, hicho unachokiita dhana "mbovu".
ni kitu ambacho Duniani kote ulimwengu wa mpira wa miguu wanakiamini.
Kwanza, Ni Kweli Berkane ni bora na wana uzoefu kwenye fainili hizi.
Ila kucheza kwenye Uwanja wa nyumbani, uwanja ambao una historia nao nzuri, ni factor muhimu sana.
SAbabu inawapa imani wachezaji na mashabiki kuwa tunaweza kushinda hapa.
Mashabiki wataishangilia timu yao kwa nguvu, hii inawapa wachezaji morali na energy ya kupambana zaidi.
Timu pinzani nao hofu inaweza kuwaingia akilini kupelekea wasicheze vizuri au kufanya makosa.