matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Maandiko yaliyovuviwa na roho mtakatifu yanaongoza hivyo.So wewe ni mtumishi unayeamini, muumini anaweza MKULIMA mke wa Jirani na akatubu kimya kimya na akasamehewa?
Roho mtakatifu anakushuhudia hiyo ni sawa?
Amen.Na kwa hakika wahusika wanaalikwa bila kusita wala kuona haya, kupata fursa hiyo muhimu ya upatanisho na Mungu, ili wapate msamaha wa madhambi yao na wakawe huru tena, baada ya kutumbukia dhambini na kuharibu uhusiano wao na Mungu.
Na sasa mtoa bandiko anakumbusha na anaelekeza namna ya kurejea na kurejesha uhusiano wa karibu zaidi tena na Mungu,
ni katika sifa na Utukufu wa jina lake..
Aimen....
Ni andiko gani linasema hivyo mtumishi? Ingekuwa vizuri sana kama ungeegemeza mafundisho yako katika Neno vinginevyo hutakuwa tofauti na hawa social commentators na motivational speakers a.k.a wapiga porojo kama akina Mgogo, Hananja, Kapola n.k.Si DHAMBI zote Hadi uende Kwa mtumishi, ni baadhi.
Mfano, huwezi kufirana, kuua au kuzini na mke wa Jirani Yako halafu ukatubu sirini, dhambi hizo hapo juu Zina mikataba na vifungo vya kipepo ambavyo lazima uhusishe Mtumishi.
kwahiyo yule mama alipotoa sadaka, alikuwa ameenda kutubu? hivi yule mwanamke aliyeshikwa ugoni Yesu alimlipisha shingapi ili asamehewe, ni wapi Yesu aliwahi kusema unaweza kutoa chochote wakati wa kuomba msamaha? hamjui kuwa kusamehewa ni neema? mshahara wa dhambi ni mauti, hivyo tulitakiwa tukifanya dhambi tuuawe hapohapo, na kafara la Damu ya Yesu lilikuja kama Neema kwamba hatustahili kusamehewa ila basi mmoja afe kwa ajili ya wengine wooote ili wasiwe wanakufa wasamehewe bure, tunapata msamaha wa dhambi bure, hatuna uwezo kulipa chochote.Unaongea sahihi kabisa.
Yesu hakukataza sadaka.
Kiwango Cha sadaka, Moyo wako uamue Kwa kadri utavyoozwa na Roho mtakatifu.
Amen
Je unaamini mtu akitenda dhambi hizo, upo umuhimu kushirikisha mtumishi?wewe hujaelewa mjadala. mleta mada amesema ukifanya dhambi hizo zlizoorodhesha, huwezi kusamehewa hadi uende kwa mchungaji akuombee na ukiwa na sadaka. hajataja mstari wowote. hapa hatuongelei sadaka kiujumla. swali letu kwake, Damu ya Yesu Kristo ilimwagika kwa ajili ya ondoleo la dhambi, sasa sadaka twende nayo ya nini? siku zingine sadaka ni muhimu kutoa ila pale unapotubu unaenda na sadaka kutubia ya nini wakati Yesu alishalipa gharama ya dhambi zako? unalipia dhambi, kitu gani cha thamani utampa Mungu akusamehje dhambi nje ya Damu ya Yesu? ndio hawa manabii wa uongo wanajaribu kuuambia umma.
Mama mzinzi alitubu hadharani, Na ndicho mada inaongelea.kwahiyo yule mama alipotoa sadaka, alikuwa ameenda kutubu? hivi yule mwanamke aliyeshikwa ugoni Yesu alimlipisha shingapi ili asamehewe, ni wapi Yesu aliwahi kusema unaweza kutoa chochote wakati wa kuomba msamaha? hamjui kuwa kusamehewa ni neema? mshahara wa dhambi ni mauti, hivyo tulitakiwa tukifanya dhambi tuuawe hapohapo, na kafara la Damu ya Yesu lilikuja kama Neema kwamba hatustahili kusamehewa ila basi mmoja afe kwa ajili ya wengine wooote ili wasiwe wanakufa wasamehewe bure, tunapata msamaha wa dhambi bure, hatuna uwezo kulipa chochote.
Mt 26:28 Kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
Matendo ya Mitume 9 1tupatie mstari ndugu, wapi imeandikwa kwenye Biblia.
