Nikamwambie mtu uhusiano wangu na Khadija ili anichore sababu ikiwa nini? Anitangaze madhabahuni? Yeye ni msafi kiasi gani? Najua anatembea na wangapi?1. ZINAA NA UASHERATI.
UASHERATI ni kufanya Tendo la zinaa na mtu nje ya NDOA asiye mkeo au mumeo.
UZINZI ni kufanya tendo la uchafu, zinaa kabla ya Kuoa au Kuolewa.
Ukizini na mke wa mtu au mume wa Mtu, usijidanganye kuwa ukitubu sirini utasamehewa, HATIA itaendelea kuwepo Hadi uwatafute watumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi. Watumishi Wana BUSARA ya kusuluhisha dhambi hiyo pande zote mbili Ili ufunguliwe.
Nakuelewa sana mkuu, na wala hauna nia ovu kama wengi wanavyodhani.....changamoto unachosema hakijaandikwa kwenye biblia.Si Kila dhambi.
Dhambi tajwa Zina maagano, masharti na NDOA za kipepo, dhambi hizo zinamweka mtenda kuwa mfungwa aliyenunuliwa, hivyo mtumishi ni muhimu ahusike.
(Mwanzo 38:1-25)Kuna mstari wowote unazungumzia punyeto?
Mungu ameelekeza kumwona mtumishi wa Mungu wa Kweli aliyeokoka, mwenye BUSARA.Nikamwambie mtu uhusiano wangu na Khadija ili anichore sababu ikiwa nini? Anitangaze madhabahuni? Yeye ni msafi kiasi gani? Najua anatembea na wangapi?
Jini mahaba Si hadithi ni HALISI, kumwondoa once and for all, mtumishi lazima ahusike, dhambi tajwa nyingi hapo zinahusiana na zinaa,Nakuelewa sana mkuu, na wala hauna nia ovu kama wengi wanavyodhani.....changamoto unachosema hakijaandikwa kwenye biblia.
pia kuna wengi ambao wanajua mabaya mengi ya watumishi kuelewa hizi hoja bila kuweka vifungu itakuwa shida.
Kwa mswahili wa bongo utampima kwa kipimo gani kuwa ameokoka na ana busara? Injili ya leo imebaki usanii na wizi, ungamo la kweli liko mokonomi mwako, kajifungie chumbani mwako muombe msamaha Mungu kuliko kuigiza kwa hao matapeliMungu ameelekeza kumwona mtumishi wa Mungu wa Kweli aliyeokoka, mwenye BUSARA.
Ikiwa mtumishi wako ni mhunni, hama hapo haraka, anawapeleka KUZIMU wote mnaoabydu hapo.
Amen
WATUMISHI wanyoofu wakweli waliookoka wapo ingawa ni Wachache.Kwa mswahili wa bongo utampima kwa kipimo gani kuwa ameokoka na ana busara? Injili ya leo imebaki usanii na wizi, ungamo la kweli liko mokonomi mwako, kajifungie chumbani mwako muombe msamaha Mungu kuliko kuigiza kwa hao matapeli
Wataje hata watatu tuWATUMISHI wanyoofu wakweli waliookoka wapo ingawa ni Wachache.
Mungu akitoa maelekezo, ni kutii basi!!
Uamuzi ni wako.
China wanatoa Kwa miungu Yao.Upuuzi mwingine, mbinu za kupiga pesa,
Wale wanaoenda kwa mwamposa au kuhani Musa kuombewa, watabaki mafukara, wakati viongozi wao wanazidi kuneemeka, majasiriamali ya dini.
Huhitaji mbwembwe za mtu mwingine kumfikia Mungu, nyie majitu mnawinda sadaka tu, nimeona wengi hawaoni haya kumwambia mtu atoe nusu ya mshahara wake kama sadaka! Harafu Kodi, chakula,na mahitaji mengine apate wapi!
Ategemee Mana kutoka juu?! Ila wachungaji wao wapo bize kuanzisha guest house, baa, hotel, kenge kabisa.
Viongozi wa dini wamekua waongo Sana, na wanatumia ujinga wa wananchi kuwapiga haswa,
Juzi nikamsikia Padre mmoja, anahubiri watu wa toe Sana, a kasema Israel imebsrikiwa Sana kwa sababu ya "kutoa" Sana sadaka!
Nikajiuliza, huyu mtu anaakili kweli, au anaona kila mtu ni mjinga?
