Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

tukiwaambia injili imevamiwa na wahuni na maajenti ya kuzimu, muwe mnaelewa. sasa mfano umeenda kweney kanisa la mtu kama huyu, anataka awe anapokea tozo za sadaka unapotubu, si ndio watajenga magorofa kibao kama mwamposa mwenye hotel mbalizi mbeya na wengine wanaojifanya kugawa pesa kule arusha? shetan ana njia nyingi sana, anatafuta vimistari au videsturi fulani ili watu wawe wanafanya kinyume na Biblia na baadaye wanazoea kama kawaida ya ibada.
 
This is cults and false doctrine.

Mnamdhslilidha Yesu kwa mafundisho potofu.
Damu ya Yesu inatosha kukuondolea dhambi zako ukiziungama kwa kumaanisha.

Hii tabia ya kuungama kwa mtu ni Agano la ksle.

Agano hilo liliishia pale Yesu aliposulubiwa na kumwaga damu pale msalsbani.

Baada ya Yesu kukata roho, pazia la Hekalu lilipasuka, kuashia kuwa kazi ya Kuhani mkuu iliishia pale.

Kwasasa Yesu nfiye kuhani mkuu wetu.

Si tu anatuombea bali anatuombea msamaha kupitia kumwaga damu kwske pale Msalabani.

Kazi ya damu ya mafahali ya ng'ombe, konfoo na njiwa ilikoma msalabani.

Yesu atosha
 
Huyu ni mharibifu wa injili kwa makusudi au amelishwa matango pori na mitume fake
 
Mnajiiiiiiiipa presha .Nan kakwambia Mungu ana formalities za kibinadam zaid namna hii!!???

Ujue anayekuondolea hatia sio kutubu mbele za mtu. NI Holly spirit, period!!!! Hii kwenda mbele za watu imekaa kisailolojia tu ili ku bust iman yako ila hata sio lazima wala haina ukwel...
Mpotoshaji huyu anatuona mbung'o
 
tukiwaambia injili imevamiwa na wahuni na maajenti ya kuzimu, muwe mnaelewa. sasa mfano umeenda kweney kanisa la mtu kama huyu, anataka awe anapokea tozo za sadaka unapotubu, si ndio watajenga magorofa kibao kama mwamposa mwenye hotel mbalizi mbeya na wengine wanaojifanya kugawa pesa kule arusha? shetan ana njia nyingi sana, anatafuta vimistari au videsturi fulani ili watu wawe wanafanya kinyume na Biblia na baadaye wanazoea kama kawaida ya ibada.
Wewe ndiye mpotoshaji.

Rudi ukasome thread kwanza, ukielewa ndipo uje ku argue.

Thread imesema baadhi ya dhambi, wewe unasema watumishi wanatoza sadaka Kwa Kila dhambi,

Pia sadaka inaambatana na moyo moyo wa mtu, hivyo Si lazima mtu atoe sadaka ikiwa Hana.

Thread imeeleza kuwa Mtumishi anatumika kumsaidia mtu aliyeanguka katika Dhambi za aina hiyo KUONGOZWA kutubu na kuvunja vifungo.

Mtu aliyekuwa mganga wa kienyeji na akatubu kimya kimya,

Unadhani ni Rahisi kujinasia na mikataba aliyofungishwa huko bila watumishi wa Mungu?

Wewe ni Farisayo kama tu Sauli, hujui lolote, uko KIMWILI.
 
This is cults and false doctrine.

Mnamdhslilidha Yesu kwa mafundisho potofu.
Damu ya Yesu inatosha kukuondolea dhambi zako ukiziungama kwa kumaanisha.

Hii tabia ya kuungama kwa mtu ni Agano la ksle.

Agano hilo liliishia pale Yesu aliposulubiwa na kumwaga damu pale msalsbani.

Baada ya Yesu kukata roho, pazia la Hekalu lilipasuka, kuashia kuwa kazi ya Kuhani mkuu iliishia pale.

Kwasasa Yesu nfiye kuhani mkuu wetu.

Si tu anatuombea bali anatuombea msamaha kupitia kumwaga damu kwske pale Msalabani.

Kazi ya damu ya mafahali ya ng'ombe, konfoo na njiwa ilikoma msalabani.

Yesu atosha
Unabisha usichojua.

Ninakuuliza hivi,

Mganga wa kienyeji au mchawi akiamua kuokoka Leo, Unadhani anaweza kutubu sirini bila kusgirikisha watumishi wa Mungu na vifungo na mikataba hiyo ikamwacha?

Mganga anajua kulitumia Damu ya Yesu bila msaada wa watumishi?

