Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

Mchawi akitubu mwenyewe anasamehewa, Damu ya Yesu Ina samehe wote,

Ila kujitenga na maagano ya kuzimu ya shetani ya kichawi Ili yasimfuatilie tena, mtumishi lazima ahusike.

Msibishe.
 
Acts 9:3-6
 
Kwa hyo kutembea kinyume na maumbile napo kunasamehewa?.mi najua Kuna dhambi 2 ambazo azisameheki ata ufanyaje.1 ni kumkufuru roho mtakatifu.2 kufanya mapenzi kinyume na maumbile
Mtoa post huenda Umelewa au unataka Sadaka. Kwanza hujui tofauti ya uzinzi na uasherati. Hivi unajua kwann amri walipewa wana wa Yakobo na sio Waajemi?
 
Kwa hyo kutembea kinyume na maumbile napo kunasamehewa?.mi najua Kuna dhambi 2 ambazo azisameheki ata ufanyaje.1 ni kumkufuru roho mtakatifu.2 kufanya mapenzi kinyume na maumbile
Dhambi ya kufanya kinyume na maumbile inasameheka, lakini huwezi jifungua mwenyewe Kutoka maagano ya kiroho uliyojifunga na shetani kiroho, mtumishi wa Mungu wa Kweli lazima ahusike.
 
Dhambi ya kufanya kinyume na maumbile inasameheka, lakini huwezi jifungua mwenyewe Kutoka maagano ya kiroho uliyojifunga na shetani kiroho, mtumishi wa Mungu wa Kweli lazima ahusike.
nimekufatilia tangu mwanzo wa uzi wako nilitegemea nitaona umetoa fungu la biblia linalokusapot twende kuombewa kwa mtumishi, lakini naona porojo za kupiga sadaka tu
 
Umeandika sahihi kabisa. Damu ya Yesu inatosha.

Sadaka nilosema ni shukurani tu hutolewa baada ya kuvunja maagano.
 
nimekufatilia tangu mwanzo wa uzi wako nilitegemea nitaona umetoa fungu la biblia linalokusapot twende kuombewa kwa mtumishi, lakini naona porojo za kupiga sadaka tu
Acts 9:3-6.
 
Nimefuatilia mada kwa ukaribu mno kwa sababu nimependa kujifunza mambo mapya katika Imani and it was epic. Sasa my request kwetu wote kwenye hii thread, mi naona imetosha haya mapishano ambayo tumeyadisplay humu.

Neno la Mungu linatuasa kujiepusha na mazungumzo yasiyokuwa na faida, maneno yote yanatakiwa yawe munyu...so, naona huu mjadala uishie hapa. Kwa maana, kila mmoja ameokolewa kwa Neema wala si kwa matendo, tusije tukajisifu.

Kwako Rabbon , umepewa ujumbe na Roho wa Bwana, well and good... as long as umeshapreach, jikung'ute mavumbi endelea na mengine. Maana apandae ni wewe na wengine wote kama Mfalme Sulemani , Proved and so forth, lakini akuzae ni Mungu pekee. Kama ujumbe ulikua wa kweli basi Roho Mtakatifu atashuhudiza ukweli individually mioyoni mwetu juu ya jambo hili, tena tumezidi kujichallenge juu ya uelewa wetu wa mambo ya sadaka, maagano, toba ya kweli, vifungo vya kiroho na mambo kama hayo.

Mi naona wote tuna aim ya kufika mbinguni, tumuache Bwana akachochee ukweli halisi mioyoni mwetu maana yeye anajua kilicho cha kweli na incase kuna corrections katika knowledge tulizosoma humu basi yeye atatufundisha yote. Ilimradi, mwisho wa siku..Utukufu uende kwa Yesu pekee, maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai wetu, Yeye ni Yote katika Yote.

Kila mmoja wetu azidi kujiimerse katika Kristo ili mambo haya yazidi kufunuliwa kwa ukubwa. Shalom!!
 
Kutubu ni kati yako na Mungu, binadamu hahusiki
 
Amen.

Nami Kuna baadhi ya members wasiitaka kuelewa, nimeacha kuwajibu.

Bt Kwa wenye kuhitaji ufafanuzi Kwa Nia njema, nitaendelea kuwajibu in good faith.

Mungu akubariki Kwa ushauri mzuri.

Amen
 
Maana ya YESU kuishi ndani yako unaielewa? Hizi habari za kuondoa maagano ndiyo mwishowe watu wanaoga chumvi na kujipaka mafuta ya upako.

Yesu anatosha, wanachoogopa watumishi uchwara ni kuwaambia waumini ukweli kwamba kazi wanazozifanya kila muamini anaweza kuzifanya
 
Naona unatengeneza mazingira ya kupiga watu maokoto 🤣🤣🤣
 
Acts 9:3-6
Matendo ya Mitume 9:3-6
[3]Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni.
And as he journeyed, he came near Damascus: and suddenly there shined round about him a light from heaven:
[4]Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi?
And he fell to the earth, and heard a voice saying unto him, Saul, Saul, why persecutest thou me?
[5]Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.
And he said, Who art thou, Lord? And the Lord said, I am Jesus whom thou persecutest: it is hard for thee to kick against the pricks.
[6]Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.
And he trembling and astonished said, Lord, what wilt thou have me to do? And the Lord said unto him, Arise, and go into the city, and it shall be told thee what thou must do.
 
Sawa Mwamposa. Tutakuletea sadaka jumapili hii
 
Huyo anaongea maneno yake tu wala hayajatoka huko unakosema
 
Yaani uzini na mke wa Jirani Yako sirini halafu utubu sirini?

Mwombee Mungu Roho mtakatifu akufunulie aloyasema mwenyewe kabla ya kupinga.
Si uende tu kwa ulie mzinia umuombe msamaha?
Utakacho kutana nacho uwe tayari kukipokea
 
Waebrania 4:16
Haijasema ulichosema wewe.Hebu soma ilivyoandikwa[emoji116][emoji116]

Waebrania 4
16 Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.


Kwa hiyo Chumvi hizo zingine umejiongezea wewe.Shame upon you.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…