Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

So wewe ni mtumishi unayeamini, muumini anaweza MKULIMA mke wa Jirani na akatubu kimya kimya na akasamehewa?

Roho mtakatifu anakushuhudia hiyo ni sawa?
Maandiko yaliyovuviwa na roho mtakatifu yanaongoza hivyo.
Huyu roho niliyenaye ndiye kaongoza hayo maandiko ninayoyaamini.

Watu wanafanya hayo sio kwa sababu hawatubu kwa mtumishi. Ni kwa sababu hawana maarifa. Maandiko yanasema mwenye haki atapona kwa maarifa.

Dini za kisasa hata mambo ya watu kuelimishwa kwa maandiko na maombi yamekimbizwa kwenye kuombewa.
 
Na kwa hakika wahusika wanaalikwa bila kusita wala kuona haya, kupata fursa hiyo muhimu ya upatanisho na Mungu, ili wapate msamaha wa madhambi yao na wakawe huru tena, baada ya kutumbukia dhambini na kuharibu uhusiano wao na Mungu.

Na sasa mtoa bandiko anakumbusha na anaelekeza namna ya kurejea na kurejesha uhusiano wa karibu zaidi tena na Mungu,
ni katika sifa na Utukufu wa jina lake..
Aimen....
Amen.

Ubarikiwe ndugu Tlaatlaah!!
 
Si DHAMBI zote Hadi uende Kwa mtumishi, ni baadhi.

Mfano, huwezi kufirana, kuua au kuzini na mke wa Jirani Yako halafu ukatubu sirini, dhambi hizo hapo juu Zina mikataba na vifungo vya kipepo ambavyo lazima uhusishe Mtumishi.
Ni andiko gani linasema hivyo mtumishi? Ingekuwa vizuri sana kama ungeegemeza mafundisho yako katika Neno vinginevyo hutakuwa tofauti na hawa social commentators na motivational speakers a.k.a wapiga porojo kama akina Mgogo, Hananja, Kapola n.k.

Mbona suala la kusamehewa dhambi liko wazi na halihitaji madalali? Ni vizuri ukipata mtumishi aliyesimama katika kweli ukamshirikisha mkaomba pamoja; ila siyo lazima na wala siyo sharti la msingi!
 
Unaongea sahihi kabisa.

Yesu hakukataza sadaka.

Kiwango Cha sadaka, Moyo wako uamue Kwa kadri utavyoozwa na Roho mtakatifu.

Amen
kwahiyo yule mama alipotoa sadaka, alikuwa ameenda kutubu? hivi yule mwanamke aliyeshikwa ugoni Yesu alimlipisha shingapi ili asamehewe, ni wapi Yesu aliwahi kusema unaweza kutoa chochote wakati wa kuomba msamaha? hamjui kuwa kusamehewa ni neema? mshahara wa dhambi ni mauti, hivyo tulitakiwa tukifanya dhambi tuuawe hapohapo, na kafara la Damu ya Yesu lilikuja kama Neema kwamba hatustahili kusamehewa ila basi mmoja afe kwa ajili ya wengine wooote ili wasiwe wanakufa wasamehewe bure, tunapata msamaha wa dhambi bure, hatuna uwezo kulipa chochote.

Mt 26:28 Kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.​

Hawa jamaa wa ivi ndio wanasababisha ukristo uonekane takataka zaidi ya ulivyokua takataka mwanzo.
 
wewe hujaelewa mjadala. mleta mada amesema ukifanya dhambi hizo zlizoorodhesha, huwezi kusamehewa hadi uende kwa mchungaji akuombee na ukiwa na sadaka. hajataja mstari wowote. hapa hatuongelei sadaka kiujumla. swali letu kwake, Damu ya Yesu Kristo ilimwagika kwa ajili ya ondoleo la dhambi, sasa sadaka twende nayo ya nini? siku zingine sadaka ni muhimu kutoa ila pale unapotubu unaenda na sadaka kutubia ya nini wakati Yesu alishalipa gharama ya dhambi zako? unalipia dhambi, kitu gani cha thamani utampa Mungu akusamehje dhambi nje ya Damu ya Yesu? ndio hawa manabii wa uongo wanajaribu kuuambia umma.
Je unaamini mtu akitenda dhambi hizo, upo umuhimu kushirikisha mtumishi?

Unakubali kuwa Si sawa kutubu sirini dhambi aina hizo?

