- Thread starter
- #421
Yesu ni Jina la Mungu.๐๐๐๐๐ Mambo ya kuletewa achana nayo yesu sio Mungu na hakuna Mungu aitwaye yesu
Soma thread: Revealed: Mungu ni MMOJA na Jina lake ni Yesu/YESHUA HAMASHIACH -Rabbon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu ni Jina la Mungu.๐๐๐๐๐ Mambo ya kuletewa achana nayo yesu sio Mungu na hakuna Mungu aitwaye yesu
Mtumishi sasa hivi PAZIA LA HEKALU lilipasuka katikati, ikimaanisha hakuna mtu /kitu cha kututenga na upendo wake Mungu. Yupo Yesu kuhani mkuu anayefanya upatanisho kati ya Mungu na wanadamu.Salaam shalom.
INTRODUCTON.
Imeandikwa, Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na haki, hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.( 1 Yoh 1:9).
Dhambi ni kutotii, kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu. Na Roho mtakatifu yupo kutukumbusha dhambi zetu Ili tuzitibie Ili tuendelee kuwa WATAKATIFU.
DHAMBI AMBAZO KAMWE HATIA YAKE HAITAKUONDOKA HADI USHIRIKISHE WATUMISHI WA MUNGU ILI UOMBEWE UKIAMBATISHA NA SADAKA YA UKOMBOZI NI ZIFUATAZO:
1. ZINAA NA UASHERATI.
UASHERATI ni kufanya Tendo la zinaa na mtu nje ya NDOA asiye mkeo au mumeo.
UZINZI ni kufanya tendo la uchafu, zinaa kabla ya Kuoa au Kuolewa.
Ukizini na mke wa mtu au mume wa Mtu, usijidanganye kuwa ukitubu sirini utasamehewa, HATIA itaendelea kuwepo Hadi uwatafute watumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi. Watumishi Wana BUSARA ya kusuluhisha dhambi hiyo pande zote mbili Ili ufunguliwe.
2. USHOGA.
Ikiwa uliwahi kuwa shoga, ukaamua kuacha, kamwe usitubu sirini na kuishiwa hapo, USHOGA huambatana na mapepo na kufungwa NAFSI, mfungwa kamwe hawezi jifunguanpingu mwenyewe, unawahutaji watumishi wa Kweli Ili UOMBEWE na kuwekwa huru, sadaka ni LAZIMA Ili itolewe huko.
3. USAGAJI.
Mwanamke pia aliyewa kufanya dhambi hiyo, huwezi kufunguliwa na Utumwa na HATIA hiyo pekeako Kwa kutubu sirini, nenda Kwa watumishi wa Kweli, Ukiwa na sadaka ya Ukombozi.
4. PUNYETO/ KUJICHUA.
Ikiwa uliwahi kujichua, ukaamua kuacha, unahitaji kwenda Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi Ili ufunguliwe, Mpiga PUNYETO ni mfungwa, ni mke au mume wa Roho chafu katika Ulimwengu wa Roho, hivyo kufunguliwa ni LAZIMA utoe sadaka, uvunje NDOA chafu hiyo ya kiroho na hati ya NDOA chafu ya kiroho iondolewe, usipofanya hivyo, unajidanganya. Mbinguni huingii ng'o!!
Neno Hilo hapo juu ni ROHO. Amen.
5.MWANAMKE KUOA MWANAMKE/MWANAUME KUOA MWANAUME MWENZIE.
Kutubu dhambi hii sirini bila watumishi wa Mungu ni kujidanganya. Chukua sadaka, nenda Kwa mtumishi, Sema Kweli Ili UOMBEWE na kufunguliwa, NDOA haramu ivunjwe na ufungwa wako kiroho uondolewe. Amen.
6. ORAL SEX.
Ikiwa uliwahi kushiriki oral sex, kunyonya au kuramba Kwa mdomo sehemu za Siri za mwanamke au Mwanaume na ukatambua ni DHAMBI, ukaacha, Bado u kifungoni.
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli wa Mungu ufunguliwe na Mungu.
7. ABORTION./ UTOAJI MIMBA/ KUFUNGA UZAZI/ KUTUMIA VIDONGE VYA KUPANGA UZAZI.
Kimbia haraka Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli ,beba sadaka kulingana na uwezo wako, UOMBEWE ufunguliwe.
Ukipuuza Utakataliwa GETI la Mbinguni.
9. IKIWA ULIWAHI TUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME/ KIKE.
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli UOMBEWE na kufunguliwa.
10. MAUAJI.
Ikiwa uliwahi kuua bila kukusudia ,ukahukumiwa JELA ukatoka, ikiwa uliua Kwa Siri na hukubainika, ikiwa ulishiriki kuua, usijidanganye kuwa unaweza kutubu sirini, HATIA Ili ikuondoke uwe na Amani, Tafuta kiongozi wa Mungu wa Kweli mwenye BUSARA za Mungu, akuongoze Cha kufanya, utoe pia sadaka ya Ukombozi.
11. IBADA ZA SANAMU, KUSHIRIKI IBADA ZA WAFU NA KUTOA SADAKA KWA MIZIMU KIMILA NK NK.
Kushiriki Ibada za KIMILA na Kutoa sadaka Kwa Roho za kishetani za Mababu, ni DHAMBI pia, ni kufungwa ni Utumwa ambao huwezi kujifungua pekeako.
Ukiamua kuacha na kuokoka, hatua inayofuata ni kushirikisha watumishi kukusaidia kukutenga na madhabahu hizo.
Sadaka ni LAZIMA, sababu, Ulimwengu wa Nuru na Giza sadaka ni inevitable. Amen
HITIMISHO.