China ni super power, inatoa wapi sadaka? Kule hakuna ukristo, imefika pale sio kwa sababu ya kwenda kanisani kutoa sadaka, walioandika vision ya china, hawa kuwa wakaristo, wala hawamjuhi jesus, walitumia bongo zao, wakafanya kazi, wanatumia sayansi, na tekinolojia, ndio wamefika pale,
Qatar, saudia,Malaysia, Korea, huko ni kazi tu sio kuimba mapambio,
Kasome kitabu cha Mzee Mengi, uone kazi aliyofanya kuijenga IPP media, hakuchukua ka mshahara kake aka wa anatoa fungu la kumi kila jumapili, Mara paaaap, ukwasi, huooooo! Acheni utaperi.
Niambie mji unapoishi.Wataje hata watatu tu
Yesu ni Mungu. AmenYesu gani bhana mambo ya mchongo hayo
Hebu soma Warumi 3:23 inasema wote tumefanya dhambi na kupungukiwa utukufu wa Mungu.Salaam shalom.
INTRODUCTON.
Imeandikwa, Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na haki, hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.( 1 Yoh 1:9).
Dhambi ni kutotii, kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu. Na Roho mtakatifu yupo kutukumbusha dhambi zetu Ili tuzitibie Ili tuendelee kuwa WATAKATIFU.
DHAMBI AMBAZO KAMWE HATIA YAKE HAITAKUONDOKA HADI USHIRIKISHE WATUMISHI WA MUNGU ILI UOMBEWE UKIAMBATISHA NA SADAKA YA UKOMBOZI NI ZIFUATAZO:
1. ZINAA NA UASHERATI.
UASHERATI ni kufanya Tendo la zinaa na mtu nje ya NDOA asiye mkeo au mumeo.
UZINZI ni kufanya tendo la uchafu, zinaa kabla ya Kuoa au Kuolewa.
Ukizini na mke wa mtu au mume wa Mtu, usijidanganye kuwa ukitubu sirini utasamehewa, HATIA itaendelea kuwepo Hadi uwatafute watumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi. Watumishi Wana BUSARA ya kusuluhisha dhambi hiyo pande zote mbili Ili ufunguliwe.
2. USHOGA.
Ikiwa uliwahi kuwa shoga, ukaamua kuacha, kamwe usitubu sirini na kuishiwa hapo, USHOGA huambatana na mapepo na kufungwa NAFSI, mfungwa kamwe hawezi jifunguanpingu mwenyewe, unawahutaji watumishi wa Kweli Ili UOMBEWE na kuwekwa huru, sadaka ni LAZIMA Ili itolewe huko.
3. USAGAJI.
Mwanamke pia aliyewa kufanya dhambi hiyo, huwezi kufunguliwa na Utumwa na HATIA hiyo pekeako Kwa kutubu sirini, nenda Kwa watumishi wa Kweli, Ukiwa na sadaka ya Ukombozi.
4. PUNYETO/ KUJICHUA.
Ikiwa uliwahi kujichua, ukaamua kuacha, unahitaji kwenda Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi Ili ufunguliwe, Mpiga PUNYETO ni mfungwa, ni mke au mume wa Roho chafu katika Ulimwengu wa Roho, hivyo kufunguliwa ni LAZIMA utoe sadaka, uvunje NDOA chafu hiyo ya kiroho na hati ya NDOA chafu ya kiroho iondolewe, usipofanya hivyo, unajidanganya. Mbinguni huingii ng'o!!
Neno Hilo hapo juu ni ROHO. Amen.
5.MWANAMKE KUOA MWANAMKE/MWANAUME KUOA MWANAUME MWENZIE.
Kutubu dhambi hii sirini bila watumishi wa Mungu ni kujidanganya. Chukua sadaka, nenda Kwa mtumishi, Sema Kweli Ili UOMBEWE na kufunguliwa, NDOA haramu ivunjwe na ufungwa wako kiroho uondolewe. Amen.
6. ORAL SEX.
Ikiwa uliwahi kushiriki oral sex, kunyonya au kuramba Kwa mdomo sehemu za Siri za mwanamke au Mwanaume na ukatambua ni DHAMBI, ukaacha, Bado u kifungoni.
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli wa Mungu ufunguliwe na Mungu.
7. ABORTION./ UTOAJI MIMBA/ KUFUNGA UZAZI/ KUTUMIA VIDONGE VYA KUPANGA UZAZI.
Kimbia haraka Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli ,beba sadaka kulingana na uwezo wako, UOMBEWE ufunguliwe.
Ukipuuza Utakataliwa GETI la Mbinguni.
9. IKIWA ULIWAHI TUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME/ KIKE.
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli UOMBEWE na kufunguliwa.
