Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

Niliwahi kumchallenge mtu mmoja kuhusu ,mtu kuandikiwa siku ya kifo, nikajaribu kuuliza kwanini life expectance ya ndugu zetu wa mabara fulani ni kubwa sana kuliko sisi waafrika, au Mungu kawaoendelea sana wao kuliko sisi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo hawana huo ujinga wwa kua Mungu katupangia kifo chetu. Huduma za afya zimeboreshwa na wapo serious kufuatilia afya zao.
 
Wanazi wa dini/mashehe hawawezi kukuelewa
 
Kuhusu muda sikutaka kwenda deep zaidi coz ningeharibu mlolongo/Storyline wa post itakayofuata ambayo itakua hitimisho katika suala la Free Will and Consciousness
So kwa paragraph hii unakubaliana nami kua aina ya kifo chetu hua ni matokeo ya matendo na chaguzi za maisha yetu??
 
“It is natural to die as to be born” – Francis Bacon

Naamini kuzaliwa kwa mtu ni mchakato na kufa kwa mtu ni mchakato pia.
Ndio maana kuzaliwa kwa mwanadamu kutainvolve Reproduction process na kufa kwake pia kuta ambatana na action zifuatazo kama Kupungua kwa mapigo ya moyo pamoja na blood circulation, Ubongo pamoja na Organs za mwili kureceive less oxygen than they need na kufanya kupungua kwa utendaji wa organs za mwili.

Kwa wale Catholic Believers nafikiri wataelewa Kuna kitu kinaitwa Fumbo la Imani 🙏 (''kristu alikufa ➕ kristu alifufuka ➕ kristu atakuja tena) = Fumbo
Hata kifo ni fumbo la wanadamu wote. Hakuna anayejua mwisho wake japo karma/action/matendo yatadetermine mwisho/hatma ya maisha ya mwanadamu hapa duniani.

But Nobody Knows, how and when shall he/she die?
Nafikiri kifo ni fumbo kubwa kwenye maisha ya mwanadamu ambapo Mwenyezi Mungu ''The Ultimate Intelligence" ametufumba hapo.

Finally, I appreciate and thank you for a nice thread Mate🙏.​
 
Moja ya sababu ni sisi, maamuzi yetu na matendo ukiyajumuisha kwenye 'equation nzima' ya mambo yanayohusika.

We [all of us] make things happen
Baada ya Yuda Iskarioti kumsaliti Yesu alikwenda kujinyonga. Je Mungu ndio alipanga kufo chake kiwe hivyo??
 
Splendid Explanation pal.
Mkuu ipo wazi kila mtu anajua muda wake wa kufa. Yesu kasema hakuna ajue siku wala saa so muda wote kaa kwa kujiandaa. Sekunde au dakika moja ujayo unaweza kua marehemu. Huo ndio ukweli, kifo chako ni muda mfupi ujao. So technically kila mtu anajua muda wake wa kufa
Na matendo na mwenendo wa maisha yako ndio unaeleza utakufaje

Finally, I appreciate and thank you for a nice thread Mate🙏.​
Thanks for appreciation brother ✌️
 
Hakuna haja ya mimi kuumbwa na kuzaliwa kama nitawaacha wazazi na ndugu ni wapendao na sitawaona teeeeeena
Bado kuBlend In duniani ni kugumu
😢😢 😢
 
What do you mean, please elaborate
Unawezaje kusema roho haifi? Kama roho haifi basi hakuna kifo. Mwili bila roho(nguvu ya utendaji) hakuna kiumbe. Nguvu ya utendaji ikizima ndio mwisho wa utendaji wa mwili
 
wanasema mtoto akizaliwa huwa analia,
sababu ya kulia ni baada ya kutia saini death certificate yake..hivyo anajililia matanga yake..
hii stori ipo sana najua vinci ushawahi kuskia
Mtoto hulia kutokana na maumivu anayopata kwenye mapafu baada ya kuvuta hewa ya dunia kwa mara ya kwanza. Icho unachokieleza hakina hata chembe ya ukweli
 
kaka kufanikiwa sio juhudi. kama ingekua juhudi watafutaji wengi wangepata. ila ridhiki inatoka kwa Allah na yeye humpa amtakae. na kukosa sio ujinga ndio maana mafundisho yamekuja watu wasaidiane katika hali ngumu manake sio wote hupewa
 
kaka usifinyanya msomi kumbe mjinga. kwani unataka ushahidi gani ili utambue uwepo wa mungu???? je huoni mbingu zipo bila ya nguzo???! au unazani nani amezijenga???? je ni nani alieumba bahari???? kisha je wewe umeumbwa na nani??? achana na theory za watu ila tambua kabla yako alikuwepo firauni ambae mpaka leo hajaoza anasubir siku ya hukumu na hizi sio hadithi za vijiweni kaka isipokua ni maandiko. usikubali baadhi na ukakataa baadhi ila tambua wewe ni mja na kifo ndio zawadi ya uhakika unayoisubir
 
Mungu atatuchoma
Makala yako umeandika vizuri sana ila kuna vitu bado hujajifunza au kuvielewa. Mungu akuchome ili nini? Ningependa kujadili na wewe neno la Mungu kama una muda 0625547181
 
Makala yako umeandika vizuri sana ila kuna vitu bado hujajifunza au kuvielewa. Mungu akuchome ili nini? Ningependa kujadili na wewe neno la Mungu kama una muda 0625547181
Mzee si unajua mambo ya anonymity hapa jf. Wewe ni shahid wa jehovah??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…