Do you agree?
 
kwahiyo yule mama alipotoa sadaka, alikuwa ameenda kutubu? hivi yule mwanamke aliyeshikwa ugoni Yesu alimlipisha shingapi ili asamehewe, ni wapi Yesu aliwahi kusema unaweza kutoa chochote wakati wa kuomba msamaha? hamjui kuwa kusamehewa ni neema? mshahara wa dhambi ni mauti, hivyo tulitakiwa tukifanya dhambi tuuawe hapohapo, na kafara la Damu ya Yesu lilikuja kama Neema kwamba hatustahili kusamehewa ila basi mmoja afe kwa ajili ya wengine wooote ili wasiwe wanakufa wasamehewe bure, tunapata msamaha wa dhambi bure, hatuna uwezo kulipa chochote.

Mt 26:28 Kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.​

Mama mzinzi alitubu hadharani, Na ndicho mada inaongelea.

Sadaka itolewayo ni shukrani, sikwamba sadaka ndiyo inamfungua mtu.

Damu ya Yesu inatosha.
 
Kasome kisa cha Sauli (Paulo) baada ya kutokewa na Yesu njiani na kupigwa upofu.

Yesu alimtuma Anania kwenda kumuwekea mikono Paulo na kumwambia cha kufanya.

Matendo ya mitume 9: 1-19
tupatie mstari ndugu, wapi imeandikwa kwenye Biblia.
Matendo ya Mitume 9 1
<br>Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu,

Matendo ya Mitume 9 2
akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.

Matendo ya Mitume 9 3
Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni.

Matendo ya Mitume 9 4
Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi?

Matendo ya Mitume 9 5
Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.

Matendo ya Mitume 9 6
Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.

Matendo ya Mitume 9 7
Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.

Matendo ya Mitume 9 8
Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski.

Matendo ya Mitume 9 9
Akawa siku tatu haoni; hali, wala hanywi.

Matendo ya Mitume 9 10
Basi palikuwapo Dameski mwanafunzi jina lake Anania. Bwana akamwambia katika maono, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.

Matendo ya Mitume 9 11
Bwana akamwambia, Simama, enenda zako katika njia iitwayo Nyofu, ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu aitwaye Sauli, wa Tarso; maana, angalia, anaomba;

Matendo ya Mitume 9 12
naye amemwona mtu, jina lake Anania, akiingia, na kumwekea mikono juu yake, apate kuona tena.

Matendo ya Mitume 9 13
Lakini Anania akajibu, Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kwa watu wengi, mabaya mengi aliyowatenda watakatifu wako Yerusalemu;

Matendo ya Mitume 9 14
hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako.

Matendo ya Mitume 9 15
Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.

Matendo ya Mitume 9 16
Maana nitamwonyesha yalivyo mengi yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya Jina langu.

Matendo ya Mitume 9 17
Anania akaenda zake, akaingia mle nyumbani; akamwekea mikono akisema, Ndugu Sauli, Bwana amenituma, Yesu, yeye aliyekutokea katika njia uliyoijia, upate kuona tena, ukajazwe Roho Mtakatifu.

Matendo ya Mitume 9 18
Mara vikaanguka machoni pake vitu kama magamba, akapata kuona, akasimama, akabatizwa;

Matendo ya Mitume 9 19
akala chakula, na kupata nguvu.

Kasome mwenyewe kisa cha Kornelio yule muitalia, alipotokea na malaika aliambiwa apelekw watu kule Yafa akamlete Simoni Petro ili amwambie cha kufanya..............umejiuliza kwanini malaika hakufanya hilo jukumu yeye, Ila alimpa maelekezo amtafute Petro ?

Matendo ya mitume 10:1-31

Nenda kasome kisa cha yule towashi kutoka hapo Kushi (Ethiopia) na Filipo, kumbuka yule towashi alikuwa akisoma chuo cha nabii Isaya Ila hakukielewa (yaani Isaya 53:1-), Ila ilibidi Roho Mtakatifu ampeleke Filipo ili akamweleweshe na kumbatiza yule towashi.

Mpaka hapo unaona Mungu hutenda kazi kupitia watumishi wake.

Matendo ya mitume 8:25-38
 
Lutheran na Catholic walikua wajanja wakajijenga kiuchumi kufungua shule ,hospital na taasisi mbalimbali., waliona mbali ipo siku kondoo watashtukia mchezo watakosa Mapato.
 
Waebrania 9:20-22​

20 akasema, “Hii ndio damu ya agano ambalo Mungu amewaamuru kulitii.” 21 Vivyo hivyo akanyunyizia damu hiyo kwe nye lile hema na vifaa vyote vilivyotumika kwa ibada. 22 Hakika katika sheria, karibu kila kitu hutakaswa kwa damu; na pasipo kumwaga damu, hakuna msamaha wa dhambi.
 