Ubarikiwe Kwa ufafanuzi.Kasome kisa cha mtume Paulo baada ya kutokewa na Yesu njiani na kupigwa upofu.
Yesu alimtuma Anania kwenda kumuwekea mikono Paulo na kumwambia cha kufanya.
Matendo ya mitume 9: 1-19
Matendo ya Mitume 9 1
<br>Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu,
Matendo ya Mitume 9 2
akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.
Matendo ya Mitume 9 3
Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni.
Matendo ya Mitume 9 4
Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi?
Matendo ya Mitume 9 5
Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.
Matendo ya Mitume 9 6
Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.
Matendo ya Mitume 9 7
Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.
Matendo ya Mitume 9 8
Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski.
Matendo ya Mitume 9 9
Akawa siku tatu haoni; hali, wala hanywi.
Matendo ya Mitume 9 10
Basi palikuwapo Dameski mwanafunzi jina lake Anania. Bwana akamwambia katika maono, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.
Matendo ya Mitume 9 11
Bwana akamwambia, Simama, enenda zako katika njia iitwayo Nyofu, ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu aitwaye Sauli, wa Tarso; maana, angalia, anaomba;
Matendo ya Mitume 9 12
naye amemwona mtu, jina lake Anania, akiingia, na kumwekea mikono juu yake, apate kuona tena.
Matendo ya Mitume 9 13
Lakini Anania akajibu, Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kwa watu wengi, mabaya mengi aliyowatenda watakatifu wako Yerusalemu;
Matendo ya Mitume 9 14
hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako.
Matendo ya Mitume 9 15
Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.
Matendo ya Mitume 9 16
Maana nitamwonyesha yalivyo mengi yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya Jina langu.
Matendo ya Mitume 9 17
Anania akaenda zake, akaingia mle nyumbani; akamwekea mikono akisema, Ndugu Sauli, Bwana amenituma, Yesu, yeye aliyekutokea katika njia uliyoijia, upate kuona tena, ukajazwe Roho Mtakatifu.
Matendo ya Mitume 9 18
Mara vikaanguka machoni pake vitu kama magamba, akapata kuona, akasimama, akabatizwa;
Matendo ya Mitume 9 19
akala chakula, na kupata nguvu.
Kasome mwenyewe kisa cha Kornelio yule muitalia, alipotokea na malaika aliambiwa apelekw watu kule Yafa akamlete Simoni Petro ili amwambie cha kufanya..............umejiuliza kwanini malaika hakufanya hilo jukumu yeye, Ila alimpa maelekezo amtafute Petro ?
Matendo ya mitume 10:1-31
Nenda kasome kisa cha yule towashi kutoka hapo Ethiopia na Filipo, kumbuka yule towashi alikuwa akisoma chuk cha nabi Isaya (Isaya 53:1-), Ila ilibidi Roho Mtakatifu ampeleke Filipo ili akamweleweshe na kumbatiza yule towashi.
Mpaka hapo unaona Mungu hutenda kazi kupitia watumishi wake.
Matendo ya mitume 8:25-38
Paulo alikua haujui ukweli kuhusu neno la Mungu, hivo ilikua ni sawa...Mungu kumwambia Aende kwa Anania na kkumueleza cha kufanyaKasome kisa cha mtume Paulo baada ya kutokewa na Yesu njiani na kupigwa upofu.
Yesu alimtuma Anania kwenda kumuwekea mikono Paulo na kumwambia cha kufanya.
Matendo ya mitume 9: 1-19
Matendo ya Mitume 9 1
Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu,
Matendo ya Mitume 9 2
akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.
Matendo ya Mitume 9 3
Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni.
Matendo ya Mitume 9 4
Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi?
Matendo ya Mitume 9 5
Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.
Matendo ya Mitume 9 6
Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.
Matendo ya Mitume 9 7
Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.
Matendo ya Mitume 9 8
Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski.
Matendo ya Mitume 9 9
Akawa siku tatu haoni; hali, wala hanywi.
Matendo ya Mitume 9 10
Basi palikuwapo Dameski mwanafunzi jina lake Anania. Bwana akamwambia katika maono, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.
Matendo ya Mitume 9 11
Bwana akamwambia, Simama, enenda zako katika njia iitwayo Nyofu, ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu aitwaye Sauli, wa Tarso; maana, angalia, anaomba;
Matendo ya Mitume 9 12
naye amemwona mtu, jina lake Anania, akiingia, na kumwekea mikono juu yake, apate kuona tena.
