Dhana mbovu iliojengwa na mashabiki pamoja na viongozi wa Simba

The introvert

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2023
Posts
1,508
Reaction score
3,136
DHANA!!!

Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana.

Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali.

Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni bora kushinda simba, berkane ndio bingwa wa Ligi ya Botola pro ya pale Morroco.

Kuna watu wanaweza kuhisi kama walichokifanya wamebahatisha na wengine kusema, simba alijichanganya mwenyewe katika football ili liwe kosa linatakiwa liadhibiwe.

Kwanamna simba alivyocheza kama ingekua ligi yetu angeweza kuondoka na point tatu na ilikua perfomance bora kwasababu ligi yetu haitupi ushindani halisi.

Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.

Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora.

MAANDALIZI MUHIMU✍
 
Maandalizi kwa mchezaji ni pamoja na utulivu wa akili kisaikolijia ambao unaambatana na uzoefu wa mazingira.

Berkane kacheza fainali 4 kabla ya hii na Simba na ni bingwa mara 2 ila mara zote hizo 2 hajacheza nyumbani kwa mpinzani wake, kwa hiyo ukiona wanahangaika mechi iende Aman - Zanzibar usifikiri hawajui wanachokifanya..

Na fainali zote alizomaliza nyumbani kwa mpinzani ni dhidi ya Zamalek na zote alifungwa, and i think unajua Zamalek wana nguvu gani kisiasa kwenye mpira wa Afrika.
 
A point to note , maandalizi ni muhimu
 
DHANA!!!

Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana.

Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali.

Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni bora kushinda simba, berkane ndio bingwa wa Ligi ya Botola pro ya pale Morroco.

Kuna watu wanaweza kuhisi kama walichokifanya wamebahatisha na wengine kusema, simba alijichanganya mwenyewe katika football ili liwe kosa linatakiwa liadhibiwe.

Kwanamna simba alivyocheza kama ingekua ligi yetu angeweza kuondoka na point tatu na ilikua perfomance bora kwasababu ligi yetu haitupi ushindani halisi.

Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.

Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora.

MAANDALIZI MUHIMU✍
Wanaamini ktk wanachoamini. Mechi zao nyingi walishinda hapo hapo Benjamini Mkapa kwa maamuzi magumu. Achana nao, usiumize kichwa
 
Wakija kwa Mkapa wanaweka ukuta wa Babeli sijui mtapita wapi. Mnadhani wao wajinga.

Kuna lijamaa lirefu pale Mido sijui kama mtatoboa, haliruhusu mpira kupita kirahisi
 
Anaitwa Mamadou camara
 
Back
Top Bottom