Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake


Hehehe hapo kwanza ncheke, Imani hizi jamani tutauana bure
 
Kwani waliowahi kufa wanasemaje mpk sasa?
 
Mbona mnasemaga Issa atakaporudi atakuja kuwa Nabii wa Waislamu wote, je atawaacha ndugu zake Waisraeli ambao ni Wayahudi ?

Inamaana hatatumwa tena kwa Waisraeli tu ?

Na mnasema Issa alikuwa Mwislamu na alikuja kabla ya Muhammadi, unamaana Waislamu walikuwa Wayahudi tu ?

Huwezi kuielewa qurani kama utaisoma ukiwa na akili timamu
 
Issa a.s atarudi tena kama mfuasi wa Mtume Muhammad pbuh. Yeye alishaimaliza kazi ya utume aliyotumwa na Mungu kwenda kwa wana wa israel.
 
Issa a.s atarudi tena kama mfuasi wa Mtume Muhammad pbuh. Yeye alishaimaliza kazi ya utume aliyotumwa na Mungu kwenda kwa wana wa israel.
Ndio Issa huyo.
Atakaye rudi ili avunje misalaba.
Na kuua nguruwe wote, bila kuwagusa mbwa.
Na kupigana na Dejal mwenye jicho moja.
Na kuoa mke.
Huyo ndio Issa wa kwenye Qurani.

Ukimchunguza sana utagundua kuwa Issa sio binadamu bali ni Jinni.
Binadamu haongei akiwa mtoto mchanga wa siku moja.
Issa aliongea katika umri huo.

Acheni kuchanganya mambo kwa faida ya kuhalarisha haramu.
 
Hahaaaa...unashangaa mtoto mchanga kuongea!???
 
Matendo yako na tabia zako ndo zitaamua ufe kifo cha aina gani
Mtu anakunywa double kick hajala halafu anaendesha pikipiki akipata ajali anasema Mungu alipanga itokee. Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