The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
- Thread starter
- #61
Umeelewa au hujaelewa 😂"imemushinda"
Kiswahili gani aisee
Umeelewa au hujaelewa 😂"imemushinda"
Kiswahili gani aisee
MAANDALIZI MUHIMU✍️Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025, Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC nguvu moya...💪.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Jamaa analeta maskhara huyu! Anasahau kama Barkane ni bingwa wa Morocco ambako Mokwena ametoka patupu!Al masr unaifananisha na Berkane 😂
Anha kwa hiyo tunakubaliana now tunaenda na bahati na sio uwezo tena, Nimekuelewa mkuu nawatakia maandalizi mema fainali hizi hazina bahatiHaifanani lakini hata ile ilikua inaishia robo,so mpira sometimes ni mchezo wa bahati
25/05/2025 wataelewa sasahivi hawawezi kuelewaJamaa analeta maskhara huyu! Anasahau kama Barkane ni bingwa wa Morocco ambako Mokwena ametoka patupu!
Sasahivi hawawezi kukuelewa mkuu watakuelewa tarehe 25 , kufika fainali hamanishi kuwa wewe ni timu bora kuwazidi wengineNi wapuuzi tu wakubali Awana timu yenye ubora kupambana na berkane, uko walikotoka wamekutana na timu zote mbovu mbovu wakisaidiwa na marefa,,rejea kiwango cha Al masry walishinda kwao goli 2 lakini wakaja kwa mkapa wakatolewa kwa penalty sasa ebu tupime ubora wa Al masry na berkane je vinaendana? Kama umekohoa damu dhidi Al masry utawezaje kupindua meza dhidi ya berkane ambayo Iko vizuri Kila idara? Mambo mengine ni kuchangamsha genge tu siku ipite!
Uwanja wa Mkapa ulikuwa mbovu, ile nusu fainali ilitosha kwa uwanja kufungiwa.Wakati huohuo unatakiwa ujiulize pia ni kwa nini caf wanalazimisha mechi ichezwe nje ya benjamini mkapa (pamoja na uwanja kukidhi vigezo vyote vya mechi kuchezewa) na pia kwa nini uamuzi huo ulionesha kufurahishwa na mpinzani wa simba .
Mkuu mbona sijaona ukisema chochote juu ya mechi ya jana? Umekuwa kimya sana sio kawaida yako.Hiyo mbona ni common sense tu. Hivi kuna timu Africa isiyoamini katika uwanja wa nyumbani? Kama sivyo kwa nini kuna goli la ugenini. Punguzeni ujuaji
Mchafu Sana Yule Msenegali....Anaitwa Mamadou camara
Nahisi itakuwa kaelewa utofauti wa daraja kati yake na mpinzani wake.Mkuu mbona sijaona ukisema chochote juu ya mechi ya jana? Umekuwa kimya sana sio kawaida yako.
"Wanapaswa wajue sisi popote tunashinda wakitaka hata BUNJU sisi tunazima nao tu 😂,Hii timu haitegemei VAR au REFA.Mchafu Sana Yule Msenegali....
Hilo la bahati huwezi kulikwepa,kwani nyie Yanga si mlikua mnajiona mpo vyema sana,sasa hv mko wapi kimataifa,hata uwe uwezo vp bila bahati ni bureAnha kwa hiyo tunakubaliana now tunaenda na bahati na sio uwezo tena, Nimekuelewa mkuu nawatakia maandalizi mema fainali hizi hazina bahati
Utopolo mkifanya maandalizi yenu huko matopeni inatosha, kwa Mkapa hatoki Mtu, Simba SC guvu moya 💪MAANDALIZI MUHIMU✍️
Huu mtanange uliisha jana kule maroc. Raundi ya pili, Simba akipige kwa mkapa, au amaan au nambole au nyayo mwisho wake ni uleule: anakufa nyingiMaandalizi kwa mchezaji ni pamoja na utulivu wa akili kisaikolijia ambao unaambatana na uzoefu wa mazingira.
Berkane kacheza fainali 4 kabla ya hii na Simba na ni bingwa mara 2 ila mara zote hizo 2 hajacheza nyumbani kwa mpinzani wake, kwa hiyo ukiona wanahangaika mechi iende Aman - Zanzibar usifikiri hawajui wanachokifanya..
Na fainali zote alizomaliza nyumbani kwa mpinzani ni dhidi ya Zamalek na zote alifungwa, and i think unajua Zamalek wana nguvu gani kisiasa kwenye mpira wa Afrika.
Unafananisha Al Masry na Berkane?Kila kitu kinawezekana,hata Al Masr waliwafunga Simba 2 kwao na Tanzania wakapigwa,hivyo tusikatishane tamaa,lazima Simba ana mipango yake pia kuelekea huo mchezo,hakuna timu ambayo haina maandalizi
Jambo la kufurahisha na la msingi ni kwamba simba ilifanikiwa kubakwa, ila kwa mbinde!DHANA!!!
Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana.
Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali.
Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni bora kushinda simba, berkane ndio bingwa wa Ligi ya Botola pro ya pale Morroco.
Kuna watu wanaweza kuhisi kama walichokifanya wamebahatisha na wengine kusema, simba alijichanganya mwenyewe katika football ili liwe kosa linatakiwa liadhibiwe.
Kwanamna simba alivyocheza kama ingekua ligi yetu angeweza kuondoka na point tatu na ilikua perfomance bora kwasababu ligi yetu haitupi ushindani halisi.
Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.
Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora.
MAANDALIZI MUHIMU✍
Kama hawafanani kwa nn wasingetufunga 4 ila wakaishia kutufunga 2 kama Al Masr?Unafananisha Al Masry na Berkane?
Kabisa. Watani tatizo wanaweka ushabiki mbele sana badala ya kutoa changamoto kwa uongozi wa timu yao ufanye usajili wa kueleweka.Na walikuwa na timu bora kuliko sasa usisahau Raja pia alimkunyuga 3 mtungi 😂
ILA NYIE SOKWE MJI MMELALAMIKIA MARA NGAPI.Jana ndio kwa mara ya kwanza makolo kulalamikia dakika za nyongeza kua nyingi