Kasome kisa cha mtume Paulo baada ya kutokewa na Yesu njiani na kupigwa upofu.

Yesu alimtuma Anania kwenda kumuwekea mikono Paulo na kumwambia cha kufanya.

Matendo ya mitume 9: 1-19

Matendo ya Mitume 9 1
<br>Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu,

Matendo ya Mitume 9 2
akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.

Matendo ya Mitume 9 3
Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni.

Matendo ya Mitume 9 4
Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi?

Matendo ya Mitume 9 5
Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.

Matendo ya Mitume 9 6
Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.

Matendo ya Mitume 9 7
Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.

Matendo ya Mitume 9 8
Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski.

Matendo ya Mitume 9 9
Akawa siku tatu haoni; hali, wala hanywi.

Matendo ya Mitume 9 10
Basi palikuwapo Dameski mwanafunzi jina lake Anania. Bwana akamwambia katika maono, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.

Matendo ya Mitume 9 11
Bwana akamwambia, Simama, enenda zako katika njia iitwayo Nyofu, ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu aitwaye Sauli, wa Tarso; maana, angalia, anaomba;

Matendo ya Mitume 9 12
naye amemwona mtu, jina lake Anania, akiingia, na kumwekea mikono juu yake, apate kuona tena.

Matendo ya Mitume 9 13
Lakini Anania akajibu, Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kwa watu wengi, mabaya mengi aliyowatenda watakatifu wako Yerusalemu;

Matendo ya Mitume 9 14
hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako.

Matendo ya Mitume 9 15
Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.

Matendo ya Mitume 9 16
Maana nitamwonyesha yalivyo mengi yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya Jina langu.

Matendo ya Mitume 9 17
Anania akaenda zake, akaingia mle nyumbani; akamwekea mikono akisema, Ndugu Sauli, Bwana amenituma, Yesu, yeye aliyekutokea katika njia uliyoijia, upate kuona tena, ukajazwe Roho Mtakatifu.

Matendo ya Mitume 9 18
Mara vikaanguka machoni pake vitu kama magamba, akapata kuona, akasimama, akabatizwa;

Matendo ya Mitume 9 19
akala chakula, na kupata nguvu.

Kasome mwenyewe kisa cha Kornelio yule muitalia, alipotokea na malaika aliambiwa apelekw watu kule Yafa akamlete Simoni Petro ili amwambie cha kufanya..............umejiuliza kwanini malaika hakufanya hilo jukumu yeye, Ila alimpa maelekezo amtafute Petro ?

Matendo ya mitume 10:1-31

Nenda kasome kisa cha yule towashi kutoka hapo Ethiopia na Filipo, kumbuka yule towashi alikuwa akisoma chuk cha nabi Isaya (Isaya 53:1-), Ila ilibidi Roho Mtakatifu ampeleke Filipo ili akamweleweshe na kumbatiza yule towashi.

Mpaka hapo unaona Mungu hutenda kazi kupitia watumishi wake.

Matendo ya mitume 8:25-38
Ubarikiwe Kwa ufafanuzi.
 
Kasome kisa cha mtume Paulo baada ya kutokewa na Yesu njiani na kupigwa upofu.

Yesu alimtuma Anania kwenda kumuwekea mikono Paulo na kumwambia cha kufanya.

Matendo ya mitume 9: 1-19

Matendo ya Mitume 9 1

Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu,

Paulo alikua haujui ukweli kuhusu neno la Mungu, hivo ilikua ni sawa...Mungu kumwambia Aende kwa Anania na kkumueleza cha kufanya
 
hoja kuu hapa ni SADAKA, kwenda na sadaka unapoenda kuombewa. Sauli (Paulo) baada ya kuwa kipofu alielekezwa aende kwa Anania; sawa; alienda na sadaka? naomba jibu hapo.

yule towashi wa ethiopia aliyekuwa akitelemka toka Yerusalem akahubiriwa na Filipo, alitoa sadaka wakati alipoamini/alipoamua kuokoka hadi akashuka kwenye mto akabatizwa na Filipo akatwaliwa na Roho asionekane tena kwake? towashi alitoa sadaka? naomba jibu hapo.
 
d
Mama mzinzi alitubu hadharani, Na ndicho mada inaongelea.

Sadaka itolewayo ni shukrani, sikwamba sadaka ndiyo inamfungua mtu.

