Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mambo ya kuletewa achana nayo yesu sio Mungu na hakuna Mungu aitwaye yesu
Yesu ni Jina la Mungu.

Soma thread: Revealed: Mungu ni MMOJA na Jina lake ni Yesu/YESHUA HAMASHIACH -Rabbon
 
Mtumishi sasa hivi PAZIA LA HEKALU lilipasuka katikati, ikimaanisha hakuna mtu /kitu cha kututenga na upendo wake Mungu. Yupo Yesu kuhani mkuu anayefanya upatanisho kati ya Mungu na wanadamu.

Focus iwe KUTENDA MATENDO mema, kwa kufanya hivyo utampendeza Mungu.
 
Umenena vyema kabisa.

Kuhani mkuu ni Yesu.

Watumishi wapo kusaidia tu Utaratibu Kwa dhambi tajwa hapo juu ambazo Zina complications za maagano ndani yake.
 
Kwahiyo Mungu hana uwezo wa kusamehe mpaka ukamwambie Mchungaji kwanza!?
Kwa maandishi yako ni kama uwezo wa kusamehe dhambi unatoka kwa wachungaji na si Mungu! Umekosa maarifa.
Mungu ameelekeza kumwona mtumishi Si kuwa Yeye ndo akuombee la, ni kukusaidia taratibu za kufanya kuondokana na vifungo vya maagano Kwa dhambi tajwa hapo juu pekee.
 
Ambatanisha maandiko ku support hizo hoja zako..... Sio Kila wanacho sema manabii kimetoka kwa Roho wa Mungu, mengine Ni mishetown zao tu
 
Ni sawa kabisa. Sadaka ni Amri.

Na sadaka Si lazima pesa, ikiwa huna pesa, moyo wako mnyoofu wenye utayari ni sadaka pia.

Lakini sadaka ni LAZIMA.
 
Ukimuomba msamaha kwa dhati hata km ni wewe Pekee anakusamehe
Ni Kweli, ukiomba pekeako unasamehewa.

Lakini, mtu aliyekuwa mganga wa kienyeji, mpiga ramli, au aliye tenda dhambi tajwa hapo juu,kuondoa mikataba na maagano yake na kuzimu, lazima ashirikishe mtumishi.

Umeelewa?
 
Message sent,

Tafuta mtumishi wa Kweli mtakatifu asiye mzinzi, wapo wengi!!

Ubarikiwe.
Mimi ni muislam wa kuzaliwa na kufa.kwenye dini yangu sikufundishwa hivyo.hata mtume mwenyewe muhammad hakupewa hyo kazi ya kusikiliza dhambi za watu.ni mungu pekee na waja wake ndo wanajua dhambi zao.
 
Wanao rudia madhambi sugu wanapata punguzo la sadaka?
Sadaka utoayo Si Kwa ajili ya kufuta dhambi.

Damu ya Yesu ndo inaondoa na kufuta dhambi, na Damu ya Yesu hainunuliwi Kwa sadaka Yako.

Sadaka ni shukrani tu, inabeba utayari wa moyo wa mtu, na sadaka ni chochote ulichonacho, usipangiwe kiwango Cha Kutoa. Mungu akuongoze.

Amen
 
Umenena vyema kabisa.

Kuhani mkuu ni Yesu.

Watumishi wapo kusaidia tu Utaratibu Kwa dhambi tajwa hapo juu ambazo Zina complications za maagano ndani yake.
Kama umekubali kuwa Yesu ni Kuhani Mkuu unatakiwa kukumbuka kazi ya kuhani katika agano la kale. Mwenye dhambi alienda kwa Kuhani akiwa na sadaka ya dhambi naye Kuhani alimfanyia upatanisho kwa Mungu!!

Unaposema mwenye dhambi aende kukiri akiwa na bahasha yake, unarudisha utaratibu wa agano la kale! Ambalo hadi sadaka za kutolewa ziliainishwa!

KWA SASA DAMU YA YESU INASAFISHA KABISA, utasemaje dhambi ya uzinzi haisamehewi?

KWENYE Bible Ni dhambi moja tu isiyosamehewa KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU, zingine zote zinasamehewa.

Haya njooni tusrmezane asema BWANA, dhambi zenu zijapokuwa nyekundu zitakuwa nyeupe Kama theluji.
 
Mungu ameelekeza kumwona mtumishi Si kuwa Yeye ndo akuombee la, ni kukusaidia taratibu za kufanya kuondokana na vifungo vya maagano Kwa dhambi tajwa hapo juu pekee.
Nipe kifungu alichoelekeza huo upuuzi unaoandika.
 
Elewa basi ndugu,

Dhambi zote zinasamehewa ukiomba msamaha, tunachoongelea ni Kwa dhambi tajwa mfano mwenye mume au mke wa kiroho, jini mahaba au Pepo, mchawi au mganga mwenye maagano ya kuzimu,

Yale maagano Kuna Utaratibu wa kuyaondoa, ndomana mtumishi lazima ahusike.
 
Kwa hyo kutembea kinyume na maumbile napo kunasamehewa?.mi najua Kuna dhambi 2 ambazo azisameheki ata ufanyaje.1 ni kumkufuru roho mtakatifu.2 kufanya mapenzi kinyume na maumbile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…