Soma Kwa utulivu utaelewa.
 
Alisema hivi, pazia la hekalu lilipasuka kuruhu hata wasio wachungaji wala makuhani kuingia Patakatifu pa Patakatifu kwenye kiti cha Rehema. Sharti uingie na damu na jina la Yesu Kristo. Acheni kutaabisha watu wa Mungu. Kinachofuta dhambi sio ombi la mchungaji, ni Damu ya Yesu tu. Wote tu makuhani Kwa Mungu wetu.
Upo sahihi kabisa....

Nakazia....

Ufunuo wa Yohana 5: 9
Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,

Ufunuo wa Yohana 5: 10
ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
 
Wewe ndiye mpotoshaji.

Rudi ukasome thread kwanza, ukielewa ndipo uje ku argue.

Thread imesema baadhi ya dhambi, wewe unasema watumishi wanatoza sadaka Kwa Kila dhambi,

Pia sadaka inaambatana na moyo moyo wa mtu, hivyo Si lazima mtu atoe sadaka ikiwa Hana.

Thread imeeleza kuwa Mtumishi anatumika kumsaidia mtu aliyeanguka katika Dhambi za aina hiyo KUONGOZWA kutubu na kuvunja vifungo.

Mtu aliyekuwa mganga wa kienyeji na akatubu kimya kimya,

Unadhani ni Rahisi kujinasia na mikataba aliyofungishwa huko bila watumishi wa Mungu?

Wewe ni Farisayo kama tu Sauli, hujui lolote, uko KIMWILI.
basi, tujadili tu hizo baadhi ya dhambi unazotaka kwamba lazima uende kwa mtumishi akuombee na uwe na sadaka, wapi pameandikwa? ni dhambi ipi hiyo ambayo Yesu Kristo hakufa kwa ajili yake pale msalamani (ukiondoa ile tu ambayo yeye mwenyewe alituonya kwamba ukimkufuru Roho Mtakatifu hautasamehewa milele?), Yesu alilipa deni la dhambi zote, kubwa na ndogo, Damu yake ina thamani kuliko visadaka vyako, utamlipa nini Mungu akusamehe wewe? sadaka yako ina thamani kiasi gani kuzidi Damu ya Yesu? mbona mnapotosha watu namna hii? shetani anawalipa shilingi ngapi kufanya upotofu wa aina hii?
 
Upo sahihi kabisa....

Nakazia....

Ufunuo wa Yohana 5: 9
Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,

Ufunuo wa Yohana 5: 10
ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
Yote ulivyoandika ni Kweli, Damu ya Yesu inatosha,

Ila hujaelewa thread.
 
Ungekuwa karibu ningekutandika MAKOFI MATATU YA KIMKAKATI pamoja na KELBU MOJA ya kukuzima data.

Lakini pia naona WAPIGA NYETO wamecharuka kweli kweli.

DAMU YA YESU ITUFUNIKE, Na kwa hili bichwa langu lilivyo kubwa nahitaji vikombe vitatu vya DAMU YA YESU ninywe nitakasike.
 
Yakobo 5:14-15​

Neno: Bibilia Takatifu​

14 Je, kuna mtu miongoni mwenu aliye mgonjwa? Basi awaite wazee wa kanisa wamwombee na kumpaka mafuta katika jina la Bwana.

15 Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa huyo na Bwana atamwinua. Kama ametenda dhambi, atasamehewa.
 
kwahiyo hapo pamesema uende na sadaka. mnapenda pesa sana ninyi mitume na manabii.
 
umebadilisha tena, kumbe ulikuwa unamaanisha sadaka ni moyo? kwa vipi? I am glad umeanza kufunguka.Mungu akusaidie.
Ndomana naona mnaingiwa na hamaki,

Pitia thread UPYA, Damu ya Yesu inatosha, sadaka ni moyo wa Mtu, shukrani abebayo mtu ni Kwa ajili yake mwenyewe.

SADAKA ya pesa Si lazima ikiwa huna, muhimu ni kumshirikisha Mtumishi Ili akusaidie njia na taratibu za kuvunja vifungo na mikataba Kwa baadhi ya dhambi zilizoainishwa hapo juu.

Ukisoma vizuri utaelewa.
 
Si DHAMBI zote Hadi uende Kwa mtumishi, ni baadhi.

Mfano, huwezi kufirana, kuua au kuzini na mke wa Jirani Yako halafu ukatubu sirini, dhambi hizo hapo juu Zina mikataba na vifungo vya kipepo ambavyo lazima uhusishe Mtumishi.
Ni kitabu gani kimeeleza hivyo mtumishi ili na mimi nikipitie
 
Back
Top Bottom