DHANA!!!
Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana.
Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali.
Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni bora kushinda simba, berkane ndio bingwa wa Ligi ya Botola pro ya pale Morroco.
Kuna watu wanaweza kuhisi kama walichokifanya wamebahatisha na wengine kusema, simba alijichanganya mwenyewe katika football ili liwe kosa linatakiwa liadhibiwe.
Kwanamna simba alivyocheza kama ingekua ligi yetu angeweza kuondoka na point tatu na ilikua perfomance bora kwasababu ligi yetu haitupi ushindani halisi.
Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.
Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora.
MAANDALIZI MUHIMU✍