Ibada yoyote lazima iambatane na sadaka. Unapofanya ibada(maombi) bila sadaka ni vigumu Mungu kukumbuka maombi yako.
Matendo ya Mitume 10:4
Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, SALA zako na SADAKA zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Matendo ya Mitume 10:4
Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Matendo ya Mitume 10:31
Akasema, Kornelio, KUOMBA kwako kumesikiwa, na SADAKA zako zinakumbukwa mbele za Mungu.