Dhana mbovu iliojengwa na mashabiki pamoja na viongozi wa Simba

Wakija kwa Mkapa wanaweka ukuta wa Babeli sijui mtapita wapi. Mnadhani wao wajinga.

Kuna lijamaa lirefu pale Mido sijui kama mtatoboa, haliruhusu mpira kupita kirahisi
Ukiweka ukuta ndiyo itakuzuia usifungwe?

Usimalize maneno
 
Sio kweli berkane mwaka jana kamalizia nyumbani alishinda 2 moja ila zamaleki alishunda kwa goli la ugenini
Soma comment yangu vizuri uielewe...
Nimesema zaidi ya Zamalek hajawahi kucheza na timu nyingine fainali nyumbani kwa mpinzani.
Nikasema Zamalek tunaifahamu nguvu yake kwenye mpira wa Afrika.
Ubingwa wa BERKANE wa kwanza Fainali ilichezwa huko huko kwao Morocco, wa pili dhidi ya Orlando ilichezwa Nigeria.
Alizocheza nyumbani kwa mpizani ambaye ni Zamalek zote kapoteza.
 
Sawa. Lakini tunataka kwa mkapa. Kama hawezi pindua mezani kwa mkapa why mnapambana Simba akacheze zanzibar? Kuna kitu unafahamu na unaogopa sana Simba akiwa kwa mkapa
 
ingekua ivo basi waliosajili vizuri wangepewa kombe toka mwanzo wa mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…