Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

Wandugu nyote msomao humu, msiwasikilize hawa manabii wa uongo. jueni neno hili moja tu kwamba, TUMEOKOLEWA KWA NEEMA, WALA SI KWA MATENDO YETU, MTU YEYOTE ASIJE AKAJISIFU. hakuna sadaka yeyote inayoweza kutolewa ili usamehewe dhambi, Yesu anasamehe dhambi bure. hata ukiamua kutoa sadaka usitoe kwasababu umesamehewa, toa kwamba unamtolea Mungu kwa kawaida tu, Mungu angekua anathamini wenye sadaka peke yake, basi kina bakhresa peke yake ndio wangefika mbinguni. MUNGU HANUNULIKI, HAHONGWI, hizo mnazohonga wanakula hao manabii na mitume wa uongo na wake zao, ndio maana wamejenga hadi mahotel kutokana na sadaka zenu. wanatembelea magari ya milioni 400 kuja kanisani kusalisha na kukusanya sadaka toka kwa watu ambao hawajui wakirudi church watakula nini,wagonjwa, wenye shida, wanamchangia mafuta kila siku yeye anaishi kama mfalme ila kondoo wanaishi kama mbwa tu.
Sadaka ni ibada, ukiwaambia watu wasitoe sadaka ni sawa na kuwaambia wasifanye ibada.

Be careful....
 
kwa
Kasome kisa cha Petro na Dorkasi uone namna sadaka alizokuwa akitoa Dorkasi zilimrudishia uhai.

Matendo ya mitume 9:36-39

Nenda kasome kisa cha Sauli alipokuwa anatafuta punda wa baba yake waliopotea alimwendea Samweli akiwa na Sadaka na huko huko alitiwa mafuta ya ufalme.

1samweli 9:3-9
kwa sauli hiyo agano la kale (samwel) sitakujibu. na unajua nini sababu yake. ila kwa Dorkas, hoja ilikuwa alikuwa mtoa sadaka mzuri na watu walimpenda kwa sababu hiyo hasa wale aliokuwa amewasaidia. hoja tunayoongelea hapa sio kwamba kutoa sadaka ni kitu kibaya hapapa, kutoa sadaka ni muhimu na unatakiwa kutoa sadaka, kutoa sadaka kunagusa moyo wa Mungu kama umeitoa kwa moyo wako wote. lakini umeitoa katika mazingira gani ndipo tunapotofautiana. mleta hoja alisema, ukitenda dhambi hizo alizoorodhesha husamehewi hadi ukaombewe na mtu mwingine na uwe umeenda na sadaka. hapo ndipo tunatofautiana.

DORKAS alitoa sadaka katika mazingira ya maisha ya kawaida tu, sio katika mazingira ya kutubu, rudi kasome mwenyewe. hio Biblia nimeisoma yote hakuna nilipobakisha. usifikiri unaongea na waumini wenu hao mnaowadanganya.
 
Sadaka ni ibada, ukiwaambia watu wasitoe sadaka ni sawa na kuwaambia wasifanye ibada.

Be careful....
kutotoa sadaka sio Biblical, ni Kibiblia kabisa watu watoe sadaka. ndio maana hata masamnja alipokuja na kikanisa chake kwamba watu wasitoe sadaka, watu tulipigia mstari palepale kwamba hilo sio kanisa la Mungu. lazima tutoe sadaka.

ila hatutoi sadaka wakati wa kutubu, kwasababu hatununui utakatifu/hatununui kusamehewa, hakuna pesa inayoweza kulipa dhambi zako, hakuna kitu cha thamani kuzidi Damu ya Yesu, kwenda na sadaka wakati wa kutubu ni dhihaka kwa Mungu aliyetoa sadaka yake mwenyewe tena ya neema bure. Yesu Kristo.
 
labda huko kwa ISAKA ila kwa Ishmael tunaambiwa TUTUBU NA TUACHE BASI.inakuwa umesamehewa.
Mwenyezi mungu anasema yeye ni MSAMEHEVU ANA SAMEHE MADHAMBI MAKUBWA NA MADOGO.
na anawapenda wanaomba msamaha na kuacha

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Wandugu nyote msomao humu, msiwasikilize hawa manabii wa uongo. jueni neno hili moja tu kwamba, TUMEOKOLEWA KWA NEEMA, WALA SI KWA MATENDO YETU, MTU YEYOTE ASIJE AKAJISIFU. hakuna sadaka yeyote inayoweza kutolewa ili usamehewe dhambi, Yesu anasamehe dhambi bure. hata ukiamua kutoa sadaka usitoe kwasababu umesamehewa, toa kwamba unamtolea Mungu kwa kawaida tu, Mungu angekua anathamini wenye sadaka peke yake, basi kina bakhresa peke yake ndio wangefika mbinguni. MUNGU HANUNULIKI, HAHONGWI, hizo mnazohonga wanakula hao manabii na mitume wa uongo na wake zao, ndio maana wamejenga hadi mahotel kutokana na sadaka zenu. wanatembelea magari ya milioni 400 kuja kanisani kusalisha na kukusanya sadaka toka kwa watu ambao hawajui wakirudi church watakula nini,wagonjwa, wenye shida, wanamchangia mafuta kila siku yeye anaishi kama mfalme ila kondoo wanaishi kama mbwa tu.
Uko KIMWILI na unaargue KIMWILI,

Mtu anayejichua, mwenye jini mahaba, Aliyetokewa Mahari na jini kiroho unasema asibebe sadaka?

Mahari ya kiroho inaondolewa Kwa sadaka ya KIMWILI kabisa Ili kuvunja NDOA hiyo.

Damu ya Yesu Ina KAZI yake kuondoa maagano na vifungo vyote, sadaka mtu anachukua Kwa shukurani, hapanguwi kiwango, ni Yeye mwenyewe sawasawa na vile Mungu alivyomjalia.

Imeandikwa , Sadaka ya mtu ilipo, ndipo na moyo wake ulipo.
 
kutotoa sadaka sio Biblical, ni Kibiblia kabisa watu watoe sadaka. ndio maana hata masamnja alipokuja na kikanisa chake kwamba watu wasitoe sadaka, watu tulipigia mstari palepale kwamba hilo sio kanisa la Mungu. lazima tutoe sadaka.

ila hatutoi sadaka wakati wa kutubu, kwasababu hatununui utakatifu/hatununui kusamehewa, hakuna pesa inayoweza kulipa dhambi zako, hakuna kitu cha thamani kuzidi Damu ya Yesu, kwenda na sadaka wakati wa kutubu ni dhihaka kwa Mungu aliyetoa sadaka yake mwenyewe tena ya neema bure. Yesu Kristo.
Hakuna mahala thread imesema utoe sadaka wakati wa kutubu,

Sadaka unabeba Kwa Imani kushukuru.

Maana Imani ni kuwa na HAKIKA.
 
hivyo vyote ni vifungo ambavyo Yesu alilipa garama yake. aliposema Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha, alimaanisha upeleke mizigo kama hiyo akakupumzishe. ukisema watu walete sadaka wakati wa kutubu, wewe unayepokea sadaka umefanya nini kwenye ukombozi wa mwanadamu? wewe ndio upo mwilini na kifungoni kuna siku tu utafumbuka macho.

kwamba imeandikwa Hazina yako ilipo ndipo utakapokuwepo na moyo wako, nikiamua kutafsiri kwa namna yako, basi ningesema ilimaanisha sadaka za kawaida, tunazotoa kila siku, sio wakati ule wa kutubu. wakati wa kutubu pale unaenda kupata kitu cha bure, Yesu alikufa ili tusamehewe bure, hahitaji chochote toka kwetu. mbona wagumu kuelewa?
 
Hakuna mahala thread imesema utoe sadaka wakati wa kutubu,

Sadaka unabeba Kwa Imani kushukuru.

Maana Imani ni kuwa na HAKIKA.
nimegundua ninajadiliana na mtu wa aina gani. unachanganya sana mambo. mara unatoa kwa imani, imani ni kuwa na hakika..., mara sadaka unabeba kushukuru, unabeba ya nini sasa? wewe unasali wapi, labda tuanzie hapo.
 
Sadaka ya pesa Si lazima, ila ni muhimu kushukuru Kwa mdomo au Kutoa, ni wewe utakavyoongozwa na Mungu .

Muhimu ni kujua kuwa, zipo dhambi huwezi malizana nazo binafsi sirini.

Amen
Kwa romance na mumeo au mkeo ni dhambi, kwa tuwe tunafika tu tunachomeka.

Siamini katika baadhi ya mambo unayosema hapa.

Punyeto kama nimedhamiria mimi kutoka moyoni na nikamshikirikisha Mungu kuwa naacha na nikaacha kweli, lakini wewe bado unasema utakuwa hujasamehewa bado.

Sidhani kama ni sahihi.
 
Muulize Roho MTAKATIFU atathibitisha ikiwa ni Kweli au la.
 
kwa

kwa sauli hiyo agano la kale (samwel) sitakujibu. na unajua nini sababu yake. ila kwa Dorkas, hoja ilikuwa alikuwa mtoa sadaka mzuri na watu walimpenda kwa sababu hiyo hasa wale aliokuwa amewasaidia. hoja tunayoongelea hapa sio kwamba kutoa sadaka ni kitu kibaya hapapa, kutoa sadaka ni muhimu na unatakiwa kutoa sadaka, kutoa sadaka kunagusa moyo wa Mungu kama umeitoa kwa moyo wako wote. lakini umeitoa katika mazingira gani ndipo tunapotofautiana. mleta hoja alisema, ukitenda dhambi hizo alizoorodhesha husamehewi hadi ukaombewe na mtu mwingine na uwe umeenda na sadaka. hapo ndipo tunatofautiana.

DORKAS alitoa sadaka katika mazingira ya maisha ya kawaida tu, sio katika mazingira ya kutubu, rudi kasome mwenyewe. hio Biblia nimeisoma yote hakuna nilipobakisha. usifikiri unaongea na waumini wenu hao mnaowadanganya.
Hukumuelewa mleta mada, kamsome tena vizuri kwa utulivu, huenda umeshindwa kuelewa alichomaanisha.

Kwanza hakuna sadaka yeyote inayoweza kukuondolea dhambi zaidi ya damu ya Yesu.

Jibu hili swali ?

Unadhani mshirikina/mchawi aliyeloga na kuua watu kichawi, unadhani anaweza kujiombea toba peke yake na kujiondoa kwenye hayo maagano bila kumshirikisha mtumishi wa Mungu?....
 
Usitutishe bana
Sikutishi,

Umebahatika kusoma ujumbe uliowekwa Kwa ajili ya WATAKATIFU.

Jua tu huo ndio UKWELI, acha dhambi hizo, maana huwezi tubu sirini kimya kimya zikakuacha!!
 
Unaweza kutubu mwenyewe na ukiomba kwa nia utasamehewa, hakuna dhambi iliyo kubwa kuliko nyengine dhambi zote ni sawa

Hata biblia inaandika Baba yetu aonaye sirini atakujazi na kukulipa kadri ya mapenzi yake

Cha msingi ni kuomba kwa dhati kupitia kwa Kristo Yesu, Amen.
 
Je unaamini mtu akitenda dhambi hizo, upo umuhimu kushirikisha mtumishi?

Unakubali kuwa Si sawa kutubu sirini dhambi aina hizo?

Do you agree?
ikitokea umetenda hizo dhambi, na hakuna mtumishi karibu, utafanya nini? manake hautasamehewa hadi aje? labda mtumishi yupo mbali sana unasafiri siku nzima, au katika kijiji hicho hakuna wenye imani hiyo, utafanya nini? na ujue, suala la kutubu ni lazima na la haraka pale unapogundua umetenda dhambi, ukisubiri Yesu anaweza kurudi katika wakati usioujua akakukuta nayo, sasa wewe utasubiri mtumishi hadi aje?

upo china, umezini na mke wa mchina masaa kadhaa kabla ndege haijaondoka, ukapanda, toka china hadi hapa ni masaa zaidi ya kumi huko, hauwezi ukainamisha kichwa palepale kwenye ndege ukamlilia Mungu kwamba akusamehe umemtenda dhambi ukasamehewa, hadi ufike bongo utafute mtumishi (ambaye hata yeye ana dhambi tu, sio mtakatifu kila siku) ili akombee? ina maana ukianguka na ndege kabla haujafika unaenda motoni? ina maana Mungu hakuweka opportunity ya kutubu hadi ukaonane na mtu? unachotakiwa kujua ni kwamba, AS LONG AS YOU BREATH, HIYO NDIO OPPORTUNITY YA KUPATANA NA MUNGU WAKO, inawezekana dakika kadhaa hata kabla haujampata huyo mtumishi wako ukakata moto. Mungu asingekuwa mhukumu wa haki kama angekuwa hajaweka opportunity ya watu kutubu, kwamba condition hadi ukaonane na mtumishi fulani na ukiwa na sadaka.

Yesu Kristo yeye is everywhere, ukiwa chooni yupo, ukiwa popote yupo, ukiwa mbali na mtumishi yupo, ukitubu kwake kwa moyo wa kuacha dhambi, Mungu atakusamehe. huo ndio msimamo wa Biblia. na hauhitaji kutoa sadaka unapoenda kutubu. unasali kanisa gani?
 
Hukumuelewa mleta mada, kamsome tena vizuri kwa utulivu, huenda umeshindwa kuelewa alichomaanisha.

Kwanza hakuna sadaka yeyote inayoweza kukuondolea dhambi zaidi ya damu ya Yesu.

Jibu hili swali ?

Unadhani mshirikina/mchawi aliyeloga na kuua watu kichawi, unadhani anaweza kujiombea toba peke yake na kujiondoa kwenye hayo maagano bila kumshirikisha mtumishi wa Mungu?....
Ndicho mada inasema,

Wamekuja watu wameipindua mada na kuanza kuhukumu,

Mada Iko straight, na ni ROHO MTAKATIFU ndiye aliyeleta ujumbe huo.

Badala waulize Kwa Roho mtakatifu, wanakurupuka kuja kupinga.

Ubarikiwe mtumishi, Mungu amekuinua kusaidia kuelewesha wapotoshaji.

Amen
 
Hukumuelewa mleta mada, kamsome tena vizuri kwa utulivu, huenda umeshindwa kuelewa alichomaanisha.

Kwanza hakuna sadaka yeyote inayoweza kukuondolea dhambi zaidi ya damu ya Yesu.

Jibu hili swali ?

Unadhani mshirikina/mchawi aliyeloga na kuua watu kichawi, unadhani anaweza kujiombea toba peke yake na kujiondoa kwenye hayo maagano bila kumshirikisha mtumishi wa Mungu?....
Ndio inawezekana, kama akiinamisha kichwa chake, akatubu kwa kweli toka moyoni, Mungu huwa anaangalia moyo na anaweza kushuka na kumwokoa hata bila uwepo wa mtumishi. kwani Paulo alipokutana na Yesu na kupewa maelekezo aende kwa anania, alikuwa na mtumishi? si alikuwa ameshika upanga anaenda kukamata watu wa Mungu Damascus? kwani Yesu hakumwona. jua kuwa, hata ukiwa unatenda dhambi Mungu anakuona hadi moyo wako, ukiwa unaloga anakuona, ukiwa unauwa watu hata hao Hamas Mungu anawaona, ndio maana Mungu huwa anaweza kutuokoa toka mikononi mwa wabaya wetu kwasababu anatuona sisi na wabaya wetu pia, hivyo kwasababu anatuona hata ukipiga magoti na kutubu, anakuona na anaweza kukusikiliza.
 
kutotoa sadaka sio Biblical, ni Kibiblia kabisa watu watoe sadaka. ndio maana hata masamnja alipokuja na kikanisa chake kwamba watu wasitoe sadaka, watu tulipigia mstari palepale kwamba hilo sio kanisa la Mungu. lazima tutoe sadaka.

ila hatutoi sadaka wakati wa kutubu, kwasababu hatununui utakatifu/hatununui kusamehewa, hakuna pesa inayoweza kulipa dhambi zako, hakuna kitu cha thamani kuzidi Damu ya Yesu, kwenda na sadaka wakati wa kutubu ni dhihaka kwa Mungu aliyetoa sadaka yake mwenyewe tena ya neema bure. Yesu Kristo.
Hebu niambie umuhimu/kazi sadaka unayoitoa wewe ukiondoa kwamba ni 'shukurani', umuhimu mwingine ni upi ?
 
Back
Top Bottom