Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
tukiwaambia injili imevamiwa na wahuni na maajenti ya kuzimu, muwe mnaelewa. sasa mfano umeenda kweney kanisa la mtu kama huyu, anataka awe anapokea tozo za sadaka unapotubu, si ndio watajenga magorofa kibao kama mwamposa mwenye hotel mbalizi mbeya na wengine wanaojifanya kugawa pesa kule arusha? shetan ana njia nyingi sana, anatafuta vimistari au videsturi fulani ili watu wawe wanafanya kinyume na Biblia na baadaye wanazoea kama kawaida ya ibada.