Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Huyu ni mharibifu wa injili kwa makusudi au amelishwa matango pori na mitume faketukiwaambia injili imevamiwa na wahuni na maajenti ya kuzimu, muwe mnaelewa. sasa mfano umeenda kweney kanisa la mtu kama huyu, anataka awe anapokea tozo za sadaka unapotubu, si ndio watajenga magorofa kibao kama mwamposa mwenye hotel mbalizi mbeya na wengine wanaojifanya kugawa pesa kule arusha? shetan ana njia nyingi sana, anatafuta vimistari au videsturi fulani ili watu wawe wanafanya kinyume na Biblia na baadaye wanazoea kama kawaida ya ibada.
Mpotoshaji huyu anatuona mbung'oMnajiiiiiiiipa presha .Nan kakwambia Mungu ana formalities za kibinadam zaid namna hii!!???
Ujue anayekuondolea hatia sio kutubu mbele za mtu. NI Holly spirit, period!!!! Hii kwenda mbele za watu imekaa kisailolojia tu ili ku bust iman yako ila hata sio lazima wala haina ukwel...
Wewe ndiye mpotoshaji.tukiwaambia injili imevamiwa na wahuni na maajenti ya kuzimu, muwe mnaelewa. sasa mfano umeenda kweney kanisa la mtu kama huyu, anataka awe anapokea tozo za sadaka unapotubu, si ndio watajenga magorofa kibao kama mwamposa mwenye hotel mbalizi mbeya na wengine wanaojifanya kugawa pesa kule arusha? shetan ana njia nyingi sana, anatafuta vimistari au videsturi fulani ili watu wawe wanafanya kinyume na Biblia na baadaye wanazoea kama kawaida ya ibada.
Ujumbe ni Kwa waliookoka. Ikiwa umesoma na kuamini, Sharti uokoke kwanza ndo utoe sadaka,
Sadaka za mbwa hazipokelewi madhabahuni,
Amen
Unabisha usichojua.This is cults and false doctrine.
Mnamdhslilidha Yesu kwa mafundisho potofu.
Damu ya Yesu inatosha kukuondolea dhambi zako ukiziungama kwa kumaanisha.
Hii tabia ya kuungama kwa mtu ni Agano la ksle.
Agano hilo liliishia pale Yesu aliposulubiwa na kumwaga damu pale msalsbani.
Baada ya Yesu kukata roho, pazia la Hekalu lilipasuka, kuashia kuwa kazi ya Kuhani mkuu iliishia pale.
Kwasasa Yesu nfiye kuhani mkuu wetu.
Si tu anatuombea bali anatuombea msamaha kupitia kumwaga damu kwske pale Msalabani.
Kazi ya damu ya mafahali ya ng'ombe, konfoo na njiwa ilikoma msalabani.
Yesu atosha
Upo sahihi kabisa....Alisema hivi, pazia la hekalu lilipasuka kuruhu hata wasio wachungaji wala makuhani kuingia Patakatifu pa Patakatifu kwenye kiti cha Rehema. Sharti uingie na damu na jina la Yesu Kristo. Acheni kutaabisha watu wa Mungu. Kinachofuta dhambi sio ombi la mchungaji, ni Damu ya Yesu tu. Wote tu makuhani Kwa Mungu wetu.
basi, tujadili tu hizo baadhi ya dhambi unazotaka kwamba lazima uende kwa mtumishi akuombee na uwe na sadaka, wapi pameandikwa? ni dhambi ipi hiyo ambayo Yesu Kristo hakufa kwa ajili yake pale msalamani (ukiondoa ile tu ambayo yeye mwenyewe alituonya kwamba ukimkufuru Roho Mtakatifu hautasamehewa milele?), Yesu alilipa deni la dhambi zote, kubwa na ndogo, Damu yake ina thamani kuliko visadaka vyako, utamlipa nini Mungu akusamehe wewe? sadaka yako ina thamani kiasi gani kuzidi Damu ya Yesu? mbona mnapotosha watu namna hii? shetani anawalipa shilingi ngapi kufanya upotofu wa aina hii?Wewe ndiye mpotoshaji.
Rudi ukasome thread kwanza, ukielewa ndipo uje ku argue.
Thread imesema baadhi ya dhambi, wewe unasema watumishi wanatoza sadaka Kwa Kila dhambi,
Pia sadaka inaambatana na moyo moyo wa mtu, hivyo Si lazima mtu atoe sadaka ikiwa Hana.
Thread imeeleza kuwa Mtumishi anatumika kumsaidia mtu aliyeanguka katika Dhambi za aina hiyo KUONGOZWA kutubu na kuvunja vifungo.
Mtu aliyekuwa mganga wa kienyeji na akatubu kimya kimya,
Unadhani ni Rahisi kujinasia na mikataba aliyofungishwa huko bila watumishi wa Mungu?
Wewe ni Farisayo kama tu Sauli, hujui lolote, uko KIMWILI.
Sadaka ni moyo wako, Amini kwanza ndugu Bufa.Nyie madalali mkipewa hiyo sadaka mnapeleka wapi?
umebadilisha tena, kumbe ulikuwa unamaanisha sadaka ni moyo? kwa vipi? I am glad umeanza kufunguka.Mungu akusaidie.Sadaka ni moyo wako, Amini kwanza ndugu Bufa.
Yote ulivyoandika ni Kweli, Damu ya Yesu inatosha,Upo sahihi kabisa....
Nakazia....
Ufunuo wa Yohana 5: 9
Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,
Ufunuo wa Yohana 5: 10
ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
kama Damu ya Yesu inatosha, sadaka ya nini sasa?Yote ulivyoandika ni Kweli, Damu ya Yesu inatosha,
Ila hujaelewa thread.
Oooooh!!!!Siku hizi bangi inavutwa na walokole sana
kwahiyo hapo pamesema uende na sadaka. mnapenda pesa sana ninyi mitume na manabii.Yakobo 5:14-15
Neno: Bibilia Takatifu
14 Je, kuna mtu miongoni mwenu aliye mgonjwa? Basi awaite wazee wa kanisa wamwombee na kumpaka mafuta katika jina la Bwana.
15 Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa huyo na Bwana atamwinua. Kama ametenda dhambi, atasamehewa.
Ndomana naona mnaingiwa na hamaki,umebadilisha tena, kumbe ulikuwa unamaanisha sadaka ni moyo? kwa vipi? I am glad umeanza kufunguka.Mungu akusaidie.
Ni kitabu gani kimeeleza hivyo mtumishi ili na mimi nikipitieSi DHAMBI zote Hadi uende Kwa mtumishi, ni baadhi.
Mfano, huwezi kufirana, kuua au kuzini na mke wa Jirani Yako halafu ukatubu sirini, dhambi hizo hapo juu Zina mikataba na vifungo vya kipepo ambavyo lazima uhusishe Mtumishi.