu HAJAWAHI na HATAWAHI kuwa na impact nchi hii.
Kama mnammududu tumiani hoja na sio bunduki. Na hapo ndipo anapowazidi kiakili. Hebu nikuulize nikitu gani kittaaluma unachoweza kumshinda?roho ya kuwakimbia wanachadema, kukwea pipa na kutokomea ughaibuni kisha akiwa huko anaanza kuulizia,ehee kukoje huko,
kisha anaanza kujipiga kifua nakuja na hawawezi kunifanya kitu.
Akikaa siku kadhaa anaanza tena kuna vitisho vya kiusalama kisha anaanza kuvaa bullet proof vest,
anakaa kaa kidogo anaanza kuropoka tena, mimi siogopi kufa. Sasa unajiuliza alivyokimbia nchi alikua anatoroka shule au?🐒
Majibu yako sio ya kiakili ni ya kupaniki,tumia akili anapomjibu mtu tumia akiliWe ni mpumbavu kuliko binadamu yyte hp duniani. Unajua nani analisha familia yake kule Ulaya? Umeiona akaunti yake? Acha udwanzi we bwege
Huna hoja ya msingi, ngoja nikupe kaelimu ndugu yangu Tlaatlaah ata Nyerere alienda uingereza ndoo akaja akapewa nchiroho ya kuwakimbia wanachadema, kukwea pipa na kutokomea ughaibuni kisha akiwa huko anaanza kuulizia,ehee kukoje huko,
kisha anaanza kujipiga kifua nakuja na hawawezi kunifanya kitu.
Akikaa siku kadhaa anaanza tena kuna vitisho vya kiusalama kisha anaanza kuvaa bullet proof vest,
anakaa kaa kidogo anaanza kuropoka tena, mimi siogopi kufa. Sasa unajiuliza alivyokimbia nchi alikua anatoroka shule au?🐒
Wewe mjinga kweri kweri. Mimi nipo Jijini Mwanza. Au Jijini Mwanza kuna Lumumba siku hizi.Na utaendelea kusugua makalio kwenye benchi ,hapo Lumumba mpaka yaote sugu