10. MAUAJI.
Ikiwa uliwahi kuua bila kukusudia ,ukahukumiwa JELA ukatoka, ikiwa uliua Kwa Siri na hukubainika, ikiwa ulishiriki kuua, usijidanganye kuwa unaweza kutubu sirini, HATIA Ili ikuondoke uwe na Amani, Tafuta kiongozi wa Mungu wa Kweli mwenye BUSARA za Mungu, akuongoze Cha kufanya, utoe pia sadaka ya Ukombozi.
11. IBADA ZA SANAMU, KUSHIRIKI IBADA ZA WAFU NA KUTOA SADAKA KWA MIZIMU KIMILA NK NK.
Kushiriki Ibada za KIMILA na Kutoa sadaka Kwa Roho za kishetani za Mababu, ni DHAMBI pia, ni kufungwa ni Utumwa ambao huwezi kujifungua pekeako.
Ukiamua kuacha na kuokoka, hatua inayofuata ni kushirikisha watumishi kukusaidia kukutenga na madhabahu hizo.
Sadaka ni LAZIMA, sababu, Ulimwengu wa Nuru na Giza sadaka ni inevitable. Amen
HITIMISHO.
Dhambi nilizotaja hapo juu, ni baadhi tu ya dhambi ambazo huwezi tubu pekeako, zimetajwa sawasawa na Ruhusa ya Roho mtakatifu Kwa mtumishi wake sawasawa na ufunuo wake apendavyo.
NB: Si DHAMBI zote zinahitaji kuona mtumishi wa Kweli kukusaidia kufunguliwa pingu za dhambi, ni baadhi ya dhambi ambazo Zina vifungo na attachment na maagano ya kipepo na kishetani.
Mungu awabariki. Source: Nabii Justine Ibrahim, U-Tube., Promover Tv channel U-Tube.
Ikiwa hujampokea Yesu kuwa BWANA na Mwokozi wako, fuatisha Sala hii,
EE YESU, NINAKIRI KWAKO KUWA MIMI NI MWENYE DHAMBI, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU,ULIANDIKE KATIKA KITABU CHA UZIMA, NINAOMBA UWEZO WA KUSHINDA DHAMBI, NIWEZESHE NIISHI MAISHA MATAKATIFU.
Ameen
Message sent,Yeye nani?ONGEA NA MUNGU IMEISHA.YEYE MWENYEWE ANA DHAMBI ZAKE.AJUE ZANGU ZA NINI?
Hakuna Mahali nimeelekeza watu waje kwangu.Hebu soma Warumi 3:23 inasema wote tumefanya dhambi na kupungukiwa utukufu wa Mungu.
Hamna sehemu inayosema nyie manabiì ndio mnaotuondolea dhambi. Yesu alikufa mtini kwa ajili ya ondoleo letu la dhambi.
Wewe sema tu unataka sadaka tukupe akanywe bia na wanawake zako
Sasa kama ukihifadhi kwenye kopo halafu baadae unamwagia kwenye uke inakuwaje?(Mwanzo 38:1-25)
Mungu alimwua mtu mume aliyeitwa Onani, kosa lake ni kumwaga manii nje Ili asimpe mimba mke wa kakaye aliyefariki bila uzao.
Dhambi ya PUNYETO inaanguka katika category hiyo, ni kumwaga nje ya uke, kumwaga manii nje ya sehemu husika.
Zingatia maelekezo ya Mungu.
Ubarikiwe.
Sadaka ni kawaida, ni shukrani tu, ni msisutizo tu, kuwa tusiende nyumbani mwa BWANA mikono mitupu. Lakini ikiwa huna, moyo wako mnyoofu ni sadaka pia.sadaka Si mbadala wa Damu ya Yesu.Samahani sijaelewa kwenye sadaka inakuwa ya kazi gani? Tuna damu ya Yesu, agano la kale ilikuwa lazima mnyama achinjwe ili mtu aondolewe dhambi yake, agano jipya tuna damu ya Yesu inayoachiloa utakaso, Tukiungama dhambi zetu kwa kweli Mungu anazifuta, dhambi ina vifungo lakin ipo damu ya Yesu yenye nguvu sasa sadaka inakuwa ya kazi gani hapo??
Utakufa HAKIKA,Sasa kama ukihifadhi kwenye kopo halafu baadae unamwagia kwenye uke inakuwaje?
😂😂😂😂😂 Mambo ya kuletewa achana nayo yesu sio Mungu na hakuna Mungu aitwaye yesuYesu ni Mungu. Amen
Yesu alivyomtokea Sauli, alimwelekeza aende Kwa mtumishi.Neno la Mungu linasema tumuombe Mungu kupitia Yesu Kristo. Hayo ya watumishi wa Mungu ni yako.