Huyo Lissu anayetukana watu kwenye mijadala ndio ana hoja? Kwanza ana bahati, niwe naye kwenye mjadala anitukane Mimi? Ahahahahaha!!Kwako hana impact yoyote na huyo Samia ni hali kadhalika ila huna uwezo wa kushindana naye na ccm yako kivyovyote kihoja na mijadala ya hoja na ndio maana mnapenda kumnyamazisha kwa kumfungulia kesi za uongo. Amesaidia wananchi wengi kupitia taaluma yake ya uanasheria kwahiyo kama hajakusaidia wewe kupitia yeye wapo waliona impact naye kwa kuwa ameshawasaidia.
Hicho kilio labda kiletwe na CCM, lakini sio na mbwa kama Lissu. Mark my words!Is this English Language au Kimatengo..?
Absolutely, yanakutosha sasa, no doubt about it...
And, I assure you one thing, kwamba, you can be happy for now through your evil ways that give you benefits of flesh, lakini kilio na kusaga meno kinakuja kwenu kama hamtatubu na kuziacha njia zenu mbaya kwa toba..!
Really?
Kwa mbali nauona woga ndani ya moyo wako. Nauona moyo wenye unafiki mkuu..!
Pole sana..
Looh, kumbe nani atawaletea hicho kilio?Hicho kilio labda kiletwe na CCM, lakini sio na mbwa kama Lissu. Mark my words!
unakurupuka hata hujaelewa mkuuMnashindikia maharage na mnatuletea vindoto vya kipuuzi. Mgombea wa 2030 ni nani we unamjua. Nyie hamna tofauti na mfalme wa kike Zumaridi
Wakimwachia atawashtaki.. Wakimfunga wanamuogopa
Hebu lete ushahidi wa tusi alilotukana kwenye mijadala ili tusibitishe unachosema. LeteHuyo Lissu anayetukana watu kwenye mijadala ndio ana hoja? Kwanza ana bahati, niwe naye kwenye mjadala anitukane Mimi? Ahahahahaha!!
Namuwasha makofi, mateke na magumi live mpaka nihakikishe anarudi Ubeleji kwa matibabu ya miaka hamsini! Nyambafu!!!
Hii ni kesi yake ya kwanza? Mbona hizo nyingine nyingi zilizopita hakuwahi kuishitaki hiyo serikali?Kwa Tundu Lissu huyu mtukutu toka shule ya msingi, kuishitaki na kuidai fidia serikali hii ni possible 100%...
I said it's possible 100%Hii ni kesi yake ya kwanza? Mbona hizo nyingine nyingi zilizopita hakuwahi kuishitaki hiyo serikali?