Dhambi ya Zinaa, Ngono, Uzinzi na Uasherati

Ukiwauliza wanasayansi watakuambia "wet dreams"ni tendo la kibalojia. Lakini kiroho wet dreams ni matokeo ya jini mahaba ambae huja katika ndoto km msichana mrembo na kufanya tendo na kijana. Lengo ni kumchafua na kuvuna mbegu zinazohitajika katika ulimwengu wa kipepo kwa matumizi mbali mbali. Km kuna mganga au mchawi hapa atanielewa.

Mbegu za kiume ni bidhaa muhimu sana kwa majini hasa kwa vijana ambao hawajachafuliwa na wamebalehe punde.
Muongo wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii sadaka ya hatia imeandikwa kwenye kitabu Gani?

Kutumia njia za kuzuia mimba napo inaita dhambi, umerejea maandiko yapi?

Kutubu ni lazima uende mbele za watu?

Hapo kwenye ndoto nakubaliana na wewe kukemea, kuomba zisitokee lakini hauwezi kunishawishi ni dhambi Kwa kitu ambacho sio hiari Yako.
Sadaka ya hatia soma Walawi 19:21
Tatizo Wakristo hatusomi na kutafakari maandiko.
 
Hata ni mambo ya Ovyo sana Kujadili, Inshu ya Kingono ipo so Nature mungu angetaka Tufanye baada ya Kuoa basi ni fika angetoa izo desire(matamanio) mpaka uwe ndani ya ndoa, Hapa ndo naungana na Kina Kiranga Kuhoji uwezo wa Mungu, Ivi wewe akuchome moto kisa umetekeleza takwa la nafsi yako?
Mimi amenishangaza zaidi pale aliposema kuwaita nako ni dhambi, eti nimejizuia kwa kila namna kuzini, usiku nimelala sina hili wala lile niote nazini nihukumiwe mzinifu na niende jehanamu?
 
Mengi kati ya hayo sio dhambi, eti kuangalia picha ya ngono ni dhambi? acha kupotosha watu
 
Ukiwauliza wanasayansi watakuambia "wet dreams"ni tendo la kibalojia. Lakini kiroho wet dreams ni matokeo ya jini mahaba ambae huja katika ndoto km msichana mrembo na kufanya tendo na kijana. Lengo ni kumchafua na kuvuna mbegu zinazohitajika katika ulimwengu wa kipepo kwa matumizi mbali mbali. Km kuna mganga au mchawi hapa atanielewa.

Mbegu za kiume ni bidhaa muhimu sana kwa majini hasa kwa vijana ambao hawajachafuliwa na wamebalehe punde.
Ukiumwa au jamaa zako huwa mnaenda hospital!?

Ukinijibu hili nitajua, naongea na mtu wa aina gani!
 
Sadaka ya hatia soma Walawi 19:21
Tatizo Wakristo hatusomi na kutafakari maandiko.

Acha kutisha watu. Kama ni huko kumbuka watu walikua wanapigwa nawe wakikutikana na hatia. Kama ni hivyo mbona wakristo wanakula nguruwe, Samaki wa aina zote wakati vilikatazwa enzi hizo?

Jibu na hayo maswali mengine pia.

Toba ingekua ngumu namna hiyo Yesu kuja kwake ingekua kazi bure. Kwahiyo ukitubu bila kutoa sadaka ya hatia hausamehewi?
 
Mimi amenishangaza zaidi pale aliposema kuwaita nako ni dhambi, eti nimejizuia kwa kila namna kuzini, usiku nimelala sina hili wala lile niote nazini nihukumiwe mzinifu na niende jehanamu?
Ngoja nikuambie kitu hakuna sehemu ambayo watu tunaharibiwa km kupitia ndoto.
Kupitia ndoto watu wanafanywa kuwa tasa,kufungwa kuolewa au kuoa,kuibwa nyota na kunajisiwa. Shetani anajua Biblia zaidi ya mimi na na wewe na anafahamu wapi pa kutukamata. Kwanini ndoto chafu za usku ni dhambi. Biblia inasema

Yoshua 1:8
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.

