The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Kwa Mkapa ni uwanja wa nyumbani wa 5imba? by the way hao jamaa hata mkicheza nao Mo arena hamtoboiHiyo mbona ni common sense tu. Hivi kuna timu Africa isiyoamini katika uwanja wa nyumbani? Kama sivyo kwa nini kuna goli la ugenini. Punguzeni ujuaji
Maandilizi muhimu goli mbili kwa berkane sio rahisi mkuuHiyo mbona ni common sense tu. Hivi kuna timu Africa isiyoamini katika uwanja wa nyumbani? Kama sivyo kwa nini kuna goli la ugenini. Punguzeni ujuaji
A point to note ✌Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.
😁 ✌Jana ndio kwa mara ya kwanza makolo kulalamikia dakika za nyongeza kua nyingi
A point to note , maandalizi ni muhimuMaandalizi kwa mchezaji ni pamoja na utulivu wa akili kisaikolijia ambao unaambatana na uzoefu wa mazingira.
Berkane kacheza fainali 4 kabla ya hii na Simba na ni bingwa mara 2 ila mara zote hizo 2 hajacheza nyumbani kwa mpinzani wake, kwa hiyo ukiona wanahangaika mechi iende Aman - Zanzibar usifikiri hawajui wanachokifanya..
Na fainali zote alizomaliza nyumbani kwa mpinzani ni dhidi ya Zamalek na zote alifungwa, and i think unajua Zamalek wana nguvu gani kisiasa kwenye mpira wa Afrika.
✌Ubaya Ubwege
Yule mchezaji wao Hamza alivyoona tu maji yako shingoni, akaamua kujifanya eti ameumia! 😁Jana ndio kwa mara ya kwanza makolo kulalamikia dakika za nyongeza kua nyingi
Wanaamini ktk wanachoamini. Mechi zao nyingi walishinda hapo hapo Benjamini Mkapa kwa maamuzi magumu. Achana nao, usiumize kichwaDHANA!!!
Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana.
Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali.
Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni bora kushinda simba, berkane ndio bingwa wa Ligi ya Botola pro ya pale Morroco.
Kuna watu wanaweza kuhisi kama walichokifanya wamebahatisha na wengine kusema, simba alijichanganya mwenyewe katika football ili liwe kosa linatakiwa liadhibiwe.
Kwanamna simba alivyocheza kama ingekua ligi yetu angeweza kuondoka na point tatu na ilikua perfomance bora kwasababu ligi yetu haitupi ushindani halisi.
Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.
Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora.
MAANDALIZI MUHIMU✍
✌Wanaamini ktk wanachoamini. Mechi zao nyingi walishinda hapo hapo Benjamini Mkapa kwa maamuzi magumu. Achana nao, usiumize kichwa
Ni heri ujitoea mchezoni kama unaona Hali Tete kwa maslahi ya timu. Ndivyo alivyofanya. Siku hazifananiYule mchezaji wao Hamza alivyoona tu maji yako shingoni, akaamua kujifanya eti ameumia! 😁
Aliona hamsa inanukia akakumbuka wenzake kina Inonga na Manula walikula mkono wakaambiwa wameuza mechi, akaona ya nini haya mie na kwetu bado sijajenga😂✌Yule mchezaji wao Hamza alivyoona tu maji yako shingoni, akaamua kujifanya eti ameumia! 😁
Anaitwa Mamadou camaraWakija kwa Mkapa wanaweka ukuta wa Babeli sijui mtapita wapi. Mnadhani wao wajinga.
Kuna lijamaa lirefu pale Mido sijui kama mtatoboa, haliruhusu mpira kupita kirahisi