Matendo ya Mitume 9 13
Lakini Anania akajibu, Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kwa watu wengi, mabaya mengi aliyowatenda watakatifu wako Yerusalemu;
Matendo ya Mitume 9 14
hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako.
Matendo ya Mitume 9 15
Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.
Matendo ya Mitume 9 16
Maana nitamwonyesha yalivyo mengi yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya Jina langu.
Matendo ya Mitume 9 17
Anania akaenda zake, akaingia mle nyumbani; akamwekea mikono akisema, Ndugu Sauli, Bwana amenituma, Yesu, yeye aliyekutokea katika njia uliyoijia, upate kuona tena, ukajazwe Roho Mtakatifu.
Matendo ya Mitume 9 18
Mara vikaanguka machoni pake vitu kama magamba, akapata kuona, akasimama, akabatizwa;
Matendo ya Mitume 9 19
akala chakula, na kupata nguvu.
Kasome mwenyewe kisa cha Kornelio yule muitalia, alipotokea na malaika aliambiwa apelekw watu kule Yafa akamlete Simoni Petro ili amwambie cha kufanya..............umejiuliza kwanini malaika hakufanya hilo jukumu yeye, Ila alimpa maelekezo amtafute Petro ?
Matendo ya mitume 10:1-31
Nenda kasome kisa cha yule towashi kutoka hapo Ethiopia na Filipo, kumbuka yule towashi alikuwa akisoma chuk cha nabi Isaya (Isaya 53:1-), Ila ilibidi Roho Mtakatifu ampeleke Filipo ili akamweleweshe na kumbatiza yule towashi.
Mpaka hapo unaona Mungu hutenda kazi kupitia watumishi wake.
Matendo ya mitume 8:25-38
hoja kuu hapa ni SADAKA, kwenda na sadaka unapoenda kuombewa. Sauli (Paulo) baada ya kuwa kipofu alielekezwa aende kwa Anania; sawa; alienda na sadaka? naomba jibu hapo.Kasome kisa cha mtume Paulo baada ya kutokewa na Yesu njiani na kupigwa upofu.

dah, sadaka inamfungua mtu, sio Damu ya Yesu tena ambayo yeye mwenyewe anasema ilimwagika kwa ajili ya ondoleo la dhambi? hivi hamjioni kuwa fundisho lenu ni la uongo waziwazi kabisa, tuwasaidiaje? kutubu hadharani au kwa kificho kinachomatter ni moyo, mtu hadi anatubu hadharani manake amejutia na yupo tayari hata kudharauliwa na kuchewa alimradi asamehewe, hiyo ndio maana ya kutubu kwa kumaanisha kuacha dhambi. na yule mwanamke aliyeshikwa ugoni Yesu akamsamehe unategemea asingekuwa hadharani wakati amekutwa na kukamatwa na walikuwa ndio wanataka wampige mawe?Mama mzinzi alitubu hadharani, Na ndicho mada inaongelea.
Sadaka itolewayo ni shukrani, sikwamba sadaka ndiyo inamfungua mtu.
Damu ya Yesu inatosha.
Unaijua dhambi ya MAUTI aliyoisema Paulo?Paulo alikua haujui ukweli kuhusu neno la Mungu, hivo ilikua ni sawa...Mungu kumwambia Aende kwa Anania na kkumueleza cha kufanya
Kasome kisa cha Petro na Dorkasi uone namna sadaka alizokuwa akitoa Dorkasi zilimrudishia uhai.hoja kuu hapa ni SADAKA, kwenda na sadaka unapoenda kuombewa. Sauli (Paulo) baada ya kuwa kipofu alielekezwa aende kwa Anania; sawa; alienda na sadaka? naomba jibu hapo.
yule towashi wa ethiopia aliyekuwa akitelemka toka Yerusalem akahubiriwa na Filipo, alitoa sadaka wakati alipoamini/alipoamua kuokoka hadi akashuka kwenye mto akabatizwa na Filipo akatwaliwa na Roho asionekane tena kwake? naomba jibu hapo.

wekeni mstari unaosema ukaombewe. kwani unatubu kwa mtu au kwa Mungu?Unaijua dhambi ya MAUTI aliyoisema Paulo?
Kulikuwa na waumini enzi za Paulo, Mtu alizini na mama yake mzazi, halafu useme dhambi aina hiyo utubu kimya kimya?
Are you serious?