Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
😂Jana ndio kwa mara ya kwanza makolo kulalamikia dakika za nyongeza kua nyingi
😂Jana ndio kwa mara ya kwanza makolo kulalamikia dakika za nyongeza kua nyingi
Hakuna asiyeamini lakini inategemea unacheza na Nani....Haya mambo ya goli la ugenini Ndio ilipekea msimu uliopita ukapigwa nje ndani na Al ahly....Timu ya Simba ni ya kawaida ila tunaipa hype kubwaHiyo mbona ni common sense tu. Hivi kuna timu Africa isiyoamini katika uwanja wa nyumbani? Kama sivyo kwa nini kuna goli la ugenini. Punguzeni ujuaji
✌Utopolo mkifanya maandalizi yenu huko matopeni inatosha, kwa Mkapa hatoki Mtu, Simba SC guvu moya 💪
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
😂😂😂 Na Amaan watatoa tena kwa mbindeJambo la kufurahisha na la msingi ni kwamba simba ilifanikiwa kubakwa, ila kwa mbinde!
Sawa Ila taarifa yako inaukakasi.... Berkane kacheza fainali 3 kabla ya hii na Simba na kabeba 2....Halazimishi Mechi iende Zanzibar ila ni wakaguzi WA CAF wale wale waliokaguwa kabla ya mech na Al Marsy wakaukataa Uwanja(Tuliwaomba Tu kwakuforce tutumie Mkapa,kilichotokea ni aibu siku ya mech) Ndio hao hao sasa hivi hawaukubali uwanjaMaandalizi kwa mchezaji ni pamoja na utulivu wa akili kisaikolijia ambao unaambatana na uzoefu wa mazingira.
Berkane kacheza fainali 4 kabla ya hii na Simba na ni bingwa mara 2 ila mara zote hizo 2 hajacheza nyumbani kwa mpinzani wake, kwa hiyo ukiona wanahangaika mechi iende Aman - Zanzibar usifikiri hawajui wanachokifanya..
Na fainali zote alizomaliza nyumbani kwa mpinzani ni dhidi ya Zamalek na zote alifungwa, and i think unajua Zamalek wana nguvu gani kisiasa kwenye mpira wa Afrika.
Bikra haitolewi mara mbili..Simba sasa ni ex wa Berkane so alimpa na atampa tena! Zanzibar wanaenda fungate tu kunyandukiwa huku wakifurahia upepo mzuuuri kutoka kwenye nchi ya uchumi wa buluu!😂😂😂 Na Amaan watatoa tena kwa mbinde
Shida sio kuelewa, shida anaharibu lugha yetu nzuriUmeelewa au hujaelewa 😂
Afu inakuja kwa mkapa inafunga 10?, ndio tunachokwambia dhana ya uwanja wa nyumba inaenda inapitwa na wakati... Timu zinaends ugenini zinapata matokeo... Stellen alipata matokeo ugenini kwa Zamalek haikuwa bahati bali mipango.Usisahau simba hiyo unayoiita ilikuwa bora ndo ilikuwa inapigwa tano mtawalia ikiwa away
Na wakaishia roboKwahiyo hiyo simba iliyomfunga Ahly kwa mkapa ndio hii ya akina hamza wanaojivunja?.
Simba iliyokuwa infunga timu yote kwa mkapa ilokuwa ina 10& 8. Mtu kama chama alikuwa bora wakati huo unakuta na 8 bora ya Bwalya
.. wings ya Konde boy na Kahata. Sio simba hii haina viungo wabunifu wote wanacheza direct footbal.... Simba ile unayoisema ww ilikuwa na watu wanao uwezo wakuamua mechi wenyewe....miquisone, chama.
Walibeba kombe la shirikisho Tarehe 25/05/2025Mimi kila siku huwa nauliza
Ni kombe gani 5imba la caf ambalo Simba amewahi kulibeba hapo Benjamin mkapa? Kama hata nusu tu ilikuwa imemushinda
Sio kweli berkane mwaka jana kamalizia nyumbani alishinda 2 moja ila zamaleki alishunda kwa goli la ugeniniMaandalizi kwa mchezaji ni pamoja na utulivu wa akili kisaikolijia ambao unaambatana na uzoefu wa mazingira.
Berkane kacheza fainali 4 kabla ya hii na Simba na ni bingwa mara 2 ila mara zote hizo 2 hajacheza nyumbani kwa mpinzani wake, kwa hiyo ukiona wanahangaika mechi iende Aman - Zanzibar usifikiri hawajui wanachokifanya..
Na fainali zote alizomaliza nyumbani kwa mpinzani ni dhidi ya Zamalek na zote alifungwa, and i think unajua Zamalek wana nguvu gani kisiasa kwenye mpira wa Afrika.
Kaangalie Takwimu za Al Masry na Berkane kwenye ligi zao za ndani pamoja na international competition alf uje hapa tubishameKama hawafanani kwa nn wasingetufunga 4 ila wakaishia kutufunga 2 kama Al Masr?
Na hili goli la ugenini ndio wanakuja kuwachenyeta mapema tu Berkane pale Amaan Complex Zanzibar.Hiyo mbona ni common sense tu. Hivi kuna timu Africa isiyoamini katika uwanja wa nyumbani? Kama sivyo kwa nini kuna goli la ugenini. Punguzeni ujuaji
Pamoja na hizo takwimu zake lakini hazijamsaidia kumzidi Al Masry idadi ya magoli ya kumfunga Simba akiwa uwanja wake wa nyumbaniKaangalie Takwimu za Al Masry na Berkane kwenye ligi zao za ndani pamoja na international competition alf uje hapa tubishame
Wanaendelea kuuza mkuu , sema watu wamejiongeza wametulia kwanzaSasa tickets zinaendelea kuuzwa au wamesitisha kwa mda? Japo CAF washasema mechi itafanyika Zanzibar na jana baada ya mechi wakapost next mechi ni Zanzibar.
Ligi ya Morocco wamebahatisha tu Raja na Wydad wako hali mbaya kiuchumi na migogoro na utawala wa nchiDHANA!!!
Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana.
Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali.
Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni bora kushinda simba, berkane ndio bingwa wa Ligi ya Botola pro ya pale Morroco.
Kuna watu wanaweza kuhisi kama walichokifanya wamebahatisha na wengine kusema, simba alijichanganya mwenyewe katika football ili liwe kosa linatakiwa liadhibiwe.
Kwanamna simba alivyocheza kama ingekua ligi yetu angeweza kuondoka na point tatu na ilikua perfomance bora kwasababu ligi yetu haitupi ushindani halisi.
Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.
Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora.
MAANDALIZI MUHIMU[emoji871]
Wataalamu wanasema "kujivunja"Yule mchezaji wao Hamza alivyoona tu maji yako shingoni, akaamua kujifanya eti ameumia! 😁
Unajua kuna team unakutana nayo imekufunika almost kila idara, lazima urudi kwenye ant-football tacticsJana ndio kwa mara ya kwanza makolo kulalamikia dakika za nyongeza kua nyingi