Dhambi nilizotaja hapo juu, ni baadhi tu ya dhambi ambazo huwezi tubu pekeako, zimetajwa sawasawa na Ruhusa ya Roho mtakatifu Kwa mtumishi wake sawasawa na ufunuo wake apendavyo.
NB: Si DHAMBI zote zinahitaji kuona mtumishi wa Kweli kukusaidia kufunguliwa pingu za dhambi, ni baadhi ya dhambi ambazo Zina vifungo na attachment na maagano ya kipepo na kishetani.
Mungu awabariki. Source: Nabii Justine Ibrahim, U-Tube., Promover Tv channel U-Tube.
Ikiwa hujampokea Yesu kuwa BWANA na Mwokozi wako, fuatisha Sala hii,
EE YESU, NINAKIRI KWAKO KUWA MIMI NI MWENYE DHAMBI, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU,ULIANDIKE KATIKA KITABU CHA UZIMA, NINAOMBA UWEZO WA KUSHINDA DHAMBI, NIWEZESHE NIISHI MAISHA MATAKATIFU.
Ameen
Jibu swaliUtakufa HAKIKA,
Mungu Si mwanadamu ufanye mzaha nae.
Kuwa makini.
Umenena vyema kabisa.Mtumishi sasa hivi PAZIA LA HEKALU lilipasuka katikati, ikimaanisha hakuna mtu /kitu cha kututenga na upendo wake Mungu. Yupo Yesu kuhani mkuu anayefanya upatanisho kati ya Mungu na wanadamu.
Focus iwe KUTENDA MATENDO mema, kwa kufanya hivyo utampendeza Mungu.
Mungu ameelekeza kumwona mtumishi Si kuwa Yeye ndo akuombee la, ni kukusaidia taratibu za kufanya kuondokana na vifungo vya maagano Kwa dhambi tajwa hapo juu pekee.Kwahiyo Mungu hana uwezo wa kusamehe mpaka ukamwambie Mchungaji kwanza!?
Kwa maandishi yako ni kama uwezo wa kusamehe dhambi unatoka kwa wachungaji na si Mungu! Umekosa maarifa.
Sawa Mungu yesuYesu ni Jina la Mungu.
Soma thread: Revealed: Mungu ni MMOJA na Jina lake ni Yesu/YESHUA HAMASHIACH -Rabbon
Ni sawa kabisa. Sadaka ni Amri.1. ๐ธ
2. ๐ธ๐ธ
3. ๐ธ๐ธ๐ธ
4. ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
5. ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
6. ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
7. ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
8. ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ.
Soma comments zote, swali lako limejibiwa na maandiko yapo. Tusirudue maswali.Ambatanisha maandiko ku support hizo hoja zako..... Sio Kila wanacho sema manabii kimetoka kwa Roho wa Mungu, mengine Ni mishetown zao tu
Ni Kweli, ukiomba pekeako unasamehewa.Ukimuomba msamaha kwa dhati hata km ni wewe Pekee anakusamehe
Mimi ni muislam wa kuzaliwa na kufa.kwenye dini yangu sikufundishwa hivyo.hata mtume mwenyewe muhammad hakupewa hyo kazi ya kusikiliza dhambi za watu.ni mungu pekee na waja wake ndo wanajua dhambi zao.Message sent,
Tafuta mtumishi wa Kweli mtakatifu asiye mzinzi, wapo wengi!!
Ubarikiwe.
Sadaka utoayo Si Kwa ajili ya kufuta dhambi.Wanao rudia madhambi sugu wanapata punguzo la sadaka?
Wapi imetajwa dini?dini yawapigaji hiii๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kama umekubali kuwa Yesu ni Kuhani Mkuu unatakiwa kukumbuka kazi ya kuhani katika agano la kale. Mwenye dhambi alienda kwa Kuhani akiwa na sadaka ya dhambi naye Kuhani alimfanyia upatanisho kwa Mungu!!Umenena vyema kabisa.
Kuhani mkuu ni Yesu.
Watumishi wapo kusaidia tu Utaratibu Kwa dhambi tajwa hapo juu ambazo Zina complications za maagano ndani yake.
(Acts 9:3-6)Leta vifungu, acha kubwabwaja.
Nipe kifungu alichoelekeza huo upuuzi unaoandika.Mungu ameelekeza kumwona mtumishi Si kuwa Yeye ndo akuombee la, ni kukusaidia taratibu za kufanya kuondokana na vifungo vya maagano Kwa dhambi tajwa hapo juu pekee.
Elewa basi ndugu,Kama umekubali kuwa Yesu ni Kuhani Mkuu unatakiwa kukumbuka kazi ya kuhani katika agano la kale. Mwenye dhambi alienda kwa Kuhani akiwa na sadaka ya dhambi naye Kuhani alimfanyia upatanisho kwa Mungu!!
Unaposema mwenye dhambi aende kukiri akiwa na bahasha yake, unarudisha utaratibu wa agano la kale! Ambalo hadi sadaka za kutolewa ziliainishwa!
KWA SASA DAMU YA YESU INASAFISHA KABISA, utasemaje dhambi ya uzinzi haisamehewi?
KWENYE Bible Ni dhambi moja tu isiyosamehewa KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU, zingine zote zinasamehewa.
Haya njooni tusrmezane asema BWANA, dhambi zenu zijapokuwa nyekundu zitakuwa nyeupe Kama theluji.
Kwa hyo kutembea kinyume na maumbile napo kunasamehewa?.mi najua Kuna dhambi 2 ambazo azisameheki ata ufanyaje.1 ni kumkufuru roho mtakatifu.2 kufanya mapenzi kinyume na maumbileSalaam shalom.