Damu ya Yesu inatosha.
dah, sadaka inamfungua mtu, sio Damu ya Yesu tena ambayo yeye mwenyewe anasema ilimwagika kwa ajili ya ondoleo la dhambi? hivi hamjioni kuwa fundisho lenu ni la uongo waziwazi kabisa, tuwasaidiaje? kutubu hadharani au kwa kificho kinachomatter ni moyo, mtu hadi anatubu hadharani manake amejutia na yupo tayari hata kudharauliwa na kuchewa alimradi asamehewe, hiyo ndio maana ya kutubu kwa kumaanisha kuacha dhambi. na yule mwanamke aliyeshikwa ugoni Yesu akamsamehe unategemea asingekuwa hadharani wakati amekutwa na kukamatwa na walikuwa ndio wanataka wampige mawe?
 
Paulo alikua haujui ukweli kuhusu neno la Mungu, hivo ilikua ni sawa...Mungu kumwambia Aende kwa Anania na kkumueleza cha kufanya
Unaijua dhambi ya MAUTI aliyoisema Paulo?

Kulikuwa na waumini enzi za Paulo, Mtu alizini na mama yake mzazi, halafu useme dhambi aina hiyo utubu kimya kimya?

Are you serious?
 
Wandugu nyote msomao humu, msiwasikilize hawa manabii wa uongo. jueni neno hili moja tu kwamba, TUMEOKOLEWA KWA NEEMA, WALA SI KWA MATENDO YETU, MTU YEYOTE ASIJE AKAJISIFU. hakuna sadaka yeyote inayoweza kutolewa ili usamehewe dhambi, Yesu anasamehe dhambi bure. hata ukiamua kutoa sadaka usitoe kwasababu umesamehewa, toa kwamba unamtolea Mungu kwa kawaida tu, Mungu angekua anathamini wenye sadaka peke yake, basi kina bakhresa peke yake ndio wangefika mbinguni. MUNGU HANUNULIKI, HAHONGWI, hizo mnazohonga wanakula hao manabii na mitume wa uongo na wake zao, ndio maana wamejenga hadi mahotel kutokana na sadaka zenu. wanatembelea magari ya milioni 400 kuja kanisani kusalisha na kukusanya sadaka toka kwa watu ambao hawajui wakirudi church watakula nini,wagonjwa, wenye shida, wanamchangia mafuta kila siku yeye anaishi kama mfalme ila kondoo wanaishi kama mbwa tu.
 
hoja kuu hapa ni SADAKA, kwenda na sadaka unapoenda kuombewa. Sauli (Paulo) baada ya kuwa kipofu alielekezwa aende kwa Anania; sawa; alienda na sadaka? naomba jibu hapo.

yule towashi wa ethiopia aliyekuwa akitelemka toka Yerusalem akahubiriwa na Filipo, alitoa sadaka wakati alipoamini/alipoamua kuokoka hadi akashuka kwenye mto akabatizwa na Filipo akatwaliwa na Roho asionekane tena kwake? naomba jibu hapo.
Kasome kisa cha Petro na Dorkasi uone namna sadaka alizokuwa akitoa Dorkasi zilimrudishia uhai.

Matendo ya mitume 9:36-39

Nenda kasome kisa cha Sauli alipokuwa anatafuta punda wa baba yake waliopotea alimwendea Samweli akiwa na Sadaka na huko huko alitiwa mafuta ya ufalme.

1samweli 9:3-9
 
hoja kuu hapa ni SADAKA, kwenda na sadaka unapoenda kuombewa. Sauli (Paulo) baada ya kuwa kipofu alielekezwa aende kwa Anania; sawa; alienda na sadaka? naomba jibu hapo.

yule towashi wa ethiopia aliyekuwa akitelemka toka Yerusalem akahubiriwa na Filipo, alitoa sadaka wakati alipoamini/alipoamua kuokoka hadi akashuka kwenye mto akabatizwa na Filipo akatwaliwa na Roho asionekane tena kwake? naomba jibu hapo.
Kasome kisa cha Petro na Dorkasi uone namna sadaka alizokuwa akitoa Dorkasi zilimrudishia uhai.

Matendo ya mitume 9:36-39

Nenda kasome kisa cha Sauli alipokuwa anatafuta punda wa baba yake waliopotea alimwendea Samweli akiwa na Sadaka na huko huko alitiwa mafuta ya ufalme.

1samweli 9:3-9
 
Unaijua dhambi ya MAUTI aliyoisema Paulo?

Kulikuwa na waumini enzi za Paulo, Mtu alizini na mama yake mzazi, halafu useme dhambi aina hiyo utubu kimya kimya?

Are you serious?
wekeni mstari unaosema ukaombewe. kwani unatubu kwa mtu au kwa Mungu?
 
Back
Top Bottom