Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

Asante kwa ujumbe mzuri ila haya mafuvu ni magumu kama ya Sokwe sijui kama yatakuelewa?
Ni upumbavu wa kiwango cha lami kwamba aliesema lile wazo hakutaka lianzie kwenye circle yake ametaka lianzie kwa vidagaa, these motherfuckers very selfish.... Kwani i Yasianzie kwao hayo maGPS... HAYO MAJAMAA SIYAPENDI KWELI KWELI YANI
Watu tuko too low, nchi kadri siku zinavyo songa mbele uwezo wetu wa kuwaza unazidi kuwa mdogo, ni hatari sana, kuna janga linatuujia mkuu. Wacha tuwe tunapigwa
 
Mimi naona hakuna shida kama lengo ni usalama wa afisa ugan na chombo ila wao wasiwazuie kuzitumia pkpk hizo kwa maswala yao ya kawaida /matumiz binafs kwakuw mafuta wanaweka wenyew


Labda hizo V-8 waweke ili wa control ruti muhm alafu zao binafs waingie sheli wajaze mafuta kwa ela zao[emoji16][emoji1732][emoji1783]
 
Watu tuko too low, nchi kadri siku zinavyo songa mbele uwezo wetu wa kuwaza unazidi kuwa mdogo, ni hatari sana, kuna janga linatuujia mkuu. Wacha tuwe tunapigwa
Me nashangaa sana, yan namna mali za umma zinatumika hakuna standardize procedures, kama vyote ni vya serikali kwanini kusiwe na standard kwa nchi nzima. Mkuu hii nchi ina wapuuz wengi sana na ndio wanaongoza, hii imetokana kwamba ili uweze kupewa cheo na watawala lazima uwe huna akili, yan mtu wa yes hata kwenye no, ndio mana hata mtu akikosea uwajibikaji unakuwa mgumu sababu pwagu kafanya kosa alafu pwaguzi anafanya judgment. Mkuu nlishawah kufanya research watu wengi nlosoma nao na walikuwa wanashika mkia ndio wapo ccm, kwanini wapo ccm? Sababu ni veru clear ccm ndio sehemu hata mazezeta ni rahis kupewa kazi za watu wenye akili zao timamu, ccm ni kichaka cha wapumbavu kujificha sababu hata akifanya kosa wale ambao wanauwezo mzuri wakufikiria watajenga hoja na kumtetea kwa kigezo kwamba hawawez kumchafua mccm mwenzao...nchi imeoza hii,..
 
Nimewasikia Bungeni wanataka kuongeza 100 kwenye Mazutu labda ndizo GPS za Bashe hizo.

Who cares maisha magumu Kitaa.

Free Dawa Juma.
Zutu za magari yao au ya mapikipiki za maafisa kilimo?
 
Mkuu unawez pewa lita 5 kwa mwez utasema unapewa
Lita tano kwa mwezi,!!! Ngoja nifanye hesabu kidogo.
1 lita ya Mafuta= tembea 30 km pikipiki
5lita mafuta =tembea 150 km piki piki
====
Sasa kama umepewa kata ya Kisaki, au Korelo kwa kiasi Hiki cha mafuta ni kutafutiana lawama.
 
Lita tano kwa mwezi,!!! Ngoja nifanye hesabu kidogo.
1 lita ya Mafuta= tembea 30 km pikipiki
5lita mafuta =tembea 150 km piki piki
====
Sasa kama umepewa kata ya Kisaki, au Korelo kwa kiasi Hiki cha mafuta ni kutafutiana lawama.
Kwan wew huko ulipo una uhakika kuwa wanapew mafuta

Na hayo mafuta yanawatosaha
 
Kwani zikifungwa gps location zinazuia nini hasa?

USSR
Kwanza ni matumizi mabaya ya fedha za umma, pili anatafuta dili za kuwapa wasomali wenzake na tatu ni udhalilishaji wa watumishi wa umma!

Hivi huyu Bashe hajaridhika tu na ufisadi alioufanya katika mbolea za ruzuku?
 
Kwan wew huko ulipo una uhakika kuwa wanapew mafuta

Na hayo mafuta yanawatosaha
Ndiyo napiga hesabu hapa. Naona mafuta hayawatoshi. Suala la kupewa ama kutopewa si lijui, lakini nadhani mwajiri wao anatakiwa awape mafuta na gharama za service ya hizo pikipiki!
 
Huyo mama Hana akili
Wizi wa bodaboda ni Sawa na wizi wa V8?...
Boda boda za mitaani Tu zina GPS
Shida iko wapi
Ungekuwa na akili kumzidi usingeharisha namna hii hadharani!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa nchi hii ya kifala na kishkaji hakuna tija yoyote. Kila mtu ashinde vita vyake hii ndiyo motto ya kuishi taifa hili.
 
Back
Top Bottom