Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Tunaisoma sayansi ni tofauti na mnavyoamini ushoga ni maumbile kama mtu anavyozaliwa albino ni kilema kile hakupenda Ila hormones ni za kike umbile la kiume
 
Kwa kuongezea
Satan is the promoter of homosexuality.
Because those angel that came in sodoma hawakuwa was munguu.
My take Satan is the father of homosexuality
But he never admitted this! You can't find him guilty because he is always directing n redirecting ...he is always not up for actions
 
Inategemea ni kwa muktadha wa imani ipi

Shetani ukifatilia vizuri unakuta alikua kerubi and malaika mkuu alie kua anointed ... Ukifatilia vizuri somo la malaika kwa undani, unakuta malaika alie kua anointed ni yeye peke yake, kwasababu alikua ana offisi mbili moja mbinguni na moja duniani
 
Tunaisoma sayansi ni tofauti na mnavyoamini ushoga ni maumbile kama mtu anavyozaliwa albino ni kilema kile hakupenda Ila hormones ni za kike umbile la kiume
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji779] [emoji779]
 
Shetani ukifatilia vizuri unakuta alikua kerubi and malaika mkuu alie kua anointed ... Ukifatilia vizuri somo la malaika kwa undani, unakuta malaika alie kua anointed ni yeye peke yake, kwasababu alikua ana offisi mbili moja mbinguni na moja duniani
Thanks
 
Hakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.

Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects
Vipi mkuu umeguswa nini? Ila yeye hajamlazimisha mtu kuacha ameshauri tu, usitoe povu kihivyo.
 
Kweli aisee. Inavuma sana maeneo ya pwani
[emoji3] [emoji2] Cjawahi sikia hii kitu mara.Ila nilipofika karibia na pwani tu nikasikia wajanja hao Tarime wanaogopa panga.
 
Mshana wala shetani hii dhambi haiogopi tena anachochea watu ili waifanye wazidi kumuudhi muumba wao,tena amini usiamini kuna mapepo ni maalumu shetani ameyaweka ili yasimamie hii dhambi kwa nguvu zote..amini brother mm uhakika ninao
 
Hakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.

Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects

Mkuu;
May be this topic touched yu and caused some irritations in yu. Pole sana, ila na mimi nadhani mshana jr acha kuwasema watu kama hawa. Angalia, wasije kukuchukia maana ukirusha jiwe gizani ukasikia Paaa! Ujue ushaumiza mtu.
Weshakuona weye kuwa; typicaly silly. Pole mshana jr lakini usiogope kuwaogofisha hao wazibua na wazibuliwa mitaro kuwa hata shetwani huonji hayo makitu. Iweje mtu tena msomi unayeijua lugha ya malkia uutetee ujinga? Nimechoka
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…