CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
Muongo wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwauliza wanasayansi watakuambia "wet dreams"ni tendo la kibalojia. Lakini kiroho wet dreams ni matokeo ya jini mahaba ambae huja katika ndoto km msichana mrembo na kufanya tendo na kijana. Lengo ni kumchafua na kuvuna mbegu zinazohitajika katika ulimwengu wa kipepo kwa matumizi mbali mbali. Km kuna mganga au mchawi hapa atanielewa.
Mbegu za kiume ni bidhaa muhimu sana kwa majini hasa kwa vijana ambao hawajachafuliwa na wamebalehe punde.
Sadaka ya hatia soma Walawi 19:21Hii sadaka ya hatia imeandikwa kwenye kitabu Gani?
Kutumia njia za kuzuia mimba napo inaita dhambi, umerejea maandiko yapi?
Kutubu ni lazima uende mbele za watu?
Hapo kwenye ndoto nakubaliana na wewe kukemea, kuomba zisitokee lakini hauwezi kunishawishi ni dhambi Kwa kitu ambacho sio hiari Yako.
Mimi amenishangaza zaidi pale aliposema kuwaita nako ni dhambi, eti nimejizuia kwa kila namna kuzini, usiku nimelala sina hili wala lile niote nazini nihukumiwe mzinifu na niende jehanamu?Hata ni mambo ya Ovyo sana Kujadili, Inshu ya Kingono ipo so Nature mungu angetaka Tufanye baada ya Kuoa basi ni fika angetoa izo desire(matamanio) mpaka uwe ndani ya ndoa, Hapa ndo naungana na Kina Kiranga Kuhoji uwezo wa Mungu, Ivi wewe akuchome moto kisa umetekeleza takwa la nafsi yako?
Ukiumwa au jamaa zako huwa mnaenda hospital!?Ukiwauliza wanasayansi watakuambia "wet dreams"ni tendo la kibalojia. Lakini kiroho wet dreams ni matokeo ya jini mahaba ambae huja katika ndoto km msichana mrembo na kufanya tendo na kijana. Lengo ni kumchafua na kuvuna mbegu zinazohitajika katika ulimwengu wa kipepo kwa matumizi mbali mbali. Km kuna mganga au mchawi hapa atanielewa.
Mbegu za kiume ni bidhaa muhimu sana kwa majini hasa kwa vijana ambao hawajachafuliwa na wamebalehe punde.
Sadaka ya hatia soma Walawi 19:21
Tatizo Wakristo hatusomi na kutafakari maandiko.
Hii imeandikwa wapi?18.Kuchezea utupu wako au wa mtu mwingine kwa vidole. Ni chukizo mbele za Mungu.
Jamaa kaokoka juzi ana amsha amsha!Hii imeandikwa wapi?
Kwa hiyo unachakata mzigo tu kama ng'ombe, hakuna maandalizi yoyoteπ
Ngoja nikuambie kitu hakuna sehemu ambayo watu tunaharibiwa km kupitia ndoto.Mimi amenishangaza zaidi pale aliposema kuwaita nako ni dhambi, eti nimejizuia kwa kila namna kuzini, usiku nimelala sina hili wala lile niote nazini nihukumiwe mzinifu na niende jehanamu?
Yoshua 1:8Ngoja nikuambie kitu hakuna sehemu ambayo watu tunaharibiwa km kupitia ndoto.
Kupitia ndoto watu wanafanywa kuwa tasa,kufungwa kuolewa au kuoa,kuibwa nyota na kunajisiwa. Shetani anajua Biblia zaidi ya mimi na na wewe na anafahamu wapi pa kutukamata. Kwanini ndoto chafu za usku ni dhambi. Biblia inasema
Yoshua 1:8
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
Mtu anaechezewa na mapepo au wachawi usiku, Biblia haipo kichwani mwake. Na mtu asiyesoma Biblia hana roho mtakatifu maana ni kwa kusoma na kufakari neno la Mungu na kuliishi ndo tutamwita Roho Mtakatifu. Pasipo na roho mtk basi pana roho mchafu. Na ukishakuwa na roho mchafu wewe ni mdhambi with "no excuse".
ππJamaa kaokoka juzi ana amsha amsha!
Anataka kuokoa nyoyo za JF,
Wala tunda kimasihara wameonekana wapo wengi humu!
Ibada yoyote lazima iambatane na sadaka. Unapofanya ibada(maombi) bila sadaka ni vigumu Mungu kukumbuka maombi yako.Acha kutisha watu. Kama ni huko kumbuka watu walikua wanapigwa nawe wakikutikana na hatia. Kama ni hivyo mbona wakristo wanakula nguruwe, Samaki wa aina zote wakati vilikatazwa enzi hizo?
Jibu na hayo maswali mengine pia.
Toba ingekua ngumu namna hiyo Yesu kuja kwake ingekua kazi bure. Kwahiyo ukitubu bila kutoa sadaka ya hatia hausamehewi?
Tutachomwa shost π€£π€£π€£Bas tumekwisha
Ibada yoyote lazima iambatane na sadaka. Unapofanya ibada(maombi) bila sadaka ni vigumu Mungu kukumbuka maombi yako.
Matendo ya Mitume 10:4
Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, SALA zako na SADAKA zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Matendo ya Mitume 10:4
Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Matendo ya Mitume 10:31
Akasema, Kornelio, KUOMBA kwako kumesikiwa, na SADAKA zako zinakumbukwa mbele za Mungu.
Hajui matatizo mengi kwenye ndoa siyo fedha na magari ni SEXUAL FRUSTRATIONS!ππ
Afu inaelekea mleta uzi hajui kama Ke wanahitaji 'kufikishwa' π
Soma Walawi 19:20-21 Hapo inaelezwa sadaka ya hatia baada ya mwanaume kuzini na mwanamke aliyeposwa.Inamaana tunaongelea sadaka na umuhimu wake hapa? Nataka unionyeshe uhusiano wa msamaha na hasa Toba na hiyo unayoiita sadaka ya hatia.
Naelewa sana mambo ya sadaka ikiwepo zaka, funguo la kumi, sadaka za shukrani n.k
Shida yangu kwenye bandiko lako naona unaweka msisitizo wa Toba, Tena Kwa watu ikiambatana na sadaka ya hatia ili usamehewe ( hapo ndio nataka ufafanuzi). Ahsante
Ni kweli kwa Yesu kuna uzima km utashika na kufuata yale aliyoyaagiza. Vinginevyo ni mauti ya malele.Hajui matatizo mengi kwenye ndoa siyo fedha na magari ni SEXUAL FRUSTRATIONS!
Hili ndilo analopaswa kuhubiri, namna gani bora wenza wanaweza kuridhishana kitandani mpaka zinaa sijui uasherati isiwe dhambi!
Hawa ni wale wanaotembea na Spika njoo Kwa Yesu kuna uzima kisha anaomba sadaka papo kwa papo apate hela ya Kula. Kasahau kwa Yesu kuna uzima!
Hujajibu Swali langu ukiugua ama ndugu zako wakiugua hamuendi hospital!?Ni kweli kwa Yesu kuna uzima km utashika na kufuata yale aliyoyaagiza. Vinginevyo ni mauti ya malele.
Kumbukumbu la Torati 30:15 Biblia inasema
"Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya"
Hivyo ni kazi kwako kuchagua.