Mtu anaechezewa na mapepo au wachawi usiku, Biblia haipo kichwani mwake. Na mtu asiyesoma Biblia hana roho mtakatifu maana ni kwa kusoma na kufakari neno la Mungu na kuliishi ndo tutamwita Roho Mtakatifu. Pasipo na roho mtk basi pana roho mchafu. Na ukishakuwa na roho mchafu wewe ni mdhambi with "no excuse".
 
Hio torati mnayo sema mbona hamuifuati kama ilivyo
 
Acha kutisha watu. Kama ni huko kumbuka watu walikua wanapigwa nawe wakikutikana na hatia. Kama ni hivyo mbona wakristo wanakula nguruwe, Samaki wa aina zote wakati vilikatazwa enzi hizo?

Jibu na hayo maswali mengine pia.

Toba ingekua ngumu namna hiyo Yesu kuja kwake ingekua kazi bure. Kwahiyo ukitubu bila kutoa sadaka ya hatia hausamehewi?
Ibada yoyote lazima iambatane na sadaka. Unapofanya ibada(maombi) bila sadaka ni vigumu Mungu kukumbuka maombi yako.

Matendo ya Mitume 10:4
Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, SALA zako na SADAKA zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.

Matendo ya Mitume 10:4
Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.

Matendo ya Mitume 10:31
Akasema, Kornelio, KUOMBA kwako kumesikiwa, na SADAKA zako zinakumbukwa mbele za Mungu.
 
Inamaana tunaongelea sadaka na umuhimu wake hapa? Nataka unionyeshe uhusiano wa msamaha na hasa Toba na hiyo unayoiita sadaka ya hatia.

Naelewa sana mambo ya sadaka ikiwepo zaka, fungu la kumi, sadaka za shukrani, malimbuko n.k

Shida yangu kwenye bandiko lako naona unaweka msisitizo wa Toba, Tena Kwa watu ikiambatana na sadaka ya hatia ili usamehewe ( hapo ndio nataka ufafanuzi). Ahsante
 
😂😂
Afu inaelekea mleta uzi hajui kama Ke wanahitaji 'kufikishwa' 😊
Hajui matatizo mengi kwenye ndoa siyo fedha na magari ni SEXUAL FRUSTRATIONS!
Hili ndilo analopaswa kuhubiri, namna gani bora wenza wanaweza kuridhishana kitandani mpaka zinaa sijui uasherati isiwe dhambi!

Hawa ni wale wanaotembea na Spika njoo Kwa Yesu kuna uzima kisha anaomba sadaka papo kwa papo apate hela ya Kula. Kasahau kwa Yesu kuna uzima!
 
Inamaana tunaongelea sadaka na umuhimu wake hapa? Nataka unionyeshe uhusiano wa msamaha na hasa Toba na hiyo unayoiita sadaka ya hatia.

Naelewa sana mambo ya sadaka ikiwepo zaka, funguo la kumi, sadaka za shukrani n.k

Shida yangu kwenye bandiko lako naona unaweka msisitizo wa Toba, Tena Kwa watu ikiambatana na sadaka ya hatia ili usamehewe ( hapo ndio nataka ufafanuzi). Ahsante
Soma Walawi 19:20-21 Hapo inaelezwa sadaka ya hatia baada ya mwanaume kuzini na mwanamke aliyeposwa.
 
Hajui matatizo mengi kwenye ndoa siyo fedha na magari ni SEXUAL FRUSTRATIONS!
Hili ndilo analopaswa kuhubiri, namna gani bora wenza wanaweza kuridhishana kitandani mpaka zinaa sijui uasherati isiwe dhambi!

Hawa ni wale wanaotembea na Spika njoo Kwa Yesu kuna uzima kisha anaomba sadaka papo kwa papo apate hela ya Kula. Kasahau kwa Yesu kuna uzima!
Ni kweli kwa Yesu kuna uzima km utashika na kufuata yale aliyoyaagiza. Vinginevyo ni mauti ya malele.

Kumbukumbu la Torati 30:15 Biblia inasema
"Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya"

Hivyo ni kazi kwako kuchagua.
 
Hujajibu Swali langu ukiugua ama ndugu zako wakiugua hamuendi hospital!?
 
Back
Top Bottom