Dhana mbovu iliojengwa na mashabiki pamoja na viongozi wa Simba

Dhana mbovu iliojengwa na mashabiki pamoja na viongozi wa Simba

Maandilizi muhimu goli mbili kwa berkane sio rahisi mkuu
Kila kitu kinawezekana,hata Al Masr waliwafunga Simba 2 kwao na Tanzania wakapigwa,hivyo tusikatishane tamaa,lazima Simba ana mipango yake pia kuelekea huo mchezo,hakuna timu ambayo haina maandalizi
 
Kila kitu kinawezekana,hata Al Masr waliwafunga Simba 2 kwao na Tanzania wakapigwa,hivyo tusikatishane tamaa,lazima Simba ana mipango yake pia kuelekea huo mchezo

"Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.

Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora."

MAANDALIZI MUHIMU✍️"
 
DHANA!!!

Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana.

Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali.

Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni bora kushinda simba, berkane ndio bingwa wa Ligi ya Botola pro ya pale Morroco.

Kuna watu wanaweza kuhisi kama walichokifanya wamebahatisha na wengine kusema, simba alijichanganya mwenyewe katika football ili liwe kosa linatakiwa liadhibiwe.

Kwanamna simba alivyocheza kama ingekua ligi yetu angeweza kuondoka na point tatu na ilikua perfomance bora kwasababu ligi yetu haitupi ushindani halisi.

Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.

Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora.

MAANDALIZI MUHIMU✍
Kuna shabiki wao Mmoja anaitwa mchungaji nimeona anahojiwa mahala anaulizwa mechi ya marudiano Simba anatoboa? Kauli aliyozungumza imenifikirisha sana akasema nanukuu ""Ndugu mtangazaji Simba tunatoboa na sisi ndio mabingwa mechi ikichezwa kwa mkapa"" Sasa nikabaki najiuliza Ina maana Hawa jamaa awakiamini kikosi chao mpaka wabague viwanja?
 
"Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.

Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora."

MAANDALIZI MUHIMU✍️"
Zamani sio miaka ya hv karibuni hizo timu kupata matokeo mazurie,enzi za kufungwa goli 5 hizo ndizo unazoziongelea wewe
 
Hiyo mbona ni common sense tu. Hivi kuna timu Africa isiyoamini katika uwanja wa nyumbani? Kama sivyo kwa nini kuna goli la ugenini. Punguzeni ujuaji
Sasa kuchezA uwamja wa nyumbani mara zote umeleta kombe gani hapa Tz!!. Mna imani za kishirikina kupitiliza..... Timu bora inapata matokeo sehemu yoyote, ubora wa timu ndio unaamua matokeo na sio kiwanja cha kuchezea.... Madrid amekufa nje ndani kwa Arsenal... Arsenal amekufa nje ndani kwa Psg.... Simba ni kitimu kisichokuwa na wachezaji.
 
Wakija kwa Mkapa wanaweka ukuta wa Babeli sijui mtapita wapi. Mnadhani wao wajinga.

Kuna lijamaa lirefu pale Mido sijui kama mtatoboa, haliruhusu mpira kupita kirahisi
kwani wangapi wamekuja machinjioni wakaweka ukuta na bado wakapasuka?
 
Tuachane na wanavyo cheza labda wamebahatisha kwakua Berkane walikua nyumbani.
Tuangalie walivyokua wanakimbia uwanjani kuweka presha kwenye mpira au kuziba Mianya wakiwa hawana mpira kweli ivyo vitu vinahitaji uwanja wa nyumbani au ugenini!!!
Wastani wamekimbia zaidi ya kilometa 10, kama tank lako bovu huwezi kuwa kaba.
 
, hicho unachokiita dhana "mbovu".
ni kitu ambacho Duniani kote ulimwengu wa mpira wa miguu wanakiamini.

Kwanza, Ni Kweli Berkane ni bora na wana uzoefu kwenye fainili hizi.

Ila kucheza kwenye Uwanja wa nyumbani, uwanja ambao una historia nao nzuri, ni factor muhimu sana.
SAbabu inawapa imani wachezaji na mashabiki kuwa tunaweza kushinda hapa.
Mashabiki wataishangilia timu yao kwa nguvu, hii inawapa wachezaji morali na energy ya kupambana zaidi.

Timu pinzani nao hofu inaweza kuwaingia akilini kupelekea wasicheze vizuri au kufanya makosa.
 
Hao berkane wanafanana na Al Ahli ambayo Simba ya miaka hii haijawahi kupoteza mbele yao Tz?

Shida yenu wabongo hamjiamini popote pale
Kwahiyo hiyo simba iliyomfunga Ahly kwa mkapa ndio hii ya akina hamza wanaojivunja?.
Simba iliyokuwa infunga timu yote kwa mkapa ilokuwa ina 10& 8. Mtu kama chama alikuwa bora wakati huo unakuta na 8 bora ya Bwalya
.. wings ya Konde boy na Kahata. Sio simba hii haina viungo wabunifu wote wanacheza direct footbal.... Simba ile unayoisema ww ilikuwa na watu wanao uwezo wakuamua mechi wenyewe....miquisone, chama.
 
Wakati huohuo unatakiwa ujiulize pia ni kwa nini caf wanalazimisha mechi ichezwe nje ya benjamini mkapa (pamoja na uwanja kukidhi vigezo vyote vya mechi kuchezewa) na pia kwa nini uamuzi huo ulionesha kufurahishwa na mpinzani wa simba .
 
Kuna shabiki wao Mmoja anaitwa mchungaji nimeona anahojiwa mahala anaulizwa mechi ya marudiano Simba anatoboa? Kauli aliyozungumza imenifikirisha sana akasema nanukuu ""Ndugu mtangazaji Simba tunatoboa na sisi ndio mabingwa mechi ikichezwa kwa mkapa"" Sasa nikabaki najiuliza Ina maana Hawa jamaa awakiamini kikosi chao mpaka wabague viwanja?
😂 Yani hapo wanajaribu kucreate defensive force mapema maana mechi inajulikana haitochezwa kwa mkapa , Ndio maana kuanzia kocha mpaka msemaji na mashabiki wanapalilia kwa mkapa kwa factor ya kwamba wakifungwa zanzibar watapata kisingizio kwamba hatukucheza kwa mkapa
 
Back